Ile ndoa imesambaratika!

Ile ndoa imesambaratika!

Japo mchepuko ulionesha kabisa haumuhitaji mama la mama lkn kaamua kushupaza shingo, kitu ambacho hajui (au anajifanya hajui) ni kwamba mwanaume akishaona umevunja ndoa yako/mahusiano yako/nyumba yako kwa ajili yake, automatically anakushusha thamani na anaweza akakubadilikia mazima, ule upendo unaondoka, mahaba yanakwisha inabaki migogoro na mwisho wa yote anakuacha solemba.!

Hapo sasa ndo mjukuu "majuto" anazaliwa na mwenzake "ningejua"
 
Chanzo nini? Usikute mwanamke alishaichoka ndoa na kufanya mahusiano haramu waziwazi ni kutaka kulipiza kisasi. Ndoa zina majaribu makubwa. Mwanamke akifika mwisho wa uvumilivu anaona heri aondoke Kama anaweza kujikimu. Wanakaa kuvumilia wanaume malaya sio kwa kupenda wakati mwingine ni umasikini tu
 
Tatizo wanaume anaona ye kufanya umalaya halali yake wkt wote mna kiapo cha uaminifu

Inafika mda mke nafsi INACHOKA...
Ni either usiwe mnafki uvunje kama uyu mama

Au ufanye kimya kimyaa iwe ngoma drooo..ya nini uwahi kufa kisa mapenzi?..mnabaki mnalea watoto tu
 
Halafu wanawaza kizamani eti kampiga chini.. Unampiga chini mtu mwenye hela yake? Ndoa kitugani buana Kama hakuna amani?? Full umalaya mwanaume anajiona hawezi kutii Kiapo cha ndoa, basi bora afanye kwa adabu,... Anafanya waziwazi..

Nasema hiviiii wanaume mjitathmini, enzi ya mwanamke kuitwa malaya imeisha... Endeleeni kuonea wanawake masikini au wale wasiojielewa.

Tuna mioyo ya nyongo pia Kama mkiamua kuwa wanandoa chepukeni kwa nidhamu tafadhali... Maana mkigeuziwa kibao hamchelewi kupata stroke
 
Umetoka kuchepuka ww, hakyananii si kwa povu ilii
 
Nilivyoona hiyo comment nikamkumbuka mwalimu wangu mmoja hivi alikuwa mshikaji wetu sana enzi hizo uboyizini.

Alikuwa anatwambia "women are like matatuz if you miss this one, just hold on you will get another"

Akimaanisha kwamba wanawake ni kama daladala tu(kule Kenya daladala zinaitwa matatuz) ukiikosa hii wewe kuwa na subira tu itakuja nyingine utapanda.

Hapo alikuwa anatuhasa wanafunzi wake kwamba unapotongoza mwanamke halafu akakukataa, haina haja ya kuumia sana wala kumuwekea bifu just accept rejection kisha nenda katongeze mwingine lazima utampata atakaye kukubali tu.

Unazionaje busara za mwalimu wangu dada Rebecca?
 
Chanzo nini? Usikute mwanamke alishaichoka ndoa na kufanya mahusiano haramu waziwazi ni kutaka kulipiza kisasi. Ndoa zina majaribu makubwa. Mwanamke akifika mwisho wa uvumilivu anaona heri aondoke Kama anaweza kujikimu. Wanakaa kuvumilia wanaume malaya sio kwa kupenda wakati mwingine ni umasikini tu
Aisee kwanini unafanya hizi baseless prejudgements hili tu kumtetea mwanamke mwenzio wakati kila kitu kimeshaelezewa hapo na sababu ni ukahaba tu wa huyo mwanamke?
 
Mhh inasikitisha

Ila natamani sana utuletee upande wa mke

She is not stupid.,15 yrs is no joke

Watoto je?.wako kwa nani?.
Watoto wako na baba. Ni wakubwa 14 na 11 yrs. Hawana shida ila kumkosa mama tu

Bazazi
 
Back
Top Bottom