Ikulu mpya na maswali

Ikulu mpya na maswali

Tutachukua muda sana kuendelea ,viongozi ni wabinafsi sana ,hawaangalii mateso wanayoyapata waTZ kwa kuwatoza mikodi ya kufa mtu halafu hizo fedha wanaenda kuzitapakanya! Ni ujinga mnatenga kila mwaka biioni 580 kununua magari halafu baada ya mwaka viongozi wanayanunua kwa milioni 2 hadi 3 wakati bajeti moja ni 400m.
 
Tatizo Afrika sio pesa, pesa ipo ila vipaumnele. Hapo wakikwambia zinahitajika pesa kwa ajili ya mashine za kusaifisha damu kwa wagonjwa wa figo ziwekwe kila hospitali ili gharama zishuke waweze kuafford watakujibu budget haitoshi.
Complex ya watu 2000 ikulu ya kazi gani?
Umesema sahihi sana
 
Maswali hapa yanaweza kumalizwa na usemi wa Waswahili: “Aliyeshiba hamjui mwenye njaa”
Na ilishasemwa: “Kila 'mlaji' ale kwa urefu wa kamba yake”
 
Ukimkuta masikini ananua gari la kutembelea halafu baadaye kidogo anakopa pesa ya kulipia watoto wake shule na kuwapelekea hospitali utamfikiriaje??
Ukiona mtu yoyote katia neno kwanini pesa hizo zisiende kwenye elimu ujue mwisho wake wa kufikiri umeishia hapo. Ngoja nikujibu kwa urahisi tu, Ikulu ya nchi ni hazina ya nchi na itabaki hata vizazi vinayokuja ni muhimu kuwa na sehemu bora ya kufanya shughuli za serikali wala sio kupoteza pesa kwa mawazo yako maana ni kama kusema budget ya nchi 100% iende kwenye shule tu huu ni ujinga kila kitu kinapangwa kwa budget na elimu ina budget yake. Ukisema kodi kwani uliambiwa kodi yako inaongezake kulipia ujenzi? acheni gubu hata wewe unaweza kumuita mtoto wako Magufuli. Stand Magufuli, Mji wa serikali Magufuli na mpaka ikulu Magufuli imekuwa nini tena, Nyerere jina lake liko kila sehemu mimi naona tubadilishe nchi jina tu kutoka Repuclic of Tanzania to Republic of Nyerere au Magufuli
 
Wewe na ndugu zako walio masikini mngependa vipaumbele vyenu katika nchi viwe vipi?
Toka lini tulikuwa na maji safi na salama? kabla ya ikulu kujengwa au? pambana na maisha tafuta pesa hakuna wa kukusaidia hata hayo maji safi na salama ya kulipia hakuna bure hujalipa unakatiwa tu. ondekeni na fikra za kimasikini ufanyiwe na serikali hakuna kitu hicho, tafuta pesa hakuna mtu maskini tafuta utapata utakunywa maji safi tu. acheni nongwa kama kipaumbele chako maji safi wengine sio kipaumbele chetu hicho, usilazimishe ujamaa humu
 
Je, kuna ulazima wa yafuatayo au ni kupoteza pesa za walipa kodi?
  1. Kujenga Njia ya Kuruka Ndege Ikulu.
  2. Ujenzi wa Viwanja vya Golf.
  3. Ujenzi wa Complex ya watu 2000-3000
NB: Kama wanatimiliza Ndoto ya Nyerere kwanini Complex isiitwe Nyerere Complex au iitwe aliyeanzisha Ujenzi Magufuli Complex. Kwanini iitwe Samia Complex?

Je, Watanzania tuna kodi kiasi hicho kujenga Ikulu ya namna hiyo? Kuna ulazima gani?

Je, nani mnufaika wa hayo yote?

Kwanini hizo pesa zisiende kwenye elimu ya awali na msingi maana huko ndo chanzo cha madudu ya huku juu?
Hata kifanyike nn maswali hayakosekani,ila kwa utashi wangu sioni swali lolote la msingi lililoulizwa hapa

Haya yote yasingefanyika at first place kama wasingeamua kuhama Dar So inabidi yafanyike kwa kodi izo izo tunazotoa

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
FEDHA ZA WALIPAKODI.

ALAFU TUNAKATAZWA KUGUSA HATA GETI.

VIONGOZI Africa ni Wapvu sana
 
Nieleweshe tafadhali,hiyo complex ya watu 2000 inajengwa ikulu?
 
Je, kuna ulazima wa yafuatayo au ni kupoteza pesa za walipa kodi?
  1. Kujenga Njia ya Kuruka Ndege Ikulu.
  2. Ujenzi wa Viwanja vya Golf.
  3. Ujenzi wa Complex ya watu 2000-3000
NB: Kama wanatimiliza Ndoto ya Nyerere kwanini Complex isiitwe Nyerere Complex au iitwe aliyeanzisha Ujenzi Magufuli Complex. Kwanini iitwe Samia Complex?

Je, Watanzania tuna kodi kiasi hicho kujenga Ikulu ya namna hiyo? Kuna ulazima gani?

Je, nani mnufaika wa hayo yote?

Kwanini hizo pesa zisiende kwenye elimu ya awali na msingi maana huko ndo chanzo cha madudu ya huku juu?
  1. Kujenga Njia ya Kuruka Ndege Ikulu. - Hii itapunguza pakubwa sana msongamano wa magari barabarani. Badala ya raia kusubiria viongozi wapite wakitokea Airport, StateHouse Airport itaokoa muda ambo ni pesa.
  2. Ujenzi wa Viwanja vya Golf. - Viongozi Waandamizi wa Kitaifa wanahitaji relaxation pia-Imagine kwa sasa kiongozi akihitaji kucheza mchezo wake pendwa hana pa kwenda labda Lugalo, na Lugalo iko Dar.
  3. Ujenzi wa Complex ya watu 2000-3000 - Hii ni Muhimu. Taasisi ya Urais inatekeleza majukumu Yake kwa vikao kila mara. Vikar hivi kufanyika jirani na Ofisi ya Rais ni jambo Muhimu linalookoa muda. Kwa nini kwa mfano Rais atoke Chamwino kwenda JK Convention kufanya Mkutano?? why wakati anaweza kukutana na wadau husika kwenye ukumbi wa Ikulu.
Kwa ufupi pendekezo la Mhe. Rais kuweka hiyo miundombinu ya ziada baada ya Ikulu kukamilika ni hatua Muhimu na yenye manufaa
 
Aiseee kumbe we naye huna akili
 
Acha mawazo mfu,nyie ndio mnaojifanya hamjui shida za hii nchi mnapenda anasa kuliko kutatua changamoto za wananchi masikini.makolokolo yote hayo kwa lengo lipi hasa,eti hazina,kwani ili kitu kiwe hazina kinatakiwa kuwa na izo kolokolo zote utumie B kwenye izo kolokolo wakati una wananchi ambao hawana maji Safi na salama uo ni mfano tu.Tubadilikeeeee
Shida Ni Kwamba huyo Marehemu Wenu Aliyeanzisha Huu Ujenzi Alikuwa Hawaambii Gharama Zinazotumika Kwa Hiyo Ikulu.Kwa Lugha Sahihi Hakuweka Wazi Mchakato Mzima Unavyokwenda.

Na Kwakua Ukabila Uliwajaa Mlikuwa Hamna Muda Wakuhoji Bali Kushangilia Tu.

Leo Mmepata Rais Anaweka Wazi Gharama Na Plan Nzima Ya Ujenzi Mnaanza Kupiga Kelele Kama Mashoga.

Ukabila Utawatafuna Sana Kenge Nyie.
Yaani Mnapiga Kelele kama Anajenga Nyumbani kwake.
 
Back
Top Bottom