Iko wapi CHADEMA ya Operesheni Sangara na M4C?

Iko wapi CHADEMA ya Operesheni Sangara na M4C?

Punguza mahaba ya kipuuzi, jaribu kujenga hoja.

Je hao uliowataja ni wagombea wa urais.?

Hapa hatuongelei ccm, bali Chadema kama chama kikuu cha upinzani kilichojinasibu kupambana na ufisadi matokeo yake kimekuwa chama cha kutetea mafisadi.!

Mabadiliko kwanza hizo nyingine ni ngojera ambazo zimepitwa na wakati. 54 YRS. Siwapendi MAGAMBA from the bottom of my heart. MAJUHA WANAO TETEA SERA ZAO ZA ULAJI aka Mkono uende kinywani. We mama sijui kaka, I'm sorry uko kazini? Unatumika? Mmeshanunuliwa? Uko kikazi I'M SORRY. THIS IS WHAT WE NEEDEDTHE MOST. MABADILIKO KWANZA. MENGINE MUULIZE NI KIKWETE. a.k.a MKULU.
 
Siasa ni mbinu tumemchukua fisadi wenu tuwapige naye manina zenu! Kwenye siasa hakuna kuchekeana!
 
Mabadiliko kwanza hizo nyingine ni ngojera ambazo zimepitwa na wakati. 54 YRS. Siwapendi MAGAMBA from the bottom of my heart. MAJUHA WANAO TETEA SERA ZAO ZA ULAJI aka Mkono uende kinywani. We mama sijui kaka, I'm sorry uko kazini? Unatumika? Mmeshanunuliwa? Uko kikazi I'M SORRY. THIS IS WHAT WE NEEDEDTHE MOST. MABADILIKO KWANZA. MENGINE MUULIZE NI KIKWETE. a.k.a MKULU.
Soma kwa umakini, wapi nimetetea ccm?

Mimi sio wala sijawai kuwa CCM na sidhani kama nitakuja kuwa sehemu ya ccm.

Ila naamini katika misingi ya Chadema, kukemea ufisadi hadharani na kwa nguvu zote.

Maana tatizo la nchi hii ni ufisadi kitu ambacho ni dhambi kwa chadema kuongea hadharani.
 
Ccm sasa hivi hawathubutu kutaja chama chao. Wanamtaja Magufuli. Eti chagua Mag. ufuli. Chama kinanuka mpaka mnaogopa kukiyaja?
 
Tatizo la watu wengi mnafanya siasa za nadharia za kukremu,kama darasani. Siasa ni vita(politics is an art of war). Lazima utumie war tactics. Huwezi kutumia tacticts zile zile utegemee matokeo tofauti. Mfano ukiweza kumkamata Jenerali wa jeshi pinzani haumui hahapo kwa kuwa una hasira kuwa hilo jeshi pinzani limefyeka vikosi vyako vingi. Unachofanya ni kumchukuwa na kumpeleka base na kumtumia ili ujuwe adui yako kajipangaje. Ikiwezekana una bashasha za yeye kuishi hai na familia yake katika nchi yako in exchange of crucial war winning information. Wengi humu tunaandika lakini wachache sana wamejaribu mihemuko hiyo into a political tool of change-namaanisha kugombea hata ujumbe wa nyumba kumi. Kama yupo achooshe kidole. Do your chess homework guys itakusaidia kuvunja(cypher) hiyo code ya CHADEMA kumchukuwa LOWASSA. Siasa za kukremu nazo shiida kwekweli Tanzania

If you don't want to change change will change you. AMEN.
 
Soma kwa umakini, wapi nimetetea ccm?

Mimi sio wala sijawai kuwa CCM na sidhani kama nitakuja kuwa sehemu ya ccm.

Ila naamini katika misingi ya Chadema, kukemea ufisadi hadharani na kwa nguvu zote.

Maana tatizo la nchi hii ni ufisadi kitu ambacho ni dhambi kwa chadema kuongea hadharani.

Huyo mzee wenu Slaa amepishana na msimu. Hata kama anatumika inabidi awe na aibu, inamaana ufisadi anaoujua ni Richmond peke yake? Tegeta ESCROW, Epa, Kagoda, vivuko vibovu, mabehewa na vichwa vya treni feck n.k ni ni misamiati ya kichina kwamba havielewi? Mbona huyu mzee zuzu namna hii? Mbona wakIna Chenge, NGELEJA, Karamagi, TIBAIJUKA n.k.hawaongelei au kwa kuwa wamefunikwa na shuka CCM? Hivi Josephine ni muhimu kuliko mabadiliko? Mbona anakomaa kujifunika shuka tayari kumekucha? Ccm inawakodi vijana kwa ujira kiduchu kujifanya wanamuunga mkono Slaa ni UJINGA tutawapa MKONG'OTO MMITAANI MPAKA KIELEWEKE. MABADILIKO KWANZA. Adui yetu mkubwa ni MKOLONI MWEUSI ccm. TUTOKOMEZE HIKI KIRUSI.
 
Soma kwa umakini, wapi nimetetea ccm?

Mimi sio wala sijawai kuwa CCM na sidhani kama nitakuja kuwa sehemu ya ccm.

Ila naamini katika misingi ya Chadema, kukemea ufisadi hadharani na kwa nguvu zote.

Maana tatizo la nchi hii ni ufisadi kitu ambacho ni dhambi kwa chadema kuongea hadharani.
kwa hiyo ccm wangeweza kuondoa ufisadi basi chadema kingekufa basi kwa sababu watakuwa hawana ajenda. Ufisadi ni matokeo ya chanzo kiingine sio mzizi wenyewe. Kuna kiyu kinachosababisha huo ufisadi uwepo. Hicho ndicho cha kushughulika nacho. Ufisadi ni matikeo tu.
 
huo unaouita msimu unalazimishwa kuwa msimu...mm sometimes nahisi mwenyezi Mungu hakupenda Ukawa tushike nchi safari hii maana EL kuamia Ukawa ni unbelievable,..sahivi tusinge kuwa navizingiti hivi....

Please be you don't be afraid of ccm. There is something under the cover. Be you ccm they are cleaver than you think be you please.
 
Ipo wapi ccm ile. Iliyojinasibu kuvua gamba. Ipo wapi ccm ile ya mangula iliyojitanabaisha kuwafuta uongozi wale wrote waloshinda kwa rushwa.

Ni tatizo kubwa Chadema inapojilinganisha na CCM na kufuata nyayo zake
 
Mwisho wa ukawa baada ya uchaguzi wote watasambaratika mpaka vyama vyao wataanza kuleeee walikotokea
 
Humfahamu vyema naona. Thubuutuuu. Hakuna atakawmvua uanachama maishaaaa. Mshakula ndoana hamna ujanja tena
HAPANA... ngoja tuiweke hivi hoja yako: Labda asipite otherwise, hakuna wa kumvua rais uanachama! Ikiwa walishindwa kumvua uanachama Shibuda kwa ajili ya nafasi yake ya ubunge, seuze rais!!!
 
Chadema wanasema tatizo si mtu bali ni mfumo,lakini mfumo ni watu,mbowe kauza chama hajakanusha na lowassa hajakanusha kuuziwa demokrasia ndani ya cdm,ikiwa chama ni taasisi ya wananchi aliyeuza hiyo taasisi SIO FISADI? CHADEMA NI CHAMA CHA DEALS NA MAFISADI. KAMA WEWE NI CDM JIBU SWALI HAPO JUU.PUMBAVU NA LOFA WEWE!!!!

waache lampeni wajibu utumbo wako?
 
Usijaribu kuonyesha hisia zako mbele ya wenzetu Usishangae wakikuita wewe ni gamba.

Ukweli ndio huo Chadema imehama mstari, makamanda ni kama wamekata tamaa kila mtu anawaza mstakabali wake sio wa chama tena.!

wewe ma mwenzio ni magamba
 
Kufikia uchaguzi mkuu tutashuhudia mengi...najiuliza haya mahaba ya wana ccm kwa ukawa yameanza lini sipati jibu maana kila Neno ukawa ama Mgombea wake likionekana mnajitekenya wenyewe na kucheka!
 
idwa tutakutana oktoba 25 sisi wapumbavu na malofa katika ubora wetu na wewe mamluki unayojidai kuililia chadema ili kuitoa nje ya reli wakati inakaribia kuhitimisha safari ya mabadiliko. wapumbavu na malofa katika ubora wetu tumekwisha amua kura kwa Lowassa na wabunge wa UKAWA
Siioni kabisa, ile Chadema iliyoenda kupiga kambi Kanda ya pwani zaidi ya wiki moja.

Ile Chadema iliyosambaa Kanda zote kuelemisha Wananchi kuhusu Ufisadi na maovu ya ccm kwa ujumla.

Ile ya Lema, Mnyika, Mdee, kwa upande mmoja Sugu,Silinde,Msigwa kwa upande mwingine. Lissu, wenje na wengineo.

Ile ya viongozi wenye upeo toka makao makuu,Pr.Safari, Pr.Baregu na wengineo.

Ile ya vijana makamanda tofauti toka idara tofauti makao makuu.

Kweli leo Chadema ni ya kupelekwa ikulu na akina Sumaye, Masha, Msindayi na Mahanga?

Wako wapi makamanda wa ukweli tuliowazoea wananchi, waliokipaginia chama kwenye jua na mvua usiku na mchana.?

Najua mtasema wengi wapo bize na kampeni kwenye majimbo yao.

Lakini binafsi naamini Lema, Lissu alieashinda asilimia tisini ya serikali Za mitaa, Silinde ambae wananchi wake wanaimba Chadema hadi usingizini, Sugu ambaye ni Rahisi wa Mbeya, Mdee mwanamke shujaa wa siasa za upinzani Tanzania na wengineo.

Hawawezi kushindwa kupoteza siku mbili kwenye majimbo yao na kumnadi Lowassa kwenye mbio za urais.

Poleni makamanda najua wengi wenu mnamadukuduku mioyoni mwenu ila ni ngumu kusema kwa kuogopa kuitwa wasaliti.

Kwa hatua ilipofikia Chadema, kilikuwa sio chama cha kutegemea Sumaye awapeleke ikulu wala Masha wala Msindayi hata Lowassa Mwenyewe.!

Bado naililia Chadema yangu ya ukweli na mtetezi halisi wa watanzania sio hawa wasaka madaraka tu.!


Tukutane October 25
 
Kesho Lowasa akimteua Makongoro Mahanga na wana CCM kuwapa ubunge viti maalum na kisha kuwateua kuwa mawaziri ndio watu wa aina hii tuliwataka ..... Hivi kuna mtu hapa anaweza kunijibu nini kinamfanya aamini Lowasa atasimamia kile tulichoamini muda mrefu?

Ila CCM itakuwa haipo ilo ndio tunalotaka
 
Usiwe na akili za Nyumbu kiasi hicho na usiwe mvivu wa kusoma, unaweza kurejea post zangu toka najiunga jf na hakuna hata moja iliyofutwa ukaangalia msimamo wangu ni upi toka awali.

Huu ujinga wa kudhani kila anaempinga Lowassa ni ccm ndio utawapoteza zaidi.

Unaweza pia ukawa mamluki
 
idwa tutakutana oktoba 25 sisi wapumbavu na malofa katika ubora wetu na wewe mamluki unayojidai kuililia chadema ili kuitoa nje ya reli wakati inakaribia kuhitimisha safari ya mabadiliko. wapumbavu na malofa katika ubora wetu tumekwisha amua kura kwa Lowassa na wabunge wa UKAWA

Hatuwezi kukubali nyie mnaojiita Malofa mtuamulie hatma ya nchi yetu, halafu wote baadae tulie na kusaga meno.!
 
Back
Top Bottom