Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 45,032
- 111,624
Kwa bahati mbaya siku hizi wanaume wengi hawaliwezi hili wanabaki kulia lia.Ukimsamehe basi atakudharau zaidi ya alivyokudharau mwanzo,na atazidisha kukucheat,coz kucheat ni tabia na sio ajali,
Pia utaishi nae kwa wasiwasi coz hutamuamini tena,life is too short,kwanini uishi kwa wasiwasi?
Msaliti,mfungulie mlango aende zake kisha delete kila kitu kinachohusiana nae na uingie kwenye Dunia nyingine kabisa bila yeye.