Ikulu mpya na maswali

Ikulu mpya na maswali

Kulikuwa hakuna haja ya kuhamishia makao makuu ya serikali kwenda Dodoma.

Hii ilikuwa project ya anasa za kisiasa tu.

Tumetatua tatizo ambalo halikuwapo, wakati matatizo yetu mengi yaliyokuwapo mpaka leo hatujayatatua.
Kwa uhalisia kama Serikali iliamua kuwekeza katika Serikali Mtandao haikupaswa teketeza zaidi ya Tril 3 kwa ajili ya ujenzi wa Dodoma

Ofisi za Wizara tu zimechukua Bilioni 600, hizo fedha zingejenga madarasa nchi nzima na kuondoa uhaba wa madarasa.

Msalato Airport bilion 300+

Hizo fedha zingejenga hospital, zahanati, vituo vya afya na kuondoa tatizo hilo kwa miaka 10 ijayo.

Bilioni 300+ za Ringroad zingetosha kure educate walimu wetu na kutengeneza mitaala mipya

Bilioni 100+ zilizojenga Makao Makuu ya Mahakama zingetosha kujenga vyuo vikuu vipya 2

Bilion 100+ zilizojenga Makao Makuu ya jeshi zingetosha kununua vifaa tiba vya hospital zote MRI, CT Scan, Xrays

Tril 1 ingetosha kujenga barabara za lami zaidi ya KM 500 ambayo ni sawa na barabara mpya kutoka Dar hadi Iringa
 
Kwa pesa zilizotumika na zinazoendelea kutumika kwenye hiyo sarakasi ya hapo Dodoma ni vigumu kuamini kama hii nchi kweli ina viongozi wanaoelewa maana ya neno vipaumbele............huduma za wananchi bado ni duni, maji, elimu, barabara, afya, umeme, ajira kwa vijana, mishahara duni ya watumishi, ufukara uliopindukia wa wananchi walio wengi, unafanya anasa za kujenga mji wa kisasa, sijui majengo ya kisasa ya serikali Dodoma kweli!!?​
 
Ndiyo hivyo tena.Tunatatua matatizo tusiyo nayo, ya kuwa na mji mkuu mpya, wakati hayo matatio mengi ambayo tunayo hatujayatatua.

Wrong priorities.
 
Kumbe wanajenga na njia ya ndege!
Nadhani eneo la ikulu yetu litakuwa kubwa kuliko hata Marekani halafu eti sisi ni masikini!
Hekari 8700+ sio mchezo.
Nashukuru nililipwa eneo langu lililochukuliwa.
 
Kwa pesa zilizotumika na zinazoendelea kutumika kwenye hiyo sarakasi ya hapo Dodoma ni vigumu kuamini kama hii nchi kweli ina viongozi wanaoelewa maana ya neno vipaumbele............huduma za wananchi bado ni duni, maji, elimu, barabara, afya, umeme, ajira kwa vijana, mishahara duni ya watumishi, ufukara uliopindukia wa wananchi walio wengi, unafanya anasa za kujenga mji wa kisasa, sijui majengo ya kisasa ya serikali Dodoma kweli!!?​
Yaani kati ya kitu ambacho hata wao wanajua walikosea ni hilo
 
Je, kuna ulazima wa yafuatayo au ni kupoteza pesa za walipa kodi?
  1. Kujenga Njia ya Kuruka Ndege Ikulu.
  2. Ujenzi wa Viwanja vya Golf.
  3. Ujenzi wa Complex ya watu 2000-3000
NB: Kama wanatimiliza Ndoto ya Nyerere kwanini Complex isiitwe Nyerere Complex au iitwe aliyeanzisha Ujenzi Magufuli Complex. Kwanini iitwe Samia Complex?

Je, Watanzania tuna kodi kiasi hicho kujenga Ikulu ya namna hiyo? Kuna ulazima gani?

Je, nani mnufaika wa hayo yote?

Kwanini hizo pesa zisiende kwenye elimu ya awali na msingi maana huko ndo chanzo cha madudu ya huku juu?
Ikulu ni nyumba ya mtawala wa nchi. We ulitaka ijengwe kwa tembe?

Ikulu ni nyumba ya watanzania. Lazima ijengwe kwa gharama kubwa kuakisi ukubwa wa nchi.
Tunahitaji rais akikaa ikulu asiwe na mawazo ya kuangukiwa na ukuta ama kunyeshewa.

Kuhusu jina la kuita hiyo complex, kwa nni unaona wivu ikipewa jina la mama Samia Suruhu rais wa kwanza mwanamke Tanzania na mwanamke wa pili Afrika baada ya Hellen Jonson Serlief wa Liberia?
Tanzania hatuna uhaa wa ardhi, hivyo wacha ikulu itengewe nafasi yakutosha.

Magufuli stendi ya mabasi inamtosha sana.

Lakini pia uache wivu na makasiriko ya hovyo
 
Wewe ni mavi
 
Je, kuna ulazima wa yafuatayo au ni kupoteza pesa za walipa kodi?
  1. Kujenga Njia ya Kuruka Ndege Ikulu.
  2. Ujenzi wa Viwanja vya Golf.
  3. Ujenzi wa Complex ya watu 2000-3000
NB: Kama wanatimiliza Ndoto ya Nyerere kwanini Complex isiitwe Nyerere Complex au iitwe aliyeanzisha Ujenzi Magufuli Complex. Kwanini iitwe Samia Complex?

Je, Watanzania tuna kodi kiasi hicho kujenga Ikulu ya namna hiyo? Kuna ulazima gani?

Je, nani mnufaika wa hayo yote?

Kwanini hizo pesa zisiende kwenye elimu ya awali na msingi maana huko ndo chanzo cha madudu ya huku juu?
Itajengwa runway Ikulu? Au una maana helicopter landing spot?
Lakini kumbuka huyu rais ana rafiki wengi Uarabuni,ambao hawapendi airport yenye kunguni.
 
Kulikuwa hakuna haja ya kuhamishia makao makuu ya serikali kwenda Dodoma.

Hii ilikuwa project ya anasa za kisiasa tu.

Tumetatua tatizo ambalo halikuwapo, wakati matatizo yetu mengi yaliyokuwapo mpaka leo hatujayatatua.
Kabisa. Naunga hoja brother Kiranga!
 
Uwanja Mpya wa msalato unaojengwa sasa una presidential area Ambayo ni kwaajili ya Marais na viongozi wa ngazi za juu.

Hakuna tena haja ya kujenga njia ya kutua ndege hapo ikulu

Hakuna haja ýa kuwajengea majumba viongozi wa SADC na afrika mashariki katika ikulu yetu. Na kumbuka, viongozi au Marais wanaotembelea nchi hawapangiwi pa kulala. Rais mgeni ataweza amua tu kulala hoteli huwezi mlazimisha. Huo ni upotevu wa pesa.

Hio pesa wakajengee zahanati na barabara vijijini au hata wapeleke umeme vijijini
 
Kwani kuna mahali serikali imesema imekosa hela ya kuendeshea elimu? Ni sahihi kuwa na eneo kubwa la Ikulu maana pale Dar kuna mpaka wanyamapori sasa kwa Ikulu ya Chamwino kuwa na eneo kubwa itakuwa rahisi hata kuanzisha hiyo game ranch kwa ajili ya wageni wetu! Eneo lina ukubwa wa ekari elfu 8 sasa wakigawa hata ekari elfu 6 au 7 kwa ajili ya game ranching itapendeza sana!
Hivi utaelewa lini?

Nchi kama Tanzania inahitaji uwekezaji mkubwa kwenye maeneo yatoyoinua maisha ya watu. Sasa wewe unashangilia ikulu kuwa na ranch, kwanini hio ranchi isijengwe kwa ajili ya watu wote? Kwanini ijengwe ikulu?
Au hio pesa kwanini usikopeshe wajasiriamali kuwaongezea mitaji? Au kwanini usitumie hio pesa kuwapa punguzo la bei za umeme kwa watu wenye viwanda vidogo walioanzisha viwanda Vipya? Au unafikiri tutaumalizaje umaskini kama hatujui jinsi ya kutumia pesa ndogo tulizonazo?
 
Hilo ni jibu sahihi.
Nchi nyingi maskini zinakosa vipaumbele au wanshindwa kuvisimamia vizuri vipaumbele.

Kupanga no kuchagua

Tunaweza kuchagua kujenga uwanja wa ndege ikulu au kujenga chuo cha Ufundi. Au tukaamua kujenga mifumo ya maji taka
Akili na ya vipaumbele azipo.
 
Back
Top Bottom