MWALLA
JF-Expert Member
- Dec 12, 2006
- 16,992
- 10,497
chanjo ya ESTA ndo naitaka inapatikana wapiNa wewe iga Mkuu , maana hata hiyo statement "Unaiga kuandika yanayozunguka mitandaoni!" na yenyewe umeiga hakuna kitu kipya ambacho kizazi cha leo kitazungumza ambacho hakijawai kuandikwa.
Gwajima aka Mkono wa Baunsa ni TAPELI ,Chanjo zilizokuwa approved na WHO ndio zinatumika kwahiyo kuna option JJ ,Pfizer ,Astazenica etc kwahiyo kama Majaliwa kachanjwa JJ na mimi pfizer ni kweli tofauti.