Eric Cartman
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 11,967
- 11,212
Well Ikulu aikutakiwa kuipa priority habari ya raisi kukutana Odinga.Ameshatoa pole masaa ma 4 yaliyopita, uwe unafuatilia kabla hujalalamika
Mbona ameshatoa yeye mwenyewe pole, na aliitoa masaa manne kabla taarifa ya oding haijawekwa mitandaoniWell Ikulu aikutakiwa kuipa priority habari ya raisi kukutana Odinga.
Swala sio kutoa pole she is supposed to comfort the nation na kuwapa raia assurance.
Sio kutuambia alikuwa na Odinga wakati hundreds of lives were at risk jamaa kama angeamua kufanya madhara.
Halafu wao wanatuambia mama alikuwa na Odinga wakati oysterbay ilikuwa war zone mchana in the rush hour.
Put it this way raisi angekuwa na mshauri mzuri wa siasa na communication office yenye wataalamu.Amesha zifariji, alafu sikia kwa mashuhuda tukio lilivyotokea
Diaspora wana umuhimu mkubwa,mimi binafsi pa1 na elimu yangu finyu lakini ukinipa udc wa dar tu ndani mwezi huwezi kuona taka hata ya mbegu ya chungwa mitaani,hao wasomi wenu wa huko mnaowapa nyadhifa ni mazezeta wasio na mfanoSeriously hawa jamaa wa mamlaka ya teuzi waanze kuwaangalia diaspora kwenye nafasi serikalini.
Yaani nchi imepatwa na ‘major incident’ ey polisi watatu wamepoteza maisha, mlinzi mmoja na gaidi (or some crazy gunman) alieuliwa.
Jambo limetokea mchana kweupe, kiongozi wa nchi badala ya kulifariji jeshi la polisi na kutoa pole kwa wafiwa, habari muhimu kutoka Ikulu ni raisi kukutana na Kiongozi wa upinzani kutoka Kenya.
Hivi viazi wengine wanafikaje kuwa mpaka washauri wa raisi wa maswala ya siasa.
Muda wa ku comfort wafiwa na kutoa assurance this is an isolated incident wanatuambia wakati watu wanatupiana risasi mbele ya kadamnasi raisi alikuwa ana chat someone who is a nobody na hiyo ndio habari muhimu kwao.
Akili zako zinafanana na mwanangu mwenye miaka 5.Unamfananisha Odinga na hawa wapinzani wasaka tonge wa TZ? Odinga ni mwanasiasa mashuhuri zaidi A. Mashariki na kati, anahitaji heshima yake!! TZ hamna upinzani serious wa Rais kubother kukutana nao, wapinzani wa TZ ni wa kuwapuuza
Uhuru na Raila wapo pamoja......Haya. Samia anaanza kuchagua upande mapema hivi? Ruto akiingia tunaanza upya vita baridi?
Mtu anashindwa ata kuona raisi anatakiwa kuonyesha compassion kwa tukio; yeye anaona ni sawa kwenda kukutana na Raila in the middle of chaos.Diaspora wana umuhimu mkubwa,mimi binafsi pa1 na elimu yangu finyu lakini ukinipa udc wa dar tu ndani mwezi huwezi kuona taka hata ya mbegu ya chungwa mitaani,hao wasomi wenu wa huko mnaowapa nyadhifa ni mazezeta wasio na mfano
Odinga ambaye yupo tayari amwage damu za wakenya ili tu aendelee kula keki ya taifaUnamfananisha Odinga na hawa wapinzani wasaka tonge wa TZ? Odinga ni mwanasiasa mashuhuri zaidi A. Mashariki na kati, anahitaji heshima yake!! TZ hamna upinzani serious wa Rais kubother kukutana nao, wapinzani wa TZ ni wa kuwapuuza
Ruto na Uhuru wamevurugana. Uhuru anamaliza muda wake. Anayepigania hiyo nafasi ni Ruto.Uhuru na Raila wapo pamoja......
ama ww upo usingizi mzito
Nchi kuongozwa na ubavu... Hapana asee Mungu hakuumba mwanamke ili kutawala bali kumsaidia mwanaume!! Bustani ya Eden hakukabidhiwa mwanamke ni mwanaume na sikwamba Mungu alijisahau.
Hivi nyie idiots mnaishi kwenye misitu ya wapi?Uhuru na Raila wapo pamoja......
ama ww upo usingizi mzito
Utafanyaje kama mpinzani ameamua kuwa gaidiOdiga ana maslahi gani na TANZANIA??
Unakutana na mpinzani wa nchi nyingine halafu wako umewapa makosa ya Ugaidi?
Ndiyo mjue umuhimu wa kufanya upinzani wa kistarabu na siyo ugaidiHivi nyie idiots mnaishi kwenye misitu ya wapi?
Hivi kweli hujui kwamba Rais wa Kenya ni Uhuru Muigai Kenyatta na Makamo wake ni William Kipchirchir Samoei Arap Ruto?
Je hujui kwamba Raila Amolo Odinga ni kiongozi tu wa upinzani kama alivyo Mbowe?
Halafu Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan anamkaribisha Ikulu kiongozi wa Upinzani nchini Kenya huku hapa nyumbani anambambikizia kesi ya ugaidi Kiongozi wa Upinzani Freeman Aikaeli Mbowe, Mtanzania mwenzake.
On top of that kakataa katakata kukutana na upinzani hapa nyumbani akidai kwa sasa yuko bize anajenga uchumi na kupiga siasa marufuku. What is wrong with you?
Usiwe mpumbavu, sisi bado tunaishi tu kama wanyama wa porini...hebu shuhudia;Ndiyo mjue umuhimu wa kufanya upinzani wa kistarabu na siyo ugaidi
Nenda kajifunze vizuri siasa za Kenya. Hujaijua bado. Ina mabaya mengi kuliko unayofikiri ni mazuriUsiwe mpumbavu, sisi bado tunaishi tu kama wanyama wa porini...hebu shuhudia;
View attachment 1908560
Hapo juu Raila mgombea wa upinzani akijiapisha Urais mbele ya halaiki baada ya kukataa kuyatambua matokeo ya uchaguzi ambapo Uhuru alitangazwa mshindi na tume ya uchaguzi nchini humo.
View attachment 1908561
Pamoja na hilo bado Rais Uhuru aliweza kukutana na Raila na kusalimiana hila chuki wala chokochoko. Je hali kama hii ingeweza kutokea Tanzania bila risasi kurindima na kusababisha vifo visivyo na hesabu?
Huku ndiko kukomaa kisiasa baada ya Kenya kupata Katiba mpya. Serikali ya Uhuru haikuingilia na Raila baada ya kuapishwa alirudi nyumbani kwake na hakukuwa na taharuki yoyote na maisha yakaendelea. Tatizo lenu nyie products za mikesha ya mwenge ni ujinga uliopitiliza ambao ndio mtaji wa CCM. Eti Mbowe ni gaidi!
Upo nyuma sana!?Hivi nyie idiots mnaishi kwenye misitu ya wapi?
Hivi kweli hujui kwamba Rais wa Kenya ni Uhuru Muigai Kenyatta na Makamo wake ni William Kipchirchir Samoei Arap Ruto?
Je hujui kwamba Raila Amolo Odinga ni kiongozi tu wa upinzani kama alivyo Mbowe?
Halafu Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan anamkaribisha Ikulu kiongozi wa Upinzani nchini Kenya huku hapa nyumbani anambambikizia kesi ya ugaidi Kiongozi wa Upinzani Freeman Aikaeli Mbowe, Mtanzania mwenzake.
On top of that kakataa katakata kukutana na upinzani hapa nyumbani akidai kwa sasa yuko bize anajenga uchumi na kupiga siasa marufuku. What is wrong with you?
Kijana, jibu langu kwako ni kwamba angalau Kenya wanajua gharama ya uhuru. Kila walicho nacho Kenya wamekipigania na si kama sisi ambao hata huo uhuru tuliupata bwerere.Nenda kajifunze vizuri siasa za Kenya. Hujaijua bado. Ina mabaya mengi kuliko unayofikiri ni mazuri