Ila kuachwa

Ila kuachwa

Wee nae liongo liongo lol! 😹😹
Wewe si ulisema mkinga hujamla?

Sema wakinga unatuelewa ni vile hatukuzingatiii 😹
Nilisema wapi? Yeye ndie anaetaka mechi irudiwe ila mimi nampotezea.

Nyie ndio mnanielewa ila siwazingatii. 😂
 
Mamaaaaaa hizi comments ntamaliza kusoma kweli?,
Ila ngoja nijitahidi👀👀
 
Back
Top Bottom