Ila upinzani mnazingua, hebu angalia hii video

..kubadili msimamo ni jambo la kawaida.

..cha msingi ubadili msimamo ukitumia taarifa sahihi na sababu za msingi.

NB:

..kwa mfano, ccm kwenye makabrasha yao yapo maandiko kwamba "UBEPARI NI UNYAMA."

..lakini leo chama hicho kina viongozi na wanachama wengi ambao ni makabaila, na mabepari uchwara.
 
Kwani heche alisema ndege zinunuliwe bila budget kujadiliwa bungeni, hebu muulizen bichwa nundu budget ya ndege nani alipitisha ukijibu hapo tunaendelea
Yeye alitaka ndege zinunuliwe na ziliponunuliwa akapinga. Period
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom