Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 22,550
- 54,062
Ikawe heri kwako... Siwezi kukuchoma,siku nilisikia wakaguzi wanapitia nakustua...Afu we ndo uta nichoma 🤣🤣🤣, mi jobless bhana 😃🤣🤣.
👉Sema napika bomu, liki lipuka ni 🔥 🔥🔥, tuombeane 🙏🙏
Ikawe heri kwako... Siwezi kukuchoma,siku nilisikia wakaguzi wanapitia nakustua...Afu we ndo uta nichoma 🤣🤣🤣, mi jobless bhana 😃🤣🤣.
👉Sema napika bomu, liki lipuka ni 🔥 🔥🔥, tuombeane 🙏🙏
Yaani we acha tu,mwili wote unalegea,...Ukiwa na njaa tuta iba hata kuzimu, njaa mbaya nyie 🤣😃
Kumbe unaweza kuhimili shida?Bora ulipata maziwa ya kulamba
Wengine njaa zinauma unalamba chumvi na maji unalala
Wee binadamu una tujua 🤣😃😃, sijui tutakula kwanza au tumalize kesi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Dah,tutakiwa kusahau yaliyopita.
Chambo wa wezi una taka kufanya nini 😃🤣, Ume vutiwa na avatar ehh🤣Kumbe unaweza kuhimili shida?
Wee yaani nakimbia na li Dell langu🤣😃, na hivi Nina speed - niki kata Kona ime Isha🤣🏃🏃🏃Ikawe heri kwako... Siwezi kukuchoma,siku nilisikia wakaguzi wanapitia nakustua...
Sijavutiwa na avatar, bali uwezo wake wa kumvumilia shida na raha 😅😅Chambo wa wezi una taka kufanya nini 😃🤣, Ume vutiwa na avatar ehh🤣
Ko una taka um recruit hapo home🤣😃Sijavutiwa na avatar, bali uwezo wake wa kumvumilia shida na raha 😅😅
That's true....Kuna mda unaingia kwenye contacts una scroll kuanzia A mpaka Z una contacts karibia 200+ ila kila jina unaloliangalia huoni wakumuomba hiyo aftatu.
Yeah, nipo kwenye mchakato wa kutafuta jiko. Nishachoka kula kwa mama ntilieKo una taka um recruit hapo home🤣😃
Unananiona laini laini enhe 🤣Kumbe unaweza kuhimili shida?
Mtu Aki quote una ona Kama ana kutukana🤣😃😃Yaani we acha tu,mwili wote unalegea,...
USI sahau kunipa kadi Kaka, nine nine sufuria za chakula🤣😃😃Yeah, nipo kwenye mchakato wa kutafuta jiko. Nishachoka kula kwa mama ntilie
Nilijua ni wale ambao wapo msimu wa mavuno tu........ kwenye kuandaa shamba na kulima wanakimbiaUnananiona laini laini enhe 🤣
Omba Dua mambo yaende vizuri...mrembo aelewe vokoUSI sahau kunipa kadi Kaka, nine nine sufuria za chakula🤣😃😃
Wee mimi ni jembe yaani popote nafitNilijua ni wale ambao wapo msimu wa mavuno tu........ kwenye kuandaa shamba na kulima wanakimbia
Safi....hivyo ndivyo mwanamke anavyotakiwa kuwaWee mimi ni jembe yaani popote nafit
Sema be cautious, beware, may you find the person you well deserveOmba Dua mambo yaende vizuri...mrembo aelewe voko