IKULU, inakuwaje Rais anasimama upande wa kushoto halafu Dangote kulia? Hamna watu wa Protocol?

Kwa kweli ni Jambo la Aibu kusahau mambo muhim hivi! ina maana Dangote kicheo ni mkubwa kuliko mama yetu?

Hizi aibu zisijirudie! hata mpiga picha hajui protokali?

daah noma kweliView attachment 1796531
' Body Language ' ya Mama inaonyesha Urais wa ' Kikanuni ' alioupokea bado haujamkaa vyema Akilini mwake, labda akigombea Yeye kama Yeye kwa Kupigiwa Kura na Kushinda mwaka 2025 haya Mapungufu yake yote ya sasa yatakuwa ni Historia.
 
.
1461386_b2aa3093-25ca-423e-9bc0-04ad326c2fe1.jpg
 
Mambo mengine mkuu tumerithi Kwa wakoloni tu lakin kimsingi hayana maana yoyote wala athari zozote kiuchumi, kiutamaduni wala kisiasa.
Kwa mataga hizo ndizo issue kubwa kuliko kujikinga na covid19 au kupinga mambo ya ovyo yasijirudie
 
' Body Language ' ya Mama inaonyesha Urais wa ' Kikanuni ' alioupokea bado haujamkaa vyema Akilini mwake, labda akigombea Yeye kama Yeye kwa Kupigiwa Kura na Kushinda mwaka 2025 haya Mapungufu yake yote ya sasa yatakuwa ni Historia.
Mama ana mapungufu gani mzee? Tukimlinganisha na aliyepita namuona ni bora 200%
 
Dangote is back trying to exploit the weekness of the new president.

Lord have mercy on us!

Tanzania is listed back on Alibaba and Ebay, up for grabs to the highest bidder.
 
Kwa kweli ni Jambo la Aibu kusahau mambo muhim hivi! ina maana Dangote kicheo ni mkubwa kuliko mama yetu?

Hizi aibu zisijirudie! hata mpiga picha hajui protokali?

daah noma kweliView attachment 1796531
Sasa unataka Rais apige hatua mojaya ziada kumfata Dangote ampe mkono. Hiyo ndiyo natural set up kwa sababu itamlazimu Dangote ainuwe mguu wa kulia kumfata Mama ili ampe mkono na mama kazi yake hapo ni kunyoosha mkono tu.
 
Dangote is back trying to exploit the weekness of the new president.

Lord have mercy on us!

Tanzania is listed back on Alibaba and Ebay, up for grabs to the highest bidder.
Watanzania hatuendelei kwa sababu ya uoga...

Yaani tukiona tz inakuwa karibu na walioendelea tunawaza kuibiwa na si kunufaika.

Mara kenya watafanya hivi na vile...

Mara mabeberu yanaitamani Tanzania....

Mara dangote hivi na vile.....

Sasa hili litakuwa ni taifa gani ambalo hamtaki lishirikiane na watu wengine?
 
Kwa kweli ni Jambo la Aibu kusahau mambo muhim hivi! ina maana Dangote kicheo ni mkubwa kuliko mama yetu?

Hizi aibu zisijirudie! hata mpiga picha hajui protokali?

daah noma kweliView attachment 1796531
Labda kungekuwa na mtu mwingine kushoto kwa mama hapo ingekuwa poa

Halafu Dangote hajaonyesha nidhamu alivyosimama, utafikili yeye ndo Rais.

Watu wa Protocol jaribuni ku-observe vitu kama hivyo next time.

Asante.
 
Back
Top Bottom