Amani Msumari
JF-Expert Member
- Aug 21, 2016
- 1,830
- 976
Marehemu Ruge alipata kusema "Ogopa Mungu na teknolojia"
Iko wapi?!Marehemu Ruge alipata kusema "ogopa Mungu na teknolojia
Hakuna ugonjwa mbaya kama hofu inauwa dakika sifuri usifikiri nchi zilizokumbwa na corona kinachouwa watu wengi ni ule ugonjwa no ni hofu ndio inawamalizaMarehemu Ruge alipata kusema "ogopa Mungu na teknolojia
Hiyo ya kamanda kutoka Kanda maalimuIko wapi?!
Hiyo video mmechakachua hapo Lumumba na wadau tumeshaipitia. Kwanza Heche kawa mbunge kuanzia mwaka upi? Ukishaelewa hilo litakusaidia.Marehemu Ruge alipata kusema "ogopa Mungu na teknolojia
Hakuna uchakachuzi wowoteHiyo video mmechakachua hapo Lumumba na wadau tumeshaipitia. Kwanza Heche kawa mbunge kuanzia mwaka upi? Ukishaelewa hilo litakusaidia.
Wanazingua sanaHawa watu wananchi wanao hamu sana ,,wakipata five MPs washukuru Mungu wao
Upinzani uko imara sanaMarehemu Ruge alipata kusema "ogopa Mungu na teknolojia
Kwani heche alisema ndege zinunuliwe bila budget kujadiliwa bungeni, hebu muulizen bichwa nundu budget ya ndege nani alipitisha ukijibu hapo tunaendeleaMarehemu Ruge alipata kusema "ogopa Mungu na teknolojia
Daah, Tabu kweli!Hiyo video mmechakachua hapo Lumumba na wadau tumeshaipitia. Kwanza Heche kawa mbunge kuanzia mwaka upi? Ukishaelewa hilo litakusaidia.
Yeye alitaka ndege zinunuliwe na ziliponunuliwa akapinga. PeriodKwani heche alisema ndege zinunuliwe bila budget kujadiliwa bungeni, hebu muulizen bichwa nundu budget ya ndege nani alipitisha ukijibu hapo tunaendelea
UkasukuUpinzani uko imara sana
imeungwa ungwa hiyo clip...Yeye alitaka ndege zinunuliwe na ziliponunuliwa akapinga. Period
Na huyo Jiwe ndio ana aminika kwa lipiUpinzani hauaminiki
Kuna uongo wowote hapo?imeungwa ungwa hiyo clip...
Acha mabange weweMarehemu Ruge alipata kusema "ogopa Mungu na teknolojia