Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 36,212
- 86,849
Manyau nyau ushaanza chai 😹😹Sikuwaga na kazii Wala pesa kipindii ichoo..
Zile ngoja kesho baadae akachoka kuzi subiria..
Nilitamani nimuone siku zotee kwenye maisha yangu.
Bonge la nyau ft barnaba..VICE VERSA.
Akaenda kuolewa na mwenye pesa..simlaumu ila takribani miongo Sasa sijawai msamehe
Huyu alinishepu sana kua na moyo mgumu na kua heartless.
NB. Hapa Kuna demu mmoja anajua na mke..ila still ananitaka simu nyingi sana halafu hakati tamaa yaani sipokei simu zake hachokii sijui wanawake wa hivii Wana akili ganii
Demu yupi huyo anakutaka? 🤣