Ulianza lini ku support chadema?
2006 aseeee yan daah ..Mungu atusimamie
Ulianza lini ku support chadema?
kama kunakitendawili kinawapa shida ni kutaja ufisadi ,kila wakijaribu nafsi zinawauma,mungu hauwezi kumfanya unafiki,
Wakati nyie mnatafuta kuheshimiana mjini , wengine tunatafuta hatma ya Tanzania ijayo na vizazi vijavyo.!
Ulianza lini ku support chadema?
Nakumbuka chadema yetu Dr slaa mnyika mdee lissu
Wakati nyie mnatafuta kuheshimiana mjini , wengine tunatafuta hatma ya Tanzania ijayo na vizazi vijavyo.!
Hayapo. Kikwete ameshindwa na ccm yake akiwemo na Lowassa.idawa pia tunataka kujuua maisha bora kwa kila mtanzania yako wapi.
Huyo mzee wenu Slaa amepishana na msimu. Hata kama anatumika inabidi awe na aibu, inamaana ufisadi anaoujua ni Richmond peke yake? Tegeta ESCROW, Epa, Kagoda, vivuko vibovu, mabehewa na vichwa vya treni feck n.k ni ni misamiati ya kichina kwamba havielewi? Mbona huyu mzee zuzu namna hii?Mbona wakIna Chenge, NGELEJA, Karamagi, TIBAIJUKA n.k.hawaongelei au kwa kuwa wamefunikwa na shuka CCM? Hivi Josephine ni muhimu kuliko mabadiliko? Mbona anakomaa kujifunika shuka tayari kumekucha? Ccm inawakodi vijana kwa ujira kiduchu kujifanya wanamuunga mkono Slaa ni UJINGA tutawapa MKONG'OTO MMITAANI MPAKA KIELEWEKE. MABADILIKO KWANZA. Adui yetu mkubwa ni MKOLONI MWEUSI ccm. TUTOKOMEZE HIKI KIRUSI.
Kifaru wa ufisadi? Nawatakia mafanikio mema.!
Mafisadi wa escrow wako cdm au sisiem?
Tulia kwa sasa tuko kwenye operation tokomeza ccm,tukiwa na kifaru lowasa, mengine yatafuata baadaye
Huyo mzee wenu Slaa amepishana na msimu. Hata kama anatumika inabidi awe na aibu, inamaana ufisadi anaoujua ni Richmond peke yake? Tegeta ESCROW, Epa, Kagoda, vivuko vibovu, mabehewa na vichwa vya treni feck n.k ni ni misamiati ya kichina kwamba havielewi? Mbona huyu mzee zuzu namna hii? Mbona wakIna Chenge, NGELEJA, Karamagi, TIBAIJUKA n.k.hawaongelei au kwa kuwa wamefunikwa na shuka CCM? Hivi Josephine ni muhimu kuliko mabadiliko? Mbona anakomaa kujifunika shuka tayari kumekucha? Ccm inawakodi vijana kwa ujira kiduchu kujifanya wanamuunga mkono Slaa ni UJINGA tutawapa MKONG'OTO MMITAANI MPAKA KIELEWEKE. MABADILIKO KWANZA. Adui yetu mkubwa ni MKOLONI MWEUSI ccm. TUTOKOMEZE HIKI KIRUSI.