Iko wapi CHADEMA ya Operesheni Sangara na M4C?

Hivi unaijua nguvu ya katiba hii .....unajua kwanini mkakati wa kumvua uenyekiti Kikwete kule CCM ulifeli?

Mkuu, ni vyema kuvuta subira kidogo. Kama sikosei katika ilani ya CHADEMA na makubaliano ya UKAWA, kazi muhimu sana (top priority) wakishika madaraka ni kurekebisha katiba ya taifa kwa kurejesha mjadala kwenye rasimu ya Warioba. Lowassa bado hatakuwa mwenyekiti wa CHADEMA wala UKAWA na hivyo hatakuwa na mamlaka yote (absolute power) kama ilivyo kwa JK juu ya chama na bunge. Twende taratibu. Wote tunafuatilia mchezo unavyoenda.

Tumefikia mahali bila CCM kuondolewa madarakani, harakati za upinzani hazitakuwa na maana tena. Kwa jeuri zaidi watakwambia hizo ni kelele za mlango hazimzuii mwenye nyumba kupata usingizi!
 
Mkuu nchi hii mtu akishakuwa Rais anaweza kuamua lolote mkabaki kulalamika miaka mingine kumi ....... Taasisi ya Urais inalindwa kwa nguvu zote...... Hizi ahadi hakuna tofauti na CCM walivyowafanyia Waislamu na Mahakama ya kadhi .......
 
siioni kabisa, ile chadema iliyoenda kupiga kambi kanda ya pwani zaidi ya wiki moja.

Ile chadema iliyosambaa kanda zote kuelemisha wananchi kuhusu ufisadi na maovu ya ccm kwa ujumla.

Ile ya lema, mnyika, mdee, kwa upande mmoja sugu,silinde,msigwa kwa upande mwingine. Lissu, wenje na wengineo.

Ile ya viongozi wenye upeo toka makao makuu,pr.safari, pr.baregu na wengineo.

Ile ya vijana makamanda tofauti toka idara tofauti makao makuu.

Kweli leo chadema ni ya kupelekwa ikulu na akina sumaye, masha, msindayi na mahanga?

Wako wapi makamanda wa ukweli tuliowazoea wananchi, waliokipaginia chama kwenye jua na mvua usiku na mchana.?

Najua mtasema wengi wapo bize na kampeni kwenye majimbo yao.

Lakini binafsi naamini lema, lissu alieashinda asilimia tisini ya serikali za mitaa, silinde ambae wananchi wake wanaimba chadema hadi usingizini, sugu ambaye ni rahisi wa mbeya, mdee mwanamke shujaa wa siasa za upinzani tanzania na wengineo.

Hawawezi kushindwa kupoteza siku mbili kwenye majimbo yao na kumnadi lowassa kwenye mbio za urais.

Poleni makamanda najua wengi wenu mnamadukuduku mioyoni mwenu ila ni ngumu kusema kwa kuogopa kuitwa wasaliti.

Kwa hatua ilipofikia chadema, kilikuwa sio chama cha kutegemea sumaye awapeleke ikulu wala masha wala msindayi hata lowassa mwenyewe.!

Bado naililia chadema yangu ya ukweli na mtetezi halisi wa watanzania sio hawa wasaka madaraka tu.!

Tukutane october 25
weep not child,chadema imeshanunuliwa pole kama hujapata mgao
 
Kwanini tunaamini Lowasa atasimamia kile tulichopigania kwa miaka mingi ...... Akiwageuka mtalia na nani ..... Hivi kama swala ni Uchadema .....Chadema ni nini .....tukiamua Leo CCM kuiita Chadema na Chadema kuwa CCM bado utaichagua Chadema ..... nini kimetuingia hadi tunamsaliti jemedari wetu aliyesimama na sisi wakati wa jua na mvua ...

Hapo kwenye Red. Mimi niliwahi kuonya kuhusu kugeukwa na nikalitolea mfano wa Bingu Mutharika alivyomgeuka Bakili Muluzi kule Malawi. Bingu alitolewa World Bank na Bakili ili aje awe successor wake baada ya kumaliza muda wake. alichofanya Bingu baada ya kuapishwa, akahama chama na kunzisha chama cha kwake na kumuacha Bakili na chama ambacho hakina dola. Mbowe anafanya mzaha na nafasi ya urais katika angle hii, maana kupata kuna kugeukwa na akikosa ndo itakuwa mwisho wa chadema.

Achilia mbali hil, mfano mdogo walioupata kutoka kwa kwa John Shibuda, nafasi ya ubunge kwao haikuwa na madhara, walimpuuza, Je ikitokea kwa Lowassa wanaweza kumpuuza rais?. Kila mmoja atatafuta njia yake, dhaifu itabaki kujikomba tu
 
huo unaouita msimu unalazimishwa kuwa msimu...mm sometimes nahisi mwenyezi Mungu hakupenda Ukawa tushike nchi safari hii maana EL kuamia Ukawa ni unbelievable,..sahivi tusinge kuwa navizingiti hivi....

Toka lini ukaitakia mema cdm? Au uko kazini? Unatumika?
 
Toka lini ukaitakia mema cdm? Au uko kazini? Unatumika?

Ni upuuzi kudhani kila anaepingana na mienendo ya ukawa ni ccm.

Usifikiri wote wanaweza kuburuzwa na Mwenyekiti wa chama.

Kama Lowassa alihama ccm baada ya kutokubaliana na Mwenyekiti, Mnashangaa nini wanachadema kupingana na misimamo ya Mbowe.?
 
Hapo kwenye Red. Mimi niliwahi kuonya kuhusu kugeukwa na nikalitolea mfano wa Bingu Mutharika alivyomgeuka Bakili Muluzi kule Malawi. Bingu alitolewa World Bank na Bakili ili aje awe successor wake baada ya kumaliza muda wake. alichofanya Bingu baada ya kuapishwa, akahama chama na kunzisha chama cha kwake na kumuacha Bakili na chama ambacho hakina dola. Mbowe anafanya mzaha na nafasi ya urais katika angle hii, maana kupata kuna kugeukwa na akikosa ndo itakuwa mwisho wa chadema.

Achilia mbali hil, mfano mdogo walioupata kutoka kwa kwa John Shibuda, nafasi ya ubunge kwao haikuwa na madhara, walimpuuza, Je ikitokea kwa Lowassa wanaweza kumpuuza rais?. Kila mmoja atatafuta njia yake, dhaifu itabaki kujikomba tu
Mkuu kwa hoja zako hawana majibu zaidi ya kusema mbele kwa mbele.

Yaani watu wanaleta ushabiki na hatma ya Taifa.!?
 
Attachments

  • 1441461799915.jpg
    1441461799915.jpg
    72 KB · Views: 45
Ni upuuzi kudhani kila anaepingana na mienendo ya ukawa ni ccm.

Usifikiri wote wanaweza kuburuzwa na Mwenyekiti wa chama.

Kama Lowassa alihama ccm baada ya kutokubaliana na Mwenyekiti, Mnashangaa nini wanachadema kupingana na misimamo ya Mbowe.?

Huo uzuzu peleka lumumba.
 
Back
Top Bottom