Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 43,848
- 103,784
Na ww ukiwemoUsitujumlishe wote tafadhali....

Hahahaha,wanasema kuachwa kunaumaIla kuachwa umri huu..
Na mbwembwe zote zile za kuandika na Uzi,. Ukiachana na kujimaliza WhatsApp statuses,. Ndugu na jamaa na marafiki,. Mliokua single nlikuwa nawaona hamna akili sawasawa,. Aaah Leejay mbwa Mimi kiko wapi sasa
Sio Tu kuachwa ni kudhalilikaaa,. Hakii nimevuliwa nguo🤸🤸,.
Pombe hazileweshi sijui nijaribu bangi
(Ok nilicheat ndiomaana nimeachwa),. Sa ningefanyaje Mxiiewww
Anyway anaejua kurudisha Instagram Account bila access ya phone number anisaidie
Pole ndugu kila action ina malipo yake vumilia tuu. Lia, oga pendeza endelea na maisha mengine. Songa mbele kama ambulance vile maana ukisema ulazimishe penzi hapo utapigwa matukio hadi uombe poo.Ila kuachwa umri huu..
Na mbwembwe zote zile za kuandika na Uzi,. Ukiachana na kujimaliza WhatsApp statuses,. Ndugu na jamaa na marafiki,. Mliokua single nlikuwa nawaona hamna akili sawasawa,. Aaah Leejay mbwa Mimi kiko wapi sasa
Sio Tu kuachwa ni kudhalilikaaa,. Hakii nimevuliwa nguo🤸🤸,.
Pombe hazileweshi sijui nijaribu bangi
(Ok nilicheat ndiomaana nimeachwa),. Sa ningefanyaje Mxiiewww
Anyway anaejua kurudisha Instagram Account bila access ya phone number anisaidie
Namuomba huyo mganga konki maana shemeji yako anashindwa kutuliza Delibolo lake 🚶♀️🚶♀️🚶♀️🚶♀️🚶♀️Kumbe kosa ni lako ndo maana umeachwa mlongo, hapo pambana mwayaa.
Ingekua vinginevyo, ningekupasia mganga konkii, ex shem angekufata kukuomba msamaha huku akiwa anatambaa km mtoto wa miezi 9.
😂😂😂😂😂
AvacheWanaJF tumefurahi sana 😂
Bro i see heavy shitsJesus!!!!!!!
JF imekuwa uwanja wa DRAMA...😁
Wizara ya acheee achee production.Ila waja, khaaah 😂😂😂😂😂
Ukilalamika kuachwa ujue kuna kitu hujafanya vizuri.Ila kuachwa umri huu..
Na mbwembwe zote zile za kuandika na Uzi,. Ukiachana na kujimaliza WhatsApp statuses,. Ndugu na jamaa na marafiki,. Mliokua single nlikuwa nawaona hamna akili sawasawa,. Aaah Leejay mbwa Mimi kiko wapi sasa
Sio Tu kuachwa ni kudhalilikaaa,. Hakii nimevuliwa nguo🤸🤸,.
Pombe hazileweshi sijui nijaribu bangi
(Ok nilicheat ndiomaana nimeachwa),. Sa ningefanyaje Mxiiewww
Anyway anaejua kurudisha Instagram Account bila access ya phone number anisaidie
Sikuwaga na kazii Wala pesa kipindii ichoo..Ni bahati mbaya jamani,.
Nampenda ndio ( Umbali tatizo nikashindwa kukaza )
Na nyie hivyo hivyo mbwa wee 😏Wanawake wote ni malaya, wanatofautiana mbinu tuu.
Hao waganga wako waongo uduguu 😹😹Kumbe kosa ni lako ndo maana umeachwa mlongo, hapo pambana mwayaa.
Ingekua vinginevyo, ningekupasia mganga konkii, ex shem angekufata kukuomba msamaha huku akiwa anatambaa km mtoto wa miezi 9.
😂😂😂😂😂
Wala sio malaya huyo mbaga ana kisirani 😹Sasa mtu akipata type yake ni malaya
Because uzi huu ni chai. Hakajaachwa ka Leejay kanachangamsha genge tu.Mbona kama uzi una shangwe wakati ni wa kuachwa
Wewe umekosa sana Abood 2 mwanakwetu 😹😹Body count is not an issue sometimes