Ile ndoa imesambaratika!

Ile ndoa imesambaratika!

Halafu wanawaza kizamani eti kampiga chini.. Unampiga chini mtu mwenye hela yake? Ndoa kitugani buana Kama hakuna amani?? Full umalaya mwanaume anajiona hawezi kutii Kiapo cha ndoa, basi bora afanye kwa adabu,... Anafanya waziwazi..

Nasema hiviiii wanaume mjitathmini, enzi ya mwanamke kuitwa malaya imeisha... Endeleeni kuonea wanawake masikini au wale wasiojielewa.

Tuna mioyo ya nyongo pia Kama mkiamua kuwa wanandoa chepukeni kwa nidhamu tafadhali... Maana mkigeuziwa kibao hamchelewi kupata stroke
Malaya Ni Malaya tu.
Hata awe na hela zake.!!
 
Mkuu hawa ndio wanajiita carrier women!!
Ni Malaya tuko nao maofisini humu wanajifanya nao wako sawa na wanaume
Hakika hata mimi nashawishika kuamini huyo Linguistic ni promiscuous woman kwa jinsi alivyochangia tu hii mada
 
Mi sijaachika na naunga mkono hoja yake.
Kwa comments kama hizi naamini wewe utakuwa ni muachika au old cargo mmoja matata sana. Na furaha yako ni kuona wanawake wengi wanaishi maisha yanayofanana na yako.
 
Mfumo dume kuwa mwanamke hana mali. Yaan mwanamke akiolewa hata akiwa na kazi na anachangia pato la familia mchango wake huwa hauonekani...

Wanaoingia kwenye ndoa na wanafanya Shughuli ya kuwaingizia kipato lazima wawe makini na utaratibu wa kununua asset au uwekezaji wowote wa familia.

Tatizo mchango wa mwanamke unaishia chooni. Mbona wale wanaoishi wenyewe wanafanya maendeleo yao?!?

Mabinti muamke acheni kuabudu ndoa wakati wanaume hawaoni kama ni kitu muhimu katika maisha ya binadamu.
maneno yako hayo ya sentesi ya Mwisho atakaye yafuata atapotea chunga sana hayo maneno yako na watu wenye maneno kama hayo sidhani kama wameolewa ndo unakuta ni hakimu au doctor hana Mme Kwa sababu ya ujuaji Mwingi
 
Kwa comments kama hizi naamini wewe utakuwa ni muachika au old cargo mmoja matata sana. Na furaha yako ni kuona wanawake wengi wanaishi maisha yanayofanana na yako.
Me mwenyewe huyu,Dada nishaanza kumtilia Mashaka na huenda ameachika na anataka kila mdafa aachike na watakaofata ushuri wake imekula kwao,ndoa huwa hazina majivuno au maneno Makali Kama ya huyu Dada
 
Huu upuuzi ndio unaowacost ukikutana na mke anayejielewa..

Kwenye ndoa watu wanaapa kuwa waaminifu to each other sasa wewe umetoa wapi ruhusa ya UZINZI?!!?? Bora Usioe vinginevyo unateseka tu.

Nnachojua wanawake kwa wanaume tunahitaji ndoa lakni wanaume wanadhani wanawake ndio wanapaswa kubembeleza ndoa hata kama ni ya manyanyaso na usaliti..

Badilikeni wanaume mnatuumiza Sana
Kwahiyo wewe unajielewa sana?
Comment zako zinaonyesha kuna kitu una lack
 
Oh Bazazi pole sana,
Ila saikolojia ya mapenzi wanaume wengi hawaitambui, huyo mwanamke sio kwamba anampenda yule mwanasheria ni mihemko tu na kuna feeling ya penzi jipya anaitamani maana kwa kweli kwenye ndoa ya kamuda karefu kuna vitu huwa kihisia vinapotea yanabaki mazoea zaidi.
duuh hapana huo ni uhuni tuu hakuna cha feeling wala nini hapa kama aljua hivo kwanini hakuwa mstari wa mbele kupigania ndoa yake na kama vilimshinda mbona hakuwa muwazi kumuambia mume wake kwamba hawezi ukaendelea na ndoa ...mwisho ni kwamba kwa mwanaume au mwanamke yeyote anayesingizia sijui mke wangu hivi na vile au mume angu hivi na vile me naona ni uasherati ..tafuta njia ya kutatua tatizo kama lipo kama haiwezekani kuwa muwazi sio kuanza mahusiano mengine na mtu wa nje na huku ukijua kabisa uko ndani ya ndoa
 
Halafu nani anataka kuishi na mchepukaji? Kwani kilichowaachanisha hao ni nini?
Badilikeni mnaumiza sana wake zenu na kuwapeleka kwwnye maisha wasiyoyataka ...
Eheee!! Wanawake bwana! sasa kwani hujui ni nini kilichowaachanisha hao wanoongelewa kwenye hii mada? Au hujui ni nini kimewatenganisha na nani ambaye ni chanzo?

Kwenye hiyo sentensi yako ya pili unamaanisha kwamba mwanamke kuishi maisha ya kikahaba chanzo chake au sababu ni mwanaume au?

Halafu eti utakuta majitu kama wewe wenye reasoning mbovu ndio mmejazana pale dawati la jinsia mnasululisha migogoro ya wana ndoa. SHUBAMT
 
Hata nami nimemvumilia sana tu lakini nimehitimisha kuona anasumbuliwa na stress za kuwa single mother
Yaani huyo mwanamke jinsi alivyo divert maudhui ya hii mada na kuanza kuwatupia lawama wanaume anaonekani kabisa ni jike lililoshindikana na kuna muhuni ameliachia maumivu makali sana ambayo linaugulia mpaka leo.
 
Mkuu mie nimeolewa na bado nipo kwenye ndoa ya miaka mingi.... Lkn mara nyingi Kama hayajakukuta utaona Kama Unaishi paradise umezungukwa na malaika. Yakikukuta ndio unaona the other side of your spouse and the other side of marriage.

Na hii ni kwa wote mme na mke. Na ukiujua ukweli unakuwa huru na unaweza kuamua chochote kwa uhuru...

Moyo unageuka jiwe. Kua uyaone mkuu
Basi you must be living in toxic marriage kwa hizi comments.

Mtu anayeishi kwenye ndoa yenye furaha hawezi kutoa poisonous comments kama unazotoa hapa.
 
Halafu wanawaza kizamani eti kampiga chini.. Unampiga chini mtu mwenye hela yake? Ndoa kitugani buana Kama hakuna amani?? Full umalaya mwanaume anajiona hawezi kutii Kiapo cha ndoa, basi bora afanye kwa adabu,... Anafanya waziwazi..

Nasema hiviiii wanaume mjitathmini, enzi ya mwanamke kuitwa malaya imeisha... Endeleeni kuonea wanawake masikini au wale wasiojielewa.

Tuna mioyo ya nyongo pia Kama mkiamua kuwa wanandoa chepukeni kwa nidhamu tafadhali... Maana mkigeuziwa kibao hamchelewi kupata stroke
Ndio maana mimi nasemaga nyie wanawake mliosoma na wenye career na mnaingiza vipato hamfai kuolewa hata kidogo.

Angalia haya mawazo mgando uliyonayo. Eti ndoa kitu gani, kwa hiyo ukishakuwa na hizo hela basi hata ndoa kwako ni kitu cha ziada tu sio? Bali umalaya ndio dili!? Safi sana.

Kwa mawazo haya nazidi kusistiza nyie mnaojiita career/businesswomen hamfai kuwekwa ndani hata kidogo, nyie ni wa kuwa masingle mother maisha yenu yote huku mkifanya ukahaba mtakavyo.

Nyie ni mabomu, na anaeoa wanawake aina yenu hana tofauti na wafuasi wa ISIS wanaotembea na mabomu mwilini 24/7.
 
Mkuu aymatu mimi ni mke na mama wa watoto watatu wakubwa. Nna uzoefu katika ndoa, kuanzia kuwa mnyenyekevu, muoga na mwisho mjeuri coz hakuna jema.

So fikiri nje ya box. Uwe mkweli, wanaume mnaumiza sana wake zenu

Najua sio rahisi kuyaona na kuyajua mambo ya ndoa labda kwa umri mdogo lkn taratibu utaujua ukweli km ukiwa unayaangalia mambo UNBIASED

Sasa bado unasubiri nini kwenye hiyo ndoa? Why don't you quit and spare another woman's son hell on earth?

Hakika huyo mwanaume unayeishi nae bahati yako tu sio mimi.
 
Back
Top Bottom