linguistics
JF-Expert Member
- Jun 22, 2014
- 4,732
- 4,393
Sijasema hivo mkuu. Na ndio maana huyo mama ameamua kuondoka,... Ndoa na iheshimiwe na kila mtu.Kwa hiyo sululisho pekee ni kuchepuka tu na wewe ?
Sijasema hivo mkuu. Na ndio maana huyo mama ameamua kuondoka,... Ndoa na iheshimiwe na kila mtu.Kwa hiyo sululisho pekee ni kuchepuka tu na wewe ?
Mfumo dume kuwa mwanamke hana mali. Yaan mwanamke akiolewa hata akiwa na kazi na anachangia pato la familia mchango wake huwa hauonekani...Kwenye kesi hii, mwanaume ndo mwenye uchumi bora. Zaidi ya 90% ya mali alizoondoka nazo mke likiwemo gari, alinunua mume
Bazazi
NakaziaSio povu mkuu ndio ukweli huo. Wanaume kuchepuka kwenu bila staha mnawaumiza wake zenu
Wadogo badoWatoto wako na baba. Ni wakubwa 14 na 11 yrs. Hawana shida ila kumkosa mama tu
Bazazi
Kuachana....Kwa hiyo sululisho pekee ni kuchepuka tu na wewe ?
Tatizo wanaume wanajua wanawake wanatetemekea Sana ndoa..K
Kuachana....
Then baada ya kuachana unafanya kihalali
Simple acheni kuolewa na muishi wenyewe kama mnaona ndoa ni manyanyaso. Tena msijihusishe na wanaume kabisa kama mnataka ile raha tumieni dildo tu hili kuonesha kweli hamna uhitaji wowote na wanaume.Mfumo dume kuwa mwanamke hana mali. Yaan mwanamke akiolewa hata akiwa na kazi na anachangia pato la familia mchango wake huwa hauonekani...
Wanaoingia kwenye ndoa na wanafanya Shughuli ya kuwaingizia kipato lazima wawe makini na utaratibu wa kununua asset au uwekezaji wowote wa familia.
Tatizo mchango wa mwanamke unaishia chooni. Mbona wale wanaoishi wenyewe wanafanya maendeleo yao?!?
Mabinti muamke acheni kuabudu ndoa wakati wanaume hawaoni kama ni kitu muhimu katika maisha ya binadamu.
Kwa comments kama hizi naamini wewe utakuwa ni muachika au old cargo mmoja matata sana. Na furaha yako ni kuona wanawake wengi wanaishi maisha yanayofanana na yako.Tatizo wanaume wanajua wanawake wanatetemekea Sana ndoa..
Ndio maana mwanaume akioa tu anaanza kuchepuka bila woga na mke akilalamika anaambiwa atulie kwa kuwa ameshaolewa ana shida gani
Au usiolewe kabisa kama unahisi mumeo atachepuka halafu na wewe hutaki kuishi na mchepukajiK
Kuachana....
Then baada ya kuachana unafanya kihalali
So unashauri jamaa angemruhusu afuate hisia zake?Oh Bazazi pole sana,
Ila saikolojia ya mapenzi wanaume wengi hawaitambui, huyo mwanamke sio kwamba anampenda yule mwanasheria ni mihemko tu na kuna feeling ya penzi jipya anaitamani maana kwa kweli kwenye ndoa ya kamuda karefu kuna vitu huwa kihisia vinapotea yanabaki mazoea zaidi.
Kwenye kesi hii, mwanaume ndo mwenye uchumi bora. Zaidi ya 90% ya mali alizoondoka nazo mke likiwemo gari, alinunua mume
Bazazi
Hapana mkuu atajiita single mother akihojiwa atasema usemi huo uliosema.Cha ajabu huyo mwanamke aliyeachwa na yeye atakuja na ule usemi wetu pendwa wa "all men are dogs"
Sasa wewe ndiyo usioe maana sisi hatuwezi kuwaoa,maliza ubachela wako kwanza ndiyo uoe.Au usiolewe kabisa kama unahisi mumeo atachepuka halafu na wewe hutaki kuishi na mchepukaji
Haya Asante.Sasa wewe ndiyo usioe maana sisi hatuwezi kuwaoa,maliza ubachela wako kwanza ndiyo uoe.
Halafu nani anataka kuishi na mchepukaji? Kwani kilichowaachanisha hao ni nini?Au usiolewe kabisa kama unahisi mumeo atachepuka halafu na wewe hutaki kuishi na mchepukaji
Majuzi nilikuja na uzi huu
![]()
Ndoa Inavunjika Hiyo!
Waungwana, Bazazi kasimuliwa na mdau wake jinsi ndoa yake inavyoyumba. Kafumania simu ya mke ikiwa na sms za wasap na za kawaida. Anawasiliana na mpenzi wake wa pili baada ya kiwambo kuondolewa. Ni sms za mahaba hasa tena mazito. Mume kambana mkewe, mke hafunguki. Ana ahidi atavunja mawasiliano...www.jamiiforums.com
Ile ndoa ni kama imekwisha kwani wametengana (ndoa ya Kikristo). Hiyo ni kutokana na mume kuona haina haja ya kwenda mahakamani kwani ni kujidhalilisha tu. Ukweli ni kujidhalilisha maana kuna msemo wa kizungu unadai "YOU HAVE FAILES AS A MAN, IF ANOTHER MAN MAKES YOUR WOMAN HAPPY!." Mvurugano umetokea tarehe 26/09/2019 ambapo mume alimuita Baba Mkwe na kumuonesha ushahidi hasa wa walivyokuwa wakipigiana simu hata baada ya mume kungundua ambapo wakati mwingine walikuwa wakiongea akiwepo (hajui walichokuwa wakiongea).
Aliyesambaratisha ndoa ni Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Shule ya Sheria na Idara ya Sheria za Uchumi. Mhadhiri ana shahada 4 za sheria ambazo ni
1. LLB ya UDSM
2. LLM ya UDSM
3. LLM ya Notre Dame
4. PhD ya UDSM
Mhadhiri ni Mpare akiwa kakulia Arusha ktk kijiji cha Lerai - Arumeru ambako nduguze bado wanaishi.
Mume anawatakia maisha mema iwapo wataendeleza uhusiano wa kimapenzi.
Bazazi!
Tatizo wanaume wanajua wanawake wanatetemekea Sana ndoa..
Ndio maana mwanaume akioa tu anaanza kuchepuka bila woga na mke akilalamika anaambiwa atulie kwa kuwa ameshaolewa ana shida gani
Hata nami nimemvumilia sana tu lakini nimehitimisha kuona anasumbuliwa na stress za kuwa single motherKwa comments kama hizi naamini wewe utakuwa ni muachika au old cargo mmoja matata sana. Na furaha yako ni kuona wanawake wengi wanaishi maisha yanayofanana na yako.

Kikawaida haimaanishi kundi linalotajwa ni wote. Hata hao wanawake sio wote pia...Una uhakika gani na unachosema kwa kujumuisha Wanaume wote?