Ila kupendwa raha nyiee

Ila kupendwa raha nyiee

Kuutumia upendo wa mtu kama udhaifu sio ushujaa. Watu wenye tabia hizi ndo mnafanya mioyo ya wanawake kuwa migumu. Kesho umefika wakati wa kuoa kila mwanamke unayemgusa anakupiga matukio. Mnaanza kuleta nyuzi humu za wanawake kutanguliza mbele pesa kumbe ndo malipo mliyoyapanda. Usifanye kitu ambacho hupendo kufanyiwa.
 
Me naona kuna utoto mwingi hapo.

Unajua kupata mtu anaekupenda kabisa duniani na sio mzazi au ndugu yako ni kazi sana.
Sasa mtu anakupenda na wewe humtaki, ebu kuwa mwema kwake angalau kwa kumuheshimu na kuthamini upendo wake. Sio kumchoresha na kuutumia upendo wake kama fimbo ya kumchapia.

"To every action there is an equal and opposite reaction."
Nimelipuuza sana hili jamaa! Namwomba Mungu siku likimwacha huyu binti likaangukie kwenye gaguro lipigwe matukio mpaka likome. Nakumbuka hata mimi wakati wa ujana wangu nilikuwa na kaupuuzi fulani, nikawa namkimbia mtu anayenipenda kwa dhati nakimbilia kwa vinung'ayembe mwisho wa siku nikajisemea huu sasa ujinga maana kila ninakokimbilia nakuta kwa hovyo bora hata wangu wa zamani, ikabidi nijisalimishe!
 
Sasa ngekuambia nn mjinga au mpumbavu hapn Kuna kauli tuu za kiume aaah hata sijamaanisha hivyo ila umelieka personal sana 😂
Umeona nilivokuungia 🤣🤣🤣🙌🙌🙌
Sasa assume ukaniambia kauli kama zile jukwaa la siasa ahahaha yaani mada itabadilika maana ntaita tag langu hilo kuna nomadix
Secretaryndege na wengine
 
Umeona nilivokuungia 🤣🤣🤣🙌🙌🙌
Sasa assume ukaniambia kauli kama zile jukwaa la siasa ahahaha yaani mada itabadilika maana ntaita tag langu hilo kuna nomadix
Secretaryndege na wengine
Afu me siogop mtu akinisema vibaya coz me ndo kituo kikubwa Cha kutoa na kupoozea ko mm nilikuwa nacheka tuu afu nachukulia kma ni serious yaan 😂
 
Back
Top Bottom