Ila kupendwa raha nyiee

Ila kupendwa raha nyiee

Huyu manzi wa mtaani hapa namfanyia kila visa ili aniache,ndo kwanza yeye anazidisha mahaba kwangu.

View attachment 3350296
Kwa mwaka huu wa 2025, hakuna mwanamke kama huyo muraa
ULIKUWA UNAJICHATISHA TENA..
hao wanawake walisombwa na gharika ya nuhu..

AU INAWEZEKANA YALIKUWA NI MAZUNGUMZO YA MALAIKA WA GIZA BAADA YA KUPATA MKATE WAO WA MCHANA
 
Hii picha inasambaa sana. Huko whatsapp status kuna watatu wameitumia, instagram page kama 4 hivi, facebook ndio watu kibao wameitumia.

Na hapa jf ndo ww umejitokeza tena.
 
Mmh nyie wenzetu mnafanyaje? Kuna mshkaji wangu naye ana ngekewa ya mademu kama yako na yuko simple tu!

Wakina sisi ni vumbi tu hata msaidizi wa mama ntilie anakuchomolea 🥲
Day nimejikuta nacheka out loud
Mbona comment yako kama umeiandika kwa uchungu sana ndugu yangu
 
Dah! hii dhahabu imedondokea kwenye zizi la nguruwe
 
Password ya demu ni hisia. Ukishaweza kuifungua tu basi! utampelekesha kama Israel na palestine gaza.
 
Huyu manzi wa mtaani hapa namfanyia kila visa ili aniache,ndo kwanza yeye anazidisha mahaba kwangu.

View attachment 3350296
Sema kaka hii screenshot kama umetupiga hivi, huenda sio yako ume download huko wapi sijui....

Screenshot mara mingi zinakuaga zina extension ya .png na sio extension .jpeg

Why pia iwe na u Facebook mwishoni...?!
Screenshot_20250531-200710_Tapatalk%20Pro.jpg
 
Katika mambo yanayonishinda ni kula vitu vya wanawake. (Hela, au kuomba kitu kwao tofauti na uanamke wake)
 
Achana na kucopy Facebook,

Endapo ikitokea serious, Kitu ambacho hujui ni kuwa moyo huwa unachoka, ukiona unamfanyia vituko vingi mtu na ananyenyekea tu jua kuna siku moja tu atachoka hutaamini. Hiyo ni stage ya utoto baadae ukikua utakuja kujiona ulikuwa unafanya ujinga tu.
 
Screenshot yako umechukua kweli kwa simu yako ila ya mtoa mada ina uwalakini...

Kuna watu humu wanatudanganya sana kwa kuvaa uhusika fake kupitia hivi convos za picha hasa za screenshots. Sijui malengo yanakuaga nini kufanya hivyo..
Tuwazoee tu ila kufake sio nyama.
 
Back
Top Bottom