Iko wapi CHADEMA ya Operesheni Sangara na M4C?

Hapo tu ndio Dr namwona wa ajabu kumbe lengo lake ni kuharibu , kweli Lipumba ni prof sio hawa wapenda concabine

Hakuna chama kilichoniuma km CHADEMA yani mpaka sasa km niko ndotoni sijui ntaamka lini... chadema sa hv haina mashujaa tulio wazoea... Maskini CHADEMA daah
 
Ndo mana ccm wanakula nchi na kupiga madili ya kila aina mana washajua watanzania manyumbu wasiojitambua ni wengi hasa upande wa upinzani....inakuwaje mtu kama lowasa na kashfa zote zile awanunue chadema na ukawa nzima bila ata ya kujitambua kaja cdm kufanya nini????....Mtu mgonjwa kama yule atapiga madili na kuondoka nyuma atatuchia madeni....atadaiwa na nani mana maiti uondoka na kila kilichochake.

Akili zako kama za mnyama nyumbu tunaenda kushika dola kwa sasa jiandae kisaikolojia hapo lumumba
 
Sio ukawa tena ni Chadema.!

Kwani ww ume address nin?
Jinga kabisa tuliposema chama si mtu tukimwambia zzk mimi na ww wengine tulimaanisha. Haya nenda naona mumeo kawa rafiki wa magamba sasa anapata access hadi ya doc za nyumba ya state
 
Hiyo Chadema ipo Mkuu! Tumejikita kwenye agenda ya Mabadiliko kwa sasa Na tumegundua ndio inatupeleka Ikulu! Hizo nyingine zimekijenga Chama sasa tupo Na ya kutupeleka kuchukua serikali!

Jidanganye!
 
Siioni kabisa, ile Chadema iliyoenda kupiga kambi Kanda ya pwani zaidi ya wiki moja.

Ile Chadema iliyosambaa Kanda zote kuelemisha Wananchi kuhusu Ufisadi na maovu ya ccm kwa ujumla.

Ile ya Lema, Mnyika, Mdee, kwa upande mmoja Sugu,Silinde,Msigwa kwa upande mwingine. Lissu, wenje na wengineo.

Ile ya viongozi wenye upeo toka makao makuu,Pr.Safari, Pr.Baregu na wengineo.

Ile ya vijana makamanda tofauti toka idara tofauti makao makuu.

Kweli leo Chadema ni ya kupelekwa ikulu na akina Sumaye, Masha, Msindayi na Mahanga?

Wako wapi makamanda wa ukweli tuliowazoea wananchi, waliokipaginia chama kwenye jua na mvua usiku na mchana.?

Najua mtasema wengi wapo bize na kampeni kwenye majimbo yao.

Lakini binafsi naamini Lema, Lissu alieashinda asilimia tisini ya serikali Za mitaa, Silinde ambae wananchi wake wanaimba Chadema hadi usingizini, Sugu ambaye ni Rahisi wa Mbeya, Mdee mwanamke shujaa wa siasa za upinzani Tanzania na wengineo.

Hawawezi kushindwa kupoteza siku mbili kwenye majimbo yao na kumnadi Lowassa kwenye mbio za urais.

Poleni makamanda najua wengi wenu mnamadukuduku mioyoni mwenu ila ni ngumu kusema kwa kuogopa kuitwa wasaliti.

Kwa hatua ilipofikia Chadema, kilikuwa sio chama cha kutegemea Sumaye awapeleke ikulu wala Masha wala Msindayi hata Lowassa Mwenyewe.!

Bado naililia Chadema yangu ya ukweli na mtetezi halisi wa watanzania sio hawa wasaka madaraka tu.!

Tukutane October 25

Ww wa lumumba,waarabu wa pemba ujuana kwa vilemba
 
Kwani ww ume address nin?
Jinga kabisa tuliposema chama si mtu tukimwambia zzk mimi na ww wengine tulimaanisha. Haya nenda naona mumeo kawa rafiki wa magamba sasa anapata access hadi ya doc za nyumba ya state
Acha ujinga Dr.Slaa document za serikali hajaanza kuzipata leo, inaonekana wewe ndio wale team mafuriko.
 
Siioni kabisa, ile Chadema iliyoenda kupiga kambi Kanda ya pwani zaidi ya wiki moja.

Ile Chadema iliyosambaa Kanda zote kuelemisha Wananchi kuhusu Ufisadi na maovu ya ccm kwa ujumla.

Ile ya Lema, Mnyika, Mdee, kwa upande mmoja Sugu,Silinde,Msigwa kwa upande mwingine. Lissu, wenje na wengineo.

Ile ya viongozi wenye upeo toka makao makuu,Pr.Safari, Pr.Baregu na wengineo.

Ile ya vijana makamanda tofauti toka idara tofauti makao makuu.

Kweli leo Chadema ni ya kupelekwa ikulu na akina Sumaye, Masha, Msindayi na Mahanga?

Wako wapi makamanda wa ukweli tuliowazoea wananchi, waliokipaginia chama kwenye jua na mvua usiku na mchana.?

Najua mtasema wengi wapo bize na kampeni kwenye majimbo yao.

Lakini binafsi naamini Lema, Lissu alieashinda asilimia tisini ya serikali Za mitaa, Silinde ambae wananchi wake wanaimba Chadema hadi usingizini, Sugu ambaye ni Rahisi wa Mbeya, Mdee mwanamke shujaa wa siasa za upinzani Tanzania na wengineo.

Hawawezi kushindwa kupoteza siku mbili kwenye majimbo yao na kumnadi Lowassa kwenye mbio za urais.

Poleni makamanda najua wengi wenu mnamadukuduku mioyoni mwenu ila ni ngumu kusema kwa kuogopa kuitwa wasaliti.

Kwa hatua ilipofikia Chadema, kilikuwa sio chama cha kutegemea Sumaye awapeleke ikulu wala Masha wala Msindayi hata Lowassa Mwenyewe.!

Bado naililia Chadema yangu ya ukweli na mtetezi halisi wa watanzania sio hawa wasaka madaraka tu.!

Tukutane October 25

msaada wa chadema ni nguvu za gwajima tu mwaka huu lakini katika ulimwengu wa kiroho kamwe haiwezekani,
 
Endelea kuwa mpuuzi kuamini kila anaepingana na ukawa ni Lumumba.

mkuu achana nae huyo ni wale manyumbu tu ,mimi niliyemkubali dr na nimefanya naye kazi adi nasari akawa mbunger kamwe siwezi kuunga mkono lowasa ,hana sifa maana uchanfu wa lowasa ndo ulimpa ubunge nasari kupitia kwa dr slaa na lema,

Acha ujinga Dr.Slaa document za serikali hajaanza kuzipata leo, inaonekana wewe ndio wale team mafuriko.

mkuu wengi humu ni posho tu ukiwambia slaa hizi document alikuwa nazo tangu 2010,na ndo zilimpa ubunge nasari hawaelewi ,tatizo ni wajana tu miemuko kibao,
 
kama kunakitendawili kinawapa shida ni kutaja ufisadi ,kila wakijaribu nafsi zinawauma,mungu hauwezi kumfanya unafiki,
 
Mkuu kama Taifa tumekumbwa na siasa za ushabiki sio hoja tena.

Siku tukijielewa na kufanya siasa za hoja, ujue nchi imeshaangamia.
 
kama kunakitendawili kinawapa shida ni kutaja ufisadi ,kila wakijaribu nafsi zinawauma,mungu hauwezi kumfanya unafiki,

Ndani ya Chadema kwa sasa hakuna wa kuthubutu kumnyoshea kidole hata kumshauri Lowassa.

Ushauri wote wa Lowassa unatoka team Lowassa na ndio waliopanga team kampeni.
 
Nakwambia tutamkumbuka dr Slaa daima.mtazungumka weeeee lakkni mwisho wa siku mtarudi kwa Dr Slaa. Na nasema Mbowe atakuwa wa kwanza kupiga magoti kwa Slaa pale Chadema itakapokuwa imepasuka na kusambaratika, na wafuasi sasa kuanza kudai haki zao

Huyo mzee wenu Slaa amepishana na msimu. Hata kama anatumika inabidi awe na aibu, inamaana ufisadi anaoujua ni Richmond peke yake? Tegeta ESCROW, Epa, Kagoda, vivuko vibovu, mabehewa na vichwa vya treni feck n.k ni ni misamiati ya kichina kwamba havielewi? Mbona huyu mzee zuzu namna hii? Mbona wakIna Chenge, NGELEJA, Karamagi, TIBAIJUKA n.k.hawaongelei au kwa kuwa wamefunikwa na shuka CCM? Hivi Josephine ni muhimu kuliko mabadiliko? Mbona anakomaa kujifunika shuka tayari kumekucha? Ccm inawakodi vijana kwa ujira kiduchu kujifanya wanamuunga mkono Slaa ni UJINGA tutawapa MKONG'OTO MMITAANI MPAKA KIELEWEKE. MABADILIKO KWANZA. Adui yetu mkubwa ni MKOLONI MWEUSI ccm. TUTOKOMEZE HIKI KIRUSI.
 
Hakuna chama kilichoniuma km CHADEMA yani mpaka sasa km niko ndotoni sijui ntaamka lini... chadema sa hv haina mashujaa tulio wazoea... Maskini CHADEMA daah

Ulianza lini ku support chadema?
 
Back
Top Bottom