Acheni ushamba na nyie. Kila kitu kina bajeti yake na kinafanywa kwa wakati wake. Acha ikulu yetu adhimu iwekewe miundombinu muhimu.Huyo jamaa hana akili.
Elimu ndo Msingi wa maendeleo ya nchi yoyote duniani.
Bila Elimu bora wananchi hawataendelea

Ukubwa wa eneo wala sioni kama ni tatizo, mkuu. Kosa lao ni kulifanya kipaumbele kana kwamba bila hiyo ikulu Mtanzania wa kawaida atashindwa kula na kulala.Pia sikuona sababu ya Ikulu kuwa na eneo kubwa vile, operations costs ni kubwa sana
Tufundishe mbinu, mkuu. Maana mambo yamekuwa mambo tayari. Vinginevyo vigogota wa Bongo watawala wananchi wao hadi mifupa.Ndio maana twasema tukwepe kodi kadri tunavyoweza maana kodi zetu zinatumika kwenye mambo yasiyo ya msingi
Mshamba ni wewe usiyejua kwamba bajeti lazima izingatie mahitaji ya msingi na vipaumbele. Usisahau kwamba deni la taifa sasa linakimbilia trilioni 80! Amka wewe!Acheni ushamba na nyie. Kila kitu kina bajeti yake na kinafanywa kwa wakati wake. Acha ikulu yetu adhimu iwekewe miundombinu muhimu.
Hii nchi viongozi wa ovyo wanaoonhoza kwa mihemko na waliokosa dira, hawajui wafanye nini wapo kama watoto waliopotea njia.... Kwenye vitu vya msingi utasikia serikali haina pesa wapo wanatafuta pesa au wapo kwenye upembuzi yakinifu lakini vitu vya kijinga kama hivi hata wakisema ni bilion 700 huwa hakuna shida.Hatari sana what for? Wangeweka tu kiwanja cha helicopter ingekuwa poa tu. Afrika tuna shida mahala viongozi wanataka kufanya mambo kama donor country tena unakuta donor country hata hawafanyi hivyo. Just imagine ni pesa kiasi gani itatumika kuitunza hiyo complex kwa kila mwezi?
Ndege zipi?,Ni ndege mnyama au ndege km vyombo vya usafiri wa angani?.Je, kuna ulazima wa yafuatayo au ni kupoteza pesa za walipa kodi?
NB: Kama wanatimiliza Ndoto ya Nyerere kwanini Complex isiitwe Nyerere Complex au iitwe aliyeanzisha Ujenzi Magufuli Complex. Kwanini iitwe Samia Complex?
- Kujenga Njia ya Kuruka Ndege Ikulu.
- Ujenzi wa Viwanja vya Golf.
- Ujenzi wa Complex ya watu 2000-3000
Je, Watanzania tuna kodi kiasi hicho kujenga Ikulu ya namna hiyo? Kuna ulazima gani?
Je, nani mnufaika wa hayo yote?
Kwanini hizo pesa zisiende kwenye elimu ya awali na msingi maana huko ndo chanzo cha madudu ya huku juu?
Tutaipa jina la mumeoJe, kuna ulazima wa yafuatayo au ni kupoteza pesa za walipa kodi?
NB: Kama wanatimiliza Ndoto ya Nyerere kwanini Complex isiitwe Nyerere Complex au iitwe aliyeanzisha Ujenzi Magufuli Complex. Kwanini iitwe Samia Complex?
- Kujenga Njia ya Kuruka Ndege Ikulu.
- Ujenzi wa Viwanja vya Golf.
- Ujenzi wa Complex ya watu 2000-3000
Je, Watanzania tuna kodi kiasi hicho kujenga Ikulu ya namna hiyo? Kuna ulazima gani?
Je, nani mnufaika wa hayo yote?
Kwanini hizo pesa zisiende kwenye elimu ya awali na msingi maana huko ndo chanzo cha madudu ya huku juu?
Nafaka nikisoma michango yako huwa nahisi wewe ni mtu well informed. Hili ni tatizo letu wananchi. Trust me! Hakuna siku mwanasiasa hasa wa kiafrika atakakumbuka shida za wananchi bila kukumbushwa kwa kusukumwa. Tutaendelea kupiga kelele miaka na miaka lakini hakuna kitakachobadilika bila sisi wananchi kujua wajibu wetu. Tuwakalie hawa watawala kooni. Ni bora kukiwasha nchi nzima hata wachache tupoteze maisha yetu ili wajue kuweka vipaumbele. Nasema hivi kwa sababu kama mtu unatembelea vijijini ndani kabisa huko ndio utajua kuwa tuna umaskini uliotukuka. Kuna watu ni maskini kweli kweli na wanakufariki kwa magonjwa madogo kabisa tena kwa maelfu. Watawala wenyewe wako kwenye maraha unadhani watakumbuka!Hatari sana what for? Wangeweka tu kiwanja cha helicopter ingekuwa poa tu. Afrika tuna shida mahala viongozi wanataka kufanya mambo kama donor country tena unakuta donor country hata hawafanyi hivyo. Just imagine ni pesa kiasi gani itatumika kuitunza hiyo complex kwa kila mwezi?
Tatizo Afrika sio pesa, pesa ipo ila vipaumnele. Hapo wakikwambia zinahitajika pesa kwa ajili ya mashine za kusaifisha damu kwa wagonjwa wa figo ziwekwe kila hospitali ili gharama zishuke waweze kuafford watakujibu budget haitoshi.
Complex ya watu 2000 ikulu ya kazi gani?
Ikulu ni ofisi kubwa, unafikiri Ikulu anafanya kazi Rais peke yake?Tatizo Afrika sio pesa, pesa ipo ila vipaumnele. Hapo wakikwambia zinahitajika pesa kwa ajili ya mashine za kusaifisha damu kwa wagonjwa wa figo ziwekwe kila hospitali ili gharama zishuke waweze kuafford watakujibu budget haitoshi.
Complex ya watu 2000 ikulu ya kazi gani?
Bila fanya majadiliano yoyote nadhani yabidi ku-like tu na kuonyesha tu hisia ziko na mtoa mada basi iishie hapo ndugu umeongea makubwa na mawazo yako yataishi daimaJe, kuna ulazima wa yafuatayo au ni kupoteza pesa za walipa kodi?
NB: Kama wanatimiliza Ndoto ya Nyerere kwanini Complex isiitwe Nyerere Complex au iitwe aliyeanzisha Ujenzi Magufuli Complex. Kwanini iitwe Samia Complex?
- Kujenga Njia ya Kuruka Ndege Ikulu.
- Ujenzi wa Viwanja vya Golf.
- Ujenzi wa Complex ya watu 2000-3000
Je, Watanzania tuna kodi kiasi hicho kujenga Ikulu ya namna hiyo? Kuna ulazima gani?
Je, nani mnufaika wa hayo yote?
Kwanini hizo pesa zisiende kwenye elimu ya awali na msingi maana huko ndo chanzo cha madudu ya huku juu?
we shida yako ni kuitwa Samia Complex huna lingine we bwege. uwe na uchungu na hela ya babako siyo ya nchi.Je, kuna ulazima wa yafuatayo au ni kupoteza pesa za walipa kodi?
NB: Kama wanatimiliza Ndoto ya Nyerere kwanini Complex isiitwe Nyerere Complex au iitwe aliyeanzisha Ujenzi Magufuli Complex. Kwanini iitwe Samia Complex?
- Kujenga Njia ya Kuruka Ndege Ikulu.
- Ujenzi wa Viwanja vya Golf.
- Ujenzi wa Complex ya watu 2000-3000
Je, Watanzania tuna kodi kiasi hicho kujenga Ikulu ya namna hiyo? Kuna ulazima gani?
Je, nani mnufaika wa hayo yote?
Kwanini hizo pesa zisiende kwenye elimu ya awali na msingi maana huko ndo chanzo cha madudu ya huku juu?
Soma neno kwa neno na hoja zijibu kwa mtiririko huo sio general kama ulivyo fanya nduguIkulu ni ofisi kubwa, unafikiri Ikulu anafanya kazi Rais peke yake?