Red black
JF-Expert Member
- Nov 29, 2019
- 11,896
- 36,749
Countrywide aione kwenye jalada.
Waganga wangu sio matapeli, 😂😂😂😂😂😂Hao waganga wako waongo uduguu 😹😹
😂😂😂😂😂Wizara ya acheee achee production.
😃😊😊
Aliye cheat nae ni low classic kuliko main chibaba.Jirani pole 😹😹
Oga rudi kwa soko muda bado utapata mwingine..!!
Ila uliechit naye kuna vitu kakosa usingejilaumu na kujiliza mahi 😹
😂😂😂😂😂Manyau nyau ushaanza chai 😹😹
Demu yupi huyo anakutaka? 🤣
Asichelewe kabisa kabisa 😂😂Vzr umejua kosa la kuachwa sasa unalewa nn?huyo uliyechiti nae kakuacha! sasa oga ingia barabarani usipoteze muda kuumia
Wee mzungu pori ni muongoo!! 😂😂😂😂Kumbe akiwa hajakizi vigezo alafu kikabuma inawaumaga sana?
Mkinga mwenzako nilimchangamsha vizuri ad akakolea alafu ghafla nimempotezea. Tukikutana road ananiwakia balaa
Nakutishia?? Wee mzungu porii utarogwaa ujue.Ahsante maana kutwa kunitishia tu humu ndani na waganga njaa wake
Ko mie nna drama? Zipi hizo?Hizi ni drama tu Wala usipoteze muda kudeal nazo kama Cocastic bas tu ....
Wee huogopii? 😂😂😂Yes mamii! Njoo bas pm tuongee.
naogopa...umaskin lakini ndio naogopa coca ..Wee huogopii? 😂😂😂
Basi sawaanaogopa...umaskin lakini ndio naogopa coca
Akiwa hewani ani tag uone kweriiiii au sio kweriiiii 😃 🤣 kua yule demu anasumbua sana.😂😂😂😂😂
Ah hii reply ukimpa uliyemcheat mkuu tutazika 😄You didn't cheat.. you upgraded to somebody better😍
Mwamba ee lile limshangazi lipo wapi?Yah sio issue kwa malaya.
Yani uniloge kisa kukomentiNakutishia?? Wee mzungu porii utarogwaa ujue.
We hisi utani, shauri yakoo. 😂😂😂😂😂
Najua hutoamini ila ndio kweliWee mzungu pori ni muongoo!! 😂😂😂😂
Uongooo.Najua hutoamini ila ndio kweli