Ile ndoa imesambaratika!

Ile ndoa imesambaratika!

MKUU WANAUMWA.WALE.JAMAA KUPITILIZA OGOPA SANA NDIO.MAANA UKIONA.WMWANMKE.MZURI KAGRADUATE PALE ANA SIRI NZITO ACHATU
 
Kwenye kesi hii, mwanaume ndo mwenye uchumi bora. Zaidi ya 90% ya mali alizoondoka nazo mke likiwemo gari, alinunua mume

Bazazi
Mkuu Bazazi kuchepuka hakuzuiwi na pesa wala umaarufu. Huyo mwanaume hata awe na mchango wa asilimia 100 haitoshi kumzuia mwanamke asichepuke kama mwanamke aliingia kwenye ndoa sababu tuu ana uwezo kiuchumi ilihali hana upendo wala mapenzi kwake
 
Ni kweli mama D. Mke alihudumiwa kwa kila kitu lakini alipokiona kiporo, akakitamani na kukipasha moto. Hatari sana

Bazazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Majuzi nilikuja na uzi huu

Ile ndoa ni kama imekwisha kwani wametengana (ndoa ya Kikristo). Hiyo ni kutokana na mume kuona haina haja ya kwenda mahakamani kwani ni kujidhalilisha tu. Ukweli ni kujidhalilisha maana kuna msemo wa kizungu unadai "YOU HAVE FAILES AS A MAN, IF ANOTHER MAN MAKES YOUR WOMAN HAPPY!." Mvurugano umetokea tarehe 26/09/2019 ambapo mume alimuita Baba Mkwe na kumuonesha ushahidi hasa wa walivyokuwa wakipigiana simu hata baada ya mume kungundua ambapo wakati mwingine walikuwa wakiongea akiwepo (hajui walichokuwa wakiongea).

Aliyesambaratisha ndoa ni Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Shule ya Sheria na Idara ya Sheria za Uchumi. Mhadhiri ana shahada 4 za sheria ambazo ni
1. LLB ya UDSM
2. LLM ya UDSM
3. LLM ya Notre Dame
4. PhD ya UDSM
Mhadhiri ni Mpare akiwa kakulia Arusha ktk kijiji cha Lerai - Arumeru ambako nduguze bado wanaishi.

Mume anawatakia maisha mema iwapo wataendeleza uhusiano wa kimapenzi.

Bazazi!
Inasemekana huyu muhadhiri amefariki siku za karibu.

Niliposikia kifo chake nikaukumbuka huu uzi.
 
Wakiachana/akutengana, huyo mwanamke hatakuwa salama kwani uthamani wake ni pale alipokuwa ameolewa. Wakishaachana, basi huyo aliye mfanya waachane ataone hana tena mwelekeo na msimamo.
Licha ya hayo tu nani anataka kulipa bills? Saluni, kodi na mengineyo.

Hivyo vitu ndio hasa hupelekea mabaharia kugonga wake za watu sababu kunakuwa hamna gharama pale unakuwa kama Quasi patner 😂😂😂 unahusika na kumwaga mkojo tu ila gharama zote anagharamia mumewe
 
Majuzi nilikuja na uzi huu

Ile ndoa ni kama imekwisha kwani wametengana (ndoa ya Kikristo). Hiyo ni kutokana na mume kuona haina haja ya kwenda mahakamani kwani ni kujidhalilisha tu. Ukweli ni kujidhalilisha maana kuna msemo wa kizungu unadai "YOU HAVE FAILES AS A MAN, IF ANOTHER MAN MAKES YOUR WOMAN HAPPY!." Mvurugano umetokea tarehe 26/09/2019 ambapo mume alimuita Baba Mkwe na kumuonesha ushahidi hasa wa walivyokuwa wakipigiana simu hata baada ya mume kungundua ambapo wakati mwingine walikuwa wakiongea akiwepo (hajui walichokuwa wakiongea).

Aliyesambaratisha ndoa ni Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Shule ya Sheria na Idara ya Sheria za Uchumi. Mhadhiri ana shahada 4 za sheria ambazo ni
1. LLB ya UDSM
2. LLM ya UDSM
3. LLM ya Notre Dame
4. PhD ya UDSM
Mhadhiri ni Mpare akiwa kakulia Arusha ktk kijiji cha Lerai - Arumeru ambako nduguze bado wanaishi.

Mume anawatakia maisha mema iwapo wataendeleza uhusiano wa kimapenzi.

Bazazi!
Kama haijavunjwa na mahakama huyo bado mkewe

Kama haijavunjwa na mahakama huyo bado mkewe with due consequences. Hata baada ya miaka ishirini akifa mkewe huyo atarithi mali zote zikiwemo zile alizochuma baada ya kutengana.
 
Cha ajabu huyo mwanamke aliyeachwa na yeye atakuja na ule usemi wetu pendwa wa "all men are dogs"

Hahahaha u have made me happy...

Nimeishawahi kuitiwa jina hivyo na yule mpuuzi wa kiiraqw
 
Back
Top Bottom