Ila jamani nchi yetu ni masikini, khaa

Ila jamani nchi yetu ni masikini, khaa

mtu anaishi nyumba ya nyasi,ana gunia 200 za mpunga ndani,ana gunia 150 za mahindi,ana ng'ombe 300 wengine kawapeleka sehemu nyingine malishoni huyo mtu unaweza kumweka kundi gani. Wengi wanaongelea mtu masikini ni yule hana nyumba nzuri ya kuishi,lakini ukweli ni kwamba wanajidanganya, mleta mada huwa anapita tu vijijini anachungulia dirishani na kuona nyumba zilizoezekwa kwa makuti na kutoa picha ya jamii yote ni maskini,hataki kujifunza tamaduni na mwenendo mnzima wa maisha ya watu. Naweza kuta mtu amejenga nyumba nzuri lakini life style yake haiko sawa,nyumba hiyo ameiweka bond,hana kitu zaidi ya kufanya biashara ya mkopo, unamlinganishaje mtu huyo na mfugaji,mwenye mashamba,mkulima aliyeamua kujenga nyumba zilizoezekwa kwa makutu? Lazima unapoleta mada yako ufanye na utafiti kidogo ufuatilie life style za watu hao unaowazungumzia. Afya bora,mavazi si kipimo cha umas
Umasikini sio lazima uwe na njaa au ukose ng’ombe, hata ukosefu wa uwezo wa kuchagua maisha bora zaidi ni umasikini. Unaweza kuwa na magunia ya mazao lakini bado ukose maji safi, elimu bora au huduma za afya, nyumba yako mbaya. Hapo bado ni umasikini wa miundombinu, sio wa chakula tu.

Hata hivyo Watanzania wengi maisha yao hayapo hivyo. Wengi chakula walicho nacho ni cha kula wao tu sio kwamba wanauza ili wapate hela ndefu. Hapana

Na ukitaka kujua hao watu ni masikini, subiri uone wakishaanza kuumwa magonjwa ambayo ukienda hospitali unahitaji hela kutibiwa, hapo ndio utaona bila kuomba kuchangiwa hatoboi. Watu wengi hata uwezo wa kumsomesha tu mtoto kwa hela zao wenyewe hadi chuo kikuu hapa Tanzania hawawezi. Kwa ulimwengu wa sasa huo ni umasikini. How can you convince me that watu wanaoishi kwenye nyumba nilizoziona sio masikini? Unaongea porojo tu
 
Kwa afya yake, usafi wake, mavazi yake, makazi yake, chakula chake, maji yake n.k
Kwa jicho la jamii masikini ni mtu yoyote anayekosa mahitaji yake muhimu (needs); kwa jicho la mtu mwenyewe masikini ni mtu yoyote anayekosa (matamanio yake) wants; Tukija level ya kidunia na mipango miji na ecosystem tuhahitaji sustainability hence mtu wa kijijini Ambaye hana maji ya Bomba na anatumia maji ya mto ambao ametenga levels (sehemu ya maji ya kunywa, sehemu ya kuoshea vyombo, kuoga, kufulia na mwisho mifugo yake inatumia) anaweza akawa in a better position kuliko wewe unajiona una maji ya bomba wakati unakula sewage....; Huyu anaweza akawa na maisha safi kiafya kwa kuvuta hewa yenye natural air-condition kuliko aliyepo New York, Shangahi au hata Bombay anavuta Carbon Dioxide na akirudi kwake anatumia circulated air (kutoka kwenye AC)

Unaweza ukawa mtu wa kula burger (processed food ambayo ni junk) na ukamcheka mtu anayekula mchicha fresh kutoka shambani na kuku wake anayezagaa mitaani kila mwisho wa mwezi ingawa kwa pesa ni wewe umetumia zaidi ila kwa sustainable percepective yeye ndio akawa anaishi maisha safi na yenye afya...
 
mtu anaishi nyumba ya nyasi,ana gunia 200 za mpunga ndani,ana gunia 150 za mahindi,ana ng'ombe 300 wengine kawapeleka sehemu nyingine malishoni huyo mtu unaweza kumweka kundi gani. Wengi wanaongelea mtu masikini ni yule hana nyumba nzuri ya kuishi,lakini ukweli ni kwamba wanajidanganya, mleta mada huwa anapita tu vijijini anachungulia dirishani na kuona nyumba zilizoezekwa kwa makuti na kutoa picha ya jamii yote ni maskini,hataki kujifunza tamaduni na mwenendo mnzima wa maisha ya watu. Naweza kuta mtu amejenga nyumba nzuri lakini life style yake haiko sawa,nyumba hiyo ameiweka bond,hana kitu zaidi ya kufanya biashara ya mkopo, unamlinganishaje mtu huyo na mfugaji,mwenye mashamba,mkulima aliyeamua kujenga nyumba zilizoezekwa kwa makutu? Lazima unapoleta mada yako ufanye na utafiti kidogo ufuatilie life style za watu hao unaowazungumzia. Afya bora,mavazi si kipimo cha umas
Sawa lakini hata muonekano wa tajiri na maskini unaonekana. Tanzania umaskini ni mkubwa sana. Lakin umaskini mwingi wetu ninafikiri ni wa kifikra zaidi kama wa kilaana vile. Nimepata bahati ya kutembelea baadhi ya nchi za kiafrika na umaskini wake unafanana tu. Kusema ukweli kuna kitu waafrika tunapungukiwa kwenye akili zetu. Zaidi tukiona mtu mwenye akili tunamtupa chini na kuweka wale wasifaa kutuongoza. Kuna vitu pia kama ushirikina, uvivu, wizi, rushwa, ngono, kutokupata elimu nzuri, nepotism na mengineo mengi vinatufanya kila siku ili bara liendeele kwenda chini. Mtazamo wangu ni kuwepo na mapinduzi makubwa ya kifikra kama waliyo fanya Wachina, wakorea, Singapore na wajerumani labda tunaweza tukatoka. Lakini hao viongozi wakutongoza huko wako wapi?. Ni hawa wanaongangania madaraka kwa nguvu hata 95yrs wanataka kutawala. Hiyo ndiyo inafanya vijana wengi wakate tamaa ya maisha.
 
"Mshamba naye katoka kidogo"
Ingekuwa nimeenda sehemu nzuri nikaja kuipamba huku ningekuelewa kuniita mshamba. Sasa nimetoka nje nimekutana na umasikini wa kutisha, nakuja kusema humu ndio unaniita mshamba?
Naomba nikuombe radhi nadhani umejisikia vibaya kukuita mshamba.Sasa basi nikutafsirie jina ushamba kwa kingereza ni layman.Hakuna binadamu ambaye sio mshamba.Maana ya neno mshamba usitafsiri kama lilivyo sababu ya neno M-Shamba kwa maana porini au vijijini.
U-lay man ni kitu ambacho hujawahi fanya au kuona unakuwa mgeni kwa kanda ya ziwa wanaita mashikolo mageni.Mfano mimi nikuambie ushamba wangu toka hizo flyover sijengwe dar sijawahi teremka nikaziona niko huku mikoani naweza kuendesha gari lakini nikija dar siwezi endesha mjini sasa huo ni ushamba.Mfano mwingine sijawahi endesha ndege au pikipiki kwa maana hiyo nikifika anga hizo nakuwa mshamba.

Usijisikie vibaya ndugu yangu nimekuita mshamba sababu ume generalize watanzania ni maskini kuna sehemu humu humu nchini ukienda unaweza waza hivi hapa ni Africa au Tanzania kweli? kuna sehemu zina maendeleo makubwa mno huwezi amini mimi nimegundua wewe umepita sehemu ukazi judge kwa macho tu ya haraka.

Marekani inahesabika ni nchi iliyoendelea lakini kuna wananchi hawana pa kuishi au tuseme homeless hata Tanzania tumewaacha mbali sana kwa hili.Nenda wingereza ukiwa katikati ya jiji la London huwezi jua toka nje kilomita chache wako watu wanalala chini ya madaraja.
Picha hiyo kushoto ni slum za mji mmoja wapo wa Marekani unaitwa Camden na picha ingine kulia ni watu wasio na makazi nchi ya Canada wakiwa kwenye mahema yao chini ya daraja.

Ni ukweli ulio wazi kuwa ni kweli kwa muonekano masikini wa Tanzania na makazi yao utaona ni mabaya sana ila kwa weupe kwao sababu ya hali ya hewa ya baridi sana lazima utakuta ana jacket kujikinga na baridi na ana hema au tandiko la kulalia serikali inawapa msaada lakini syle ya maisha yao ni ya shida sana bora huku kwetu.

Be in peace my friend usisite kuleta mada hapa JF tujadili
 
Attachments

  • Screenshot 2025-10-27 130601.png
    Screenshot 2025-10-27 130601.png
    310.2 KB · Views: 16
  • Screenshot 2025-10-27 132201.png
    Screenshot 2025-10-27 132201.png
    1.3 MB · Views: 15
mtu anaishi nyumba ya nyasi,ana gunia 200 za mpunga ndani,ana gunia 150 za mahindi,ana ng'ombe 300 wengine kawapeleka sehemu nyingine malishoni huyo mtu unaweza kumweka kundi gani. Wengi wanaongelea mtu masikini ni yule hana nyumba nzuri ya kuishi,lakini ukweli ni kwamba wanajidanganya, mleta mada huwa anapita tu vijijini anachungulia dirishani na kuona nyumba zilizoezekwa kwa makuti na kutoa picha ya jamii yote ni maskini,hataki kujifunza tamaduni na mwenendo mnzima wa maisha ya watu. Naweza kuta mtu amejenga nyumba nzuri lakini life style yake haiko sawa,nyumba hiyo ameiweka bond,hana kitu zaidi ya kufanya biashara ya mkopo, unamlinganishaje mtu huyo na mfugaji,mwenye mashamba,mkulima aliyeamua kujenga nyumba zilizoezekwa kwa makutu? Lazima unapoleta mada yako ufanye na utafiti kidogo ufuatilie life style za watu hao unaowazungumzia. Afya bora,mavazi si kipimo cha umas
Acha porojo, watu wenye ng'ombe 300 katika vijiji vingi Tanzania ni wa kuhesabu kwenye kiganja, watu wengi wanaopokea 30,000 za TASAF kwa mwezi wako vijijini, watoto wengi waliodumaa, wenye kwashakoo na utapiamlo wako vijijini, watoto wengi wenye funza miguuni wako vijijini.
 
Kwa jicho la jamii masikini ni mtu yoyote anayekosa mahitaji yake muhimu (needs); kwa jicho la mtu mwenyewe masikini ni mtu yoyote anayekosa (matamanio yake) wants; Tukija level ya kidunia na mipango miji na ecosystem tuhahitaji sustainability hence mtu wa kijijini Ambaye hana maji ya Bomba na anatumia maji ya mto ambao ametenga levels (sehemu ya maji ya kunywa, sehemu ya kuoshea vyombo, kuoga, kufulia na mwisho mifugo yake inatumia) anaweza akawa in a better position kuliko wewe unajiona una maji ya bomba wakati unakula sewage....; Huyu anaweza akawa na maisha safi kiafya kwa kuvuta hewa yenye natural air-condition kuliko aliyepo New York, Shangahi au hata Bombay anavuta Carbon Dioxide na akirudi kwake anatumia circulated air (kutoka kwenye AC)

Unaweza ukawa mtu wa kula burger (processed food ambayo ni junk) na ukamcheka mtu anayekula mchicha fresh kutoka shambani na kuku wake anayezagaa mitaani kila mwisho wa mwezi ingawa kwa pesa ni wewe umetumia zaidi ila kwa sustainable percepective yeye ndio akawa anaishi maisha safi na yenye afya...
Nyie watu mna porojo nyingi sana, Nenda hapo Dodoma makao makuu ya nchi uone hali ya hatu wa vijijini ilivyo mbaya, maji wengine sijui wanachimba mchanga ndio wapate na wengine wanatembea kilometa ndio wapate, omba omba wamejaa tele huko vijijini mpaka wengine wanakimbilia mijini.
Ni ujinga kufikiri Mwafrica mwenye life expectancy ya miaka 67 anaweza kuwa na maisha bora kuliko Mjapani mwenye life expectancy ya miaka 84, haiingii akilini.
Katika vipimo vyote kuanzia GDP, GDP per capita hadi HDI Africa iko nyuma sana kimaendeleo na Tanzania ikiwemo.
 
Nani kasema Dodoma Vijijini ni Matajiri ? Hivi unajua Ukame wa Dodoma ? Still pamoja na Ukame wao waliweza kuishi maisha sustainable (kama ya ujio wa kukimbilia mijini na kuwa ombaomba) kwa kuweza kujenga na nyumba zao tembe ambazo ziliweza kutumika pia katika kuanika mazao yao - It's all about kuishi na kupambana na mazingira yako sustainability na maendeleo lazima yaendane na three Pillars (Environment; Social na Economical)
Ni ujinga kufikiri Mwafrica mwenye life expectancy ya miaka 67 anaweza kuwa na maisha bora kuliko Mjapani mwenye life expectancy ya miaka 84, haiingii akilini.
Maisha bora ni nini ? Hivi unajua duniani kwa sasa Negano ndio kuna life expetancy kubwa na kabla ya vita walikuwa na worse life expectancy ? Unajua how they turned it around; Waligundua kwamba kwanza chakula chao walichokuwa wanatunza kilikuwa na chumvi nyingi kwahio wakabadilisha diet; wakaongeza activities za wazee ku-retire later na kuongeza hata sehemu za watu kutembea kwa miguu zaidi (activities) kwahio they became more active...; Tofauti labda na mtu aliyepo USA anakula Mcdonalds chai na Burger King mchana kabla ya kumaliza Pizza (Domino take away ) Junks Foods...
Katika vipimo vyote kuanzia GDP, GDP per capita hadi HDI Africa iko nyuma sana kimaendeleo na Tanzania ikiwemo.
Unapima nini ? Unaweza kusema mmasai aliyepo huko na ngo'mbe wake na eneo la kutosha na anaishi sustainably (kuanzia chakula chake, mpaka leisure yake) yupo nyuma kimaendeleo wakati yeye destination yake ni pale alipo ? Au unamaanisha nini ukisema maendeleo ? Ofcourse watu wanaoishi mijini kama njiwa bila usafiri wa kutoka A mpaka B; No means ya kupata chakula wala uhakika wa their basic needs ni masikini / mafukara -na hio ni kutokuwa na mipango na pengine kuiga vitu (copying and pasting) bila kuwa na master plan (Au brainwashed kudhani skyscrapper au Paa la M-South ndio Kuendelea)
 
Kuna jamaa juzi katoka kigoma yupo Lindi mpaka kachoka,kwanza alipo hata gari halifiki,full gendere tu wanaingia mpaka ndani,mtandao nao anasema ni washinda sana

Jamaa kasema kumbe kigoma wanasema ni pabaya kwavile ipo mbali na dar tu
 
Naomba nikuombe radhi nadhani umejisikia vibaya kukuita mshamba.Sasa basi nikutafsirie jina ushamba kwa kingereza ni layman.Hakuna binadamu ambaye sio mshamba.Maana ya neno mshamba usitafsiri kama lilivyo sababu ya neno M-Shamba kwa maana porini au vijijini.
U-lay man ni kitu ambacho hujawahi fanya au kuona unakuwa mgeni kwa kanda ya ziwa wanaita mashikolo mageni.Mfano mimi nikuambie ushamba wangu toka hizo flyover sijengwe dar sijawahi teremka nikaziona niko huku mikoani naweza kuendesha gari lakini nikija dar siwezi endesha mjini sasa huo ni ushamba.Mfano mwingine sijawahi endesha ndege au pikipiki kwa maana hiyo nikifika anga hizo nakuwa mshamba.

Usijisikie vibaya ndugu yangu nimekuita mshamba sababu ume generalize watanzania ni maskini kuna sehemu humu humu nchini ukienda unaweza waza hivi hapa ni Africa au Tanzania kweli? kuna sehemu zina maendeleo makubwa mno huwezi amini mimi nimegundua wewe umepita sehemu ukazi judge kwa macho tu ya haraka.

Marekani inahesabika ni nchi iliyoendelea lakini kuna wananchi hawana pa kuishi au tuseme homeless hata Tanzania tumewaacha mbali sana kwa hili.Nenda wingereza ukiwa katikati ya jiji la London huwezi jua toka nje kilomita chache wako watu wanalala chini ya madaraja.
Picha hiyo kushoto ni slum za mji mmoja wapo wa Marekani unaitwa Camden na picha ingine kulia ni watu wasio na makazi nchi ya Canada wakiwa kwenye mahema yao chini ya daraja.

Ni ukweli ulio wazi kuwa ni kweli kwa muonekano masikini wa Tanzania na makazi yao utaona ni mabaya sana ila kwa weupe kwao sababu ya hali ya hewa ya baridi sana lazima utakuta ana jacket kujikinga na baridi na ana hema au tandiko la kulalia serikali inawapa msaada lakini syle ya maisha yao ni ya shida sana bora huku kwetu.

Be in peace my friend usisite kuleta mada hapa JF tujadili
Marekani I a watu

Marekani Ina watu milion 340 ila Ina homeless 700,000 Tena wengi wao ni watumiaji wa madawa ya kulevya na sio eti ni ugumu wa maisha kama ilivyo bongo.

Hizo hoja zenu za homeless danganyeni wengine.
 
Ndugu,

Shinyanga ni mkoa uliokuwa unatosha sana kutufanya Watanzania tuishi kwa raha mustarehe. Almasi na Dhahabu iliyoko pale ni ya kutosha mnooo kama ingeratibiwa vizuri. Sasa kama lango kuu la nchi kapewa mgeni kwamba sisi tumeshindwa, unategemea nini?
 
Hamna mkoa uliokosa vijiji/mitaa ya masikini hapa Tz.

Huko Lindi ndo balaa, kunasifika kwa umasikini wa kutupwa na miundombinu duni.

Kuna kijiji nilifika huko Shinyanga, wanakunywa maji kama wanayokunywa wanyama aisee, ni machafu, wageni wanapewa matikiti walau wapoze kiu maana yale maji wengi tuliyashindwa.

Na mbaya zaidi wengi huzeekea kwenye hali hiyohiyo bila kubadili mazingira, matokeo yake ni ngumu kupata mabadiriko.
Na hao watu huwaambii chochote kibaya kuhusiana na mifumo mibovu ya chama tawala
 
Dah nlikua siamini hilo..safari zangu za maeneo mengi niliozunguka hapa Tz nilikua naishia maeneo ya mjini.. ila nilivyoanza kuingia ndani ndani huko dahh aisee inasikitisha.
 
Marekani I a watu

Marekani Ina watu milion 340 ila Ina homeless 700,000 Tena wengi wao ni watumiaji wa madawa ya kulevya na sio eti ni ugumu wa maisha kama ilivyo bongo.

Hizo hoja zenu za homeless danganyeni wengine.
Raisi wa Korea ya kaskazini ngoja nikuambie kitu mkuu
Ukilinganisha homeless wa Tanzania na Marekani unakosea sana.
Marekani unaweza kuta kuanzia Mwanza hadi Shinyanga ni shamba la mtu.
Marekani ardhi yote ina wenyewe na serikali haiingilii
Marekani kuna kada za watu hawezi kusema anawaza eti atajenga nyumba au angalau kuwa hata na bustani ya mchicha.Hivyo ukisikia homeless wa Marekani ni homeless wa kikweli.
Njoo kwetu Tanzania unaweza kwenda porini mbali ukaamua kumiliki hata ukajenga kijumba cha maboksi hakuna atakaye kuuliza.
Hapo chuo kikuu dar nje kidogo barabara ya Sam Nujoma kuna mzee alichimba handaki akawa anaishi hapo miaka na miaka kama nyumbani kwake hajawahi ulizwa na mtu.

Hapo dar kulikuwa na legend alikuwa anaitwa mzee Matonya omba omba yule hakuwa masikini ambavyo mtu angewaza au homeless.Yule kwao Dodoma alikuwa na mifugo yaan ng'ombe wakati mwingine kuomba ni hulka ya mtu au kabila flani.
 
Si uhamie burundi au zambia,
Mazingira ya kawaida unayaponda ni miaka na miaka tumeishi huko,na hamna kuomba nauli kwenda popote .
Ajabu nini hapo?
We mtoto wa mama.
 
Mkuu,Binadamu hua anatabia ya kupenda au kushangaa kitu ambacho hana au kitu ambacho kwao hakipo,

Huo umasikini na hivyo vijumba vinavyoongelewa humu,ndio utalii wenyewe huo kwao,wanakuja kutalii/kuona vitu ambavyo kwao havipo,

Hata wewe,mfano ukienda nchi za wazungu ukaishi huko miaka kibao,utatamani kwenda huko kwenye umasikini ili kutalii,kutalii ni kuenjoy na kuona vitu ambavyo kwenu havipo au hujaviona kwa muda mrefu,

Kuna watu wanaishi kwenye majiji makubwa tu ila wakienda vijijini kwao hua wanaenjoy sana na kujihisi kua na amani ndani ya nafsi.
Acha kutetea upumbavu ,yaani MTU afurahie ufukara au kuja kutalii ufukara ? ,Una matatizo wewe
 
Back
Top Bottom