IKULU mkianzisha Wizara ya Gender, basi mpeni Ndalichako, ateuliwe Mtu Mwamba kwenye Elimu.

Leo Mhe. Rais amesema ana mpango wa kugawa wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto ili kuanzisha wizara mahsusi kwa ajili ya mambo ya jinsia(ilikiwepo kabla ya 2015), naamini itakuwa wizara ya Jinsia, Maendeleo ya Jamii, Wazee na Watoto. Kwanza Hongera kwa kuona ukubwa wa wizara hiyo.
Basi naona hiyo ni fursa ni kumuondoa Prof. Ndalichako kwenye elimu na kumpeleka kwenye hiyo wizara ambayo mimi naona itamfaa kuliko wizara nyeti ya elimu.
Katika wizara ya elimu ataeliwe mtu mwenye uthubutu, anayejiamini, mbunifu na mwenye commitment juu ya kazi yake.
Prof. Joyce hafanyi lolote kule. Amezidiwa hata na Mama Ummy na anasaidiwa sana na Ummy kwenye majukumu yake.
Kwa ufupi, hafai wizara ya elimu.
Atafutwe mtu mwenye commitment ya level au zaidi ya Lukuvi, Ummy na Mulamula katika field zao.
Tunahitaji kufanya kitu kwenye elimu.
Yule ni mtendaji kwenye siasa mlimpeleka kufanya nini?
 
Nimesema Mbelwa Kairuki anaweza kufit kwa nionavyo sasa. Mbona kama vile watu smart na wenye commitment nchi hii hawaonekani kabisa. Ukijaribu kutafakari, huwaoni hata ukifumba macho. Kuna mahali tulikosea. Kama vile watu wengi wameamua kuficha vipaji.
Hata marais wajao hawaonekani kabisa.
Tuwe makini sana katika kujenga watu potential kwa Taifa kwa siku zijazo.
Kwenye Urais bado sijaona hata wa kumbadili Samia,labda tusubiri akina Gambo wakue na kupata uzoefu wa mambo ya utawala.

Kwanza uchaguzi ujao Rais abadili pm awe mwanamke afu wizara ya viwanda na uwekezaji wawekwe watu wenye exposure..

Wizara ya fedha Zito na Mwigulu wakapambane huko .
 
Leo Mhe. Rais amesema ana mpango wa kugawa wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto ili kuanzisha wizara mahsusi kwa ajili ya mambo ya jinsia(ilikiwepo kabla ya 2015), naamini itakuwa wizara ya Jinsia, Maendeleo ya Jamii, Wazee na Watoto. Kwanza Hongera kwa kuona ukubwa wa wizara hiyo.
Basi naona hiyo ni fursa ni kumuondoa Prof. Ndalichako kwenye elimu na kumpeleka kwenye hiyo wizara ambayo mimi naona itamfaa kuliko wizara nyeti ya elimu.
Katika wizara ya elimu ataeliwe mtu mwenye uthubutu, anayejiamini, mbunifu na mwenye commitment juu ya kazi yake.
Prof. Joyce hafanyi lolote kule. Amezidiwa hata na Mama Ummy na anasaidiwa sana na Ummy kwenye majukumu yake.
Kwa ufupi, hafai wizara ya elimu.
Atafutwe mtu mwenye commitment ya level au zaidi ya Lukuvi, Ummy na Mulamula katika field zao.
Tunahitaji kufanya kitu kwenye elimu.
Well noted
 
Kwenye Urais bado sijaona hata wa kumbadili Samia,labda tusubiri akina Gambo wakue na kupata uzoefu wa mambo ya utawala.

Kwanza uchaguzi ujao Rais abadili pm awe mwanamke afu wizara ya viwanda na uwekezaji wawekwe watu wenye exposure..

Wizara ya fedha Zito na Mwigulu wakapambane huko .
Viwanda+Elimu tulipigwa
 
Back
Top Bottom