Ila jamani nchi yetu ni masikini, khaa

Ila jamani nchi yetu ni masikini, khaa

Kuhusu Zanzibar huwa najiuliza Wazungu wanakuja kutafuta nini huku.

Zaidi ya Beach ambayo ni natural hakuna kitu kingine kinachovutia
Punguza roho ya kwanini ww zunguka Tz nzima hii beach nzuri utazikuta Zanzibar tu bahari zinatunzwa
 
Kuhusu Zanzibar huwa najiuliza Wazungu wanakuja kutafuta nini huku.

Zaidi ya Beach ambayo ni natural hakuna kitu kingine kinachovutia
Mkuu,Binadamu hua anatabia ya kupenda au kushangaa kitu ambacho hana au kitu ambacho kwao hakipo,

Huo umasikini na hivyo vijumba vinavyoongelewa humu,ndio utalii wenyewe huo kwao,wanakuja kutalii/kuona vitu ambavyo kwao havipo,

Hata wewe,mfano ukienda nchi za wazungu ukaishi huko miaka kibao,utatamani kwenda huko kwenye umasikini ili kutalii,kutalii ni kuenjoy na kuona vitu ambavyo kwenu havipo au hujaviona kwa muda mrefu,

Kuna watu wanaishi kwenye majiji makubwa tu ila wakienda vijijini kwao hua wanaenjoy sana na kujihisi kua na amani ndani ya nafsi.
 
Kwani wanaishije huko? Karne na karne watu wapo. Wanazaliwa wanazeeka na wanakufa? Unasema hakuna kitu?
acha ujinga ww majitu ya ccm bhana yan umaskin wa watz kwenu n fursa ujinga wa watz kwenu n fursa ya kuwatawala we fala unaweza ukaish maisha wanayoish waadzabe ww eti ksa wapo uko karne na karne..uwepo wa watu mahali si kgezo cha kwmb pako tu vzr ndo maana wapo.
 
Kisarawe hapo ndanindani huko kwenda site niliwai kukuta mtu zinakula gongo ka maji.watu wako zao kivyao wanapiga mtungi mwitu.
Nikaona hapa kuelewana wajue mwana jirani ni kujiunga tu tulikaa piga round kisado,"mamuuza leta weka hapo"ongeza mpaka wote tukachakaa😅😅😅
Piga Story hapo moto,nilikuta week imeisha niko kule kijijini.
Hitma ntahamia kule
 
Lakini naona vita dhidi ya umasikini tumeishindwa kabisa. Nchi kubwa, resources nyingi ila inasikitisha. Tushukuru Mungu Bongo wananchi wake wavumilivu, wengi wanaonekana kuwa na furaha tu
Tanzania ni Nchi nzuri sana tena sana ukitembea utaelewa
 
Kisarawe hapo ndanindani huko kwenda site niliwai kukuta mtu zinakula gongo ka maji.watu wako zao kivyao wanapiga mtungi mwitu.
Nikaona hapa kuelewana wajue mwana jirani ni kujiunga tu tulikaa piga round kisado,"mamuuza leta weka hapo"ongeza mpaka wote tukachakaa😅😅😅
Piga Story hapo moto,nilikuta week imeisha niko kule kijijini.
Hitma ntahamia kule
We jamaa wewe akili yako ni kupiga ulabu tu muda wote unawaza tungi tu
 
Umri bado mdogo, sikidhi vigezo. Ila natamani sana nipewe hii nchi, haki ya Mungu umasikini ningeupunguza kwa kiasi kikubwa. Hii si sawa kabisa
Anza kwanza kuukimbiza umaskini kwenye FAMILY LEVEL.

Your still young ulikua utagundua ilivyo ngumu ku ufukuza umaskini katika national level it takes decades
 
Anza kwanza kuukimbiza umaskini kwenye FAMILY LEVEL.

Your still young ulikua utagundua ilivyo ngumu ku ufukuza umaskini katika national level it takes decades
Lakini decades nyingi zimepita mkuu, si tuna miaka 60+ ya uhuru?
Maana hata China, South Korea nk zilikuwa na watu masikini sana miaka ya 1960s ila decades zimepita wamefanikiwa kuupunguza kwa kiasi kikubwa. Sisi decades zimepita na hali inazidi kuwa mbaya, hata viongozi tunaowachagua wamekata tamaa ya kusolve umasikini. Sasahivi wameshaachana na hizo habari
 
Tanzania kweli ni bado nchi masikini sana na maendeleo inapiga hatua kwa mwendo wa kinyonga.
Wanasema development takes time
Mbona tumeshakuwa huru kwa decades 6+. Mpaka lini sasa Tanzania itafikia hata hatua ya kwamba 50% ya raia wake wawe na uchumi stable
 
Wanasema development takes time
Mbona tumeshakuwa huru kwa decades 6+. Mpaka lini sasa Tanzania itafikia hata hatua ya kwamba 50% ya raia wake wawe na uchumi stable
Sio suala la uchumi tu, hata mambo ya msingi na ya kawaida kama kupanga miji yametushinda. Kuna nchi hazina uchumi mkubwa sana mfano Cuba ila miji imepangwa ikapangika. Wazungu hata kabla hawajaendelea walikuwa wanapanga miji vizuri
 
Umewahi kutembelea nchi yoyote iliyoendelea za Ulaya, Marekani, Canada, China au South Africa?
Nazungumzia asili yaan nature mazingira muonekano wa huko bush machakani hewa safi sizungumzii miundombinu ambako mpaka leo ukiondoa Lindi na Ruangwa huko Tandahimba vijijini, Newala vijijini, Masasi vijijini mpaka Chetekete huko Chitangali mpaka Mkoma barabara ya lami ni anasa ni vumbi kwa kwenda mbele
 
Back
Top Bottom