Isenye
JF-Expert Member
- Dec 22, 2024
- 486
- 2,076
Unaforce upewe pesa na msosiKivipi afsa?
Unaforce upewe pesa na msosiKivipi afsa?
Hauna simu mbili kweli wewe?😁😁, au umemuokota mmoja asiyejielewa hapo street?Huyu manzi wa mtaani hapa namfanyia kila visa ili aniache,ndo kwanza yeye anazidisha mahaba kwangu.
View attachment 3350296
Nimecheka dadeq😂Mmh nyie wenzetu mnafanyaje? Kuna mshkaji wangu naye ana ngekewa ya mademu kama yako na yuko simple tu!
Wakina sisi ni vumbi tu hata msaidizi wa mama ntilie anakuchomolea 🥲
Hapo mwenye chats nyeusi na chats za pink ni nani!View attachment 3350401
Mwingine huyu 😎
Acha tu inauma sometimesNimecheka dadeq😂
Nyeusi ni ke na pink ni meHapo mwenye chats nyeusi na chats za pink ni nani!