IKULU: Picha rasmi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan

Troll JF

JF-Expert Member
Feb 6, 2015
7,804
12,224
Picha Rasmi ya Rais Wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania inayotakiwa kubandikwa Kwenye Ofisi mbalimbali. MwenyeziMungu amtunze Rais Wetu


Rais Samia.jpg
 
Magufuli ndio basi tena,haya makelele ya shujaa hayatadumu hata nusu mwaka. Anasauhulika kama wanampenda sana wangemuacha aendelee kutawala kama malaika
Ukimpenda mtu una ungana nae. Huo ndo upendo wa kweli. Kama juhudi ziliungwa kipindi kile saivi ina shindikana nn.
 
Kutokana na mambo ya mfumo dume uliokithiri inawezekana Madame President akaongoza kipindi kimoja pia.
Kama ataingoza vizuri hata wananchi nguvu zao zitaonekana kumtetea...kama ataongoza kivyake vyake watajuana wenyewe.

Mm ningependelea ajisimamie yy kama yy....wasimsukume kufanya maamuzi....heshima lazima iwepo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom