Yaani huyu ni shida,yeye anataka afanye umalaya tu asiambiwe,akiambiwa basi ni kushindana nae! Mke wake atapata tabu sanaShame on you!!
Yaani huyu ni shida,yeye anataka afanye umalaya tu asiambiwe,akiambiwa basi ni kushindana nae! Mke wake atapata tabu sanaShame on you!!
Mbele ya mumewe? Miss Natafuta, fikiri upya. Lakini mume kwa kulijua hilo ndo akamruhusu atongozwe vizuri na Mhadhiri bila.kuwaza kama mume atagunduaHuyo mume fwala tu hajitambui.unadukua simu ya mtu kwanini? Mwanamke anatongozwa kila siku.
Yaani huwa nawashangaa sana wanaume wengi wa humu kwa kukwepa ukweli mtu umeongea hiki yeye anaongea kile hawatakagi kuambiwa ukweli ndiyo maana wanaishia kuja na personal attacks kama hizo eti endeleeni kushindana na waume zenu kufanya umalaya, such a lame argument.Yaani huyu ni shida,yeye anataka afanye umalaya tu asiambiwe,akiambiwa basi ni kushindana nae! Mke wake atapata tabu sabsana a
Acha maneno mengi. Papuchi ipo au haipo ?Ujinga hujibiwa kwa ujinga!
Biblia inataka majibu hayo
Mjinga alingane na ujingawe
Bazazi
Mwanamke atembeleapo nje ya ndoa anaitwa malaya. Jee sisi wanaume ambao wengi wetu huchepuka tuitweje????Hakuna kitu kigumu kama kufuga malaya ndani kwa wasifu wa mke.
Jamaa kama anabwaga naona uamuzi sahihi tu. Maana inaboa kinyama! Apelekeshe ummbwa wa kukazwa nje huko!
Sie ni mabaharia tu mkuu, hilo hata biblia inatambua.Mwanamke atembeleapo nje ya ndoa anaitwa malaya. Jee sisi wanaume ambao wengi wetu huchepuka tuitweje????
Atakuwa Joyce Kiria huyuKwa comments kama hizi naamini wewe utakuwa ni muachika au old cargo mmoja matata sana. Na furaha yako ni kuona wanawake wengi wanaishi maisha yanayofanana na yako.
Mwanamke atembeleapo nje ya ndoa anaitwa malaya. Jee sisi wanaume ambao wengi wetu huchepuka tuitweje????
Inside out and outside inOver & Out
Bazazi!
Atakuwa kafeli yeye ndie atakuwa dog sasaCha ajabu huyo mwanamke aliyeachwa na yeye atakuja na ule usemi wetu pendwa wa "all men are dogs"
Kwa comments kama hizi naamini wewe utakuwa ni muachika au old cargo mmoja matata sana. Na furaha yako ni kuona wanawake wengi wanaishi maisha yanayofanana na yako.





amejawa na msongo wa mawazoHata nami nimemvumilia sana tu lakini nimehitimisha kuona anasumbuliwa na stress za kuwa single mother![]()





Ha ha ha ha.Hatujifanyi. Sisi nao ni watu kama wanaume. No more no less. Kuna wanaume malaya wengi tu maana umalaya ni tabia
Ha ha ha ha.
Wanaume hawakupewa muda wa kukimbizana na wekundu wa msimbazi.
Hiyo Ni tofauti ya milele ambayo haiwezi mfanya mwanamke akawa sawa na mwanaume!!
Ujue kutotaka kutimiza majukumu yenu Kama wanawake kunawatesa Sana!!
Kwaa hiyo sasa hivi na nyie mnawaiga wanaume kufanya umalaya?
Mabinti muamke acheni kuabudu ndoa wakati wanaume hawaoni kama ni kitu muhimu katika maisha ya binadamu.
Acha kukariri dogo. Be a great thinker.Singo mama ktk kiwango cha juu sana,mama yako angekuwa na akili kama zako leo ungekuwa wapi!