MsamiKowalski
JF-Expert Member
- Nov 9, 2015
- 285
- 56
acha uwongo we jamaa,, mbona jana kikwete alitamka wazi kuwa anamsifia pombe magufuli kwa ziara zake ,, we jamaa acha kupotosha watu,, we kikao cha kamati ya ccm jana ulijua walizungumza nini au unataka kuwahadaa watu tu apa,, nyambafu kabisa