Ila kuachwa

Ila kuachwa

Upo sahihi kabisa na wanakuwaga na machozi ya karibu hao balaa, kuna mmoja alilia siku mbili mfululizo lakini nikasema no siwezi huu ujinga.
Ukimsamehe basi atakudharau zaidi ya alivyokudharau mwanzo,na atazidisha kukucheat,coz kucheat ni tabia na sio ajali,

Pia utaishi nae kwa wasiwasi coz hutamuamini tena,life is too short,kwanini uishi kwa wasiwasi?

Msaliti,mfungulie mlango aende zake kisha delete kila kitu kinachohusiana nae na uingie kwenye Dunia nyingine kabisa bila yeye.
 
Yah huu ndo ukweli, kuwa malaya sio lazima ujipange barabarani au kuwepo kwenye channel za ujiuzaji.
Ni hatari sana, mwanamke unaweza ukamnunulia ndinga la milioni 200 akatoka kwenda misele njiani akakutana na boya mmoja tu akampatia kamseleko kufika mbele mafuta yamekata, basi jamaa akijiongeza tu akamchangia mwekundu 1 tu wa mafuta hiyo inatosha kabisa kuwa tiketi ya kukusaliti, wanawake mambo yao wanayajua wenyewe ni ya hovyo sana.
 
Mwanamke kwenye suala ya kutoa mbunye, ni suala la sekunde tuu, muingie vzr tuu.
 
Back
Top Bottom