The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 34,093
- 102,593
Kwenye huu uzi nili comment ''Ngoja waje wale wa mtaachana tu''
😀😀
Pole kwa kuachwa,Ila kuachwa umri huu..
Na mbwembwe zote zile za kuandika na Uzi,. Ukiachana na kujimaliza WhatsApp statuses,. Ndugu na jamaa na marafiki,. Mliokua single nlikuwa nawaona hamna akili sawasawa,. Aaah Leejay mbwa Mimi kiko wapi sasa
Sio Tu kuachwa ni kudhalilikaaa,. Hakii nimevuliwa nguo🤸🤸,.
Pombe hazileweshi sijui nijaribu bangi
(Ok nilicheat ndiomaana nimeachwa),. Sa ningefanyaje Mxiiewww
Anyway anaejua kurudisha Instagram Account bila access ya phone number anisaidie
Mliochangia huu uzi wote malaya tu 😹😹😹
Nna mimba changa sitaki makelele i
Kumbe akiwa hajakizi vigezo alafu kikabuma inawaumaga sana?Jirani pole 😹😹
Oga rudi kwa soko muda bado utapata mwingine..!!
Ila uliechit naye kuna vitu kakosa usingejilaumu na kujiliza mahi 😹
Ahsante maana kutwa kunitishia tu humu ndani na waganga njaa wakeHao waganga wako waongo uduguu 😹😹
😂😂😂😂😂Loooh nilikuwa sijacheka leo 😄
Hapo sasa, 😂😂😂😂😂Na wengine ikichomoka hua wanairudisha ndani wao wenyewe,halafu wa hivyo anakuja kukwambia ilikua bahati mbaya wakati alikua anairudisha ndani inapochomoka.
😀😀
😂😂😂😂Wasomi haiii
😂😂😂😂😂Kabisa aisee...maana kuna watu wanasambaratisha kila kitu..ni wakatili haswa...hahaha
😂😂😂😂😂Halafu uko far
Ile unawaza umeiweka kwa jua itakuwa kavu ngumungumu
Unakuta iko mbwambwa Utajua haujui
Wangu anapatikana congress, msumbiji mwanzoni karibu na mpaka wa mto ruvuma.Unamtumiaga yupi?
Wa peramiho
Wa namtumbo
Wa Nyasa
Ama kijiji cha Tanga pale.
Coca Kuna konekshen ya mtaalam wa ......... naitajiKumbe kosa ni lako ndo maana umeachwa mlongo, hapo pambana mwayaa.
Ingekua vinginevyo, ningekupasia mganga konkii, ex shem angekufata kukuomba msamaha huku akiwa anatambaa km mtoto wa miezi 9.
😂😂😂😂😂
Wangu anapatikana congress, msumbiji mwanzoni karibu na mpaka wa mto ruvumaUnamtumiaga yupi?
Wa peramiho
Wa namtumbo
Wa Nyasa
Ama kijiji cha Tanga pale.
Ni kwa wanawake pekeeUnapass wagangaa kwa wanaume pia?
Mkemia mkuu anaweza kukutengenezea wa kwako customized ambaye ataweza kukaa bubu tu hata ukimletea mwanaume ndaniDaah,.
Even for once??
Thanks anyways..
Uko serious?Coca Kuna konekshen ya mtaalam wa ......... naitaji
Jamaniii 😂😂😂😂😂Imagine aliwekwa dogi kitu ikapakwa mafuta fikicha kidogo kwenye mashavu ya naniii route mbili tatu penyeza yote chekecha nyashi ifiti vizuri mamaye 😂hakuna kusamehe msalitii
Yes mamii! Njoo bas pm tuongee.Uko serious?
Jamani km uko serious, njoo PM nikupe connection.Namuomba huyo mganga konki maana shemeji yako anashindwa kutuliza Delibolo lake 🚶♀️🚶♀️🚶♀️🚶♀️🚶♀️