Ila kuachwa

Ila kuachwa

Eleza yaliyokukuta ili vijana wangu wacheke na kujifunza , binti Leejay kaeleza wazi wazi bila hofu.
Huyo ni mwanamke ndiyo maana, kwa mwanaume ni dhambi kubwa sana kukiri mahakamani kwamba matrako ya wadada huwa yanakusumbua mtaani, ni mbaya sana hata shetani mwenyewe hawezi kukusamehe kamwe.
 
Ila kuachwa umri huu..

Na mbwembwe zote zile za kuandika na Uzi,. Ukiachana na kujimaliza WhatsApp statuses,. Ndugu na jamaa na marafiki,. Mliokua single nlikuwa nawaona hamna akili sawasawa,. Aaah Leejay mbwa Mimi kiko wapi sasa

Sio Tu kuachwa ni kudhalilikaaa,. Hakii nimevuliwa nguo🤸🤸,.
Pombe hazileweshi sijui nijaribu bangi

(Ok nilicheat ndiomaana nimeachwa),. Sa ningefanyaje Mxiiewww

Anyway anaejua kurudisha Instagram Account bila access ya phone number anisaidie
 
Kumbe kosa ni lako ndo maana umeachwa mlongo, hapo pambana mwayaa.

Ingekua vinginevyo, ningekupasia mganga konkii, ex shem angekufata kukuomba msamaha huku akiwa anatambaa km mtoto wa miezi 9.

😂😂😂😂😂
Unapass wagangaa kwa wanaume pia?
 
Pole sana Lee, ***t happens sometimes, jitahidi ujisamehe wewe mwenyewe japo ni ngumu ila you’ll eventually heal na isijirudie tena sababu kuna guilty kwenye mioyo yetu huwa zinachukua muda sana to get rid of..

alifuma msg ama uli confess kwake..!? natamani kufahamu yeye alijuaje..!?
 
Umecheat wewe.
Umeachwa wewe.
Unaumia wewe.

Tafsiri yake ndogo ni kuwa ulicheat na mtu sio sahihi kwako, otherwise usingeumia...!

Nampa heko huyo kidume, iwe umecheat physically au emotionally, hakuna msamaha kwa mwanamke anayecheat! Cheating women don't make good wives or mothers, most often, wanaume mlijue hili...
 
Mimi nishakupenda tayari.
Sababu umekuwa mkweli.
Umesema wewe ndiye mkosaji umemsaliti.
Wanawake wenzio wengi huongopa na kumrushia lawama mwanaume waliemkosea.
Kusema ukweli ni hatua nzuri ya kuacha kutenda tena hilo kosa. Hatua nzuri ya kujirekebisha.
 
Ni kweli ama furahisha genge?
Wengi hawasemagi mambo ya aibu kama haya yanapowatokea.
Ina maana unajuta? Siyo mzoefu wa hii michezo au hili la yeye kujua ndo lililokuuma zaidi?
Shida ya JF members ni kusave matukio na kuja kuyatumia hapo baadaye. Inawezekana kwa Sasa ukawa unatumia JF kama njia ya kubounce back emotionally ila baadaye kuna hatari ya ID yako kutumika negatively.
CIAO
 
Back
Top Bottom