Wrevta
JF-Expert Member
- Jan 18, 2023
- 1,442
- 1,733
Acha akina GSM na Manji wakwepe tu kodi. Na yeyote kwa nafasi yake acha akwepe tu kodi. Kama mambo yenyewe ndiyo haya.Ndio maana twasema tukwepe kodi kadri tunavyoweza maana kodi zetu zinatumika kwenye mambo yasiyo ya msingi
Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
