Iko wapi CHADEMA ya Operesheni Sangara na M4C?

Yaani pumba tupu ...hao uliowataja wote ni wagombea ubunge na wana kazi maalumu ya kuzunguka na chopa kwenye msjimbo kadhaa kumnadi mgombea urais hata ratiba ya chama hamuijui then mnaajiita chadema......hamjalazimishwa c muondokee
Tumewaachia team Lowassa, ninyi ndio kila kitu.
 
Siioni kabisa, ile Chadema iliyoenda kupiga kambi Kanda ya pwani zaidi ya wiki moja.

Ile Chadema iliyosambaa Kanda zote kuelemisha Wananchi kuhusu Ufisadi na maovu ya ccm kwa ujumla.

Tukutane October 25

Mtoto huzaliwa, hukua na hatimaye huwa mtu mzima akaoa au akaolewa na huzeeka na kurejea kwa muumba. Kila kitu hupitia hatua hizo. Haishangazi na chichiemu imezeeka na inakaribia kuaga dunia.
Hiyo CHADEMA unayoizungumzia, ilikuwa ni hatua ya makuzi - ilikuwa ni CDM ya uanahakati ambao ndio umwatoka wabongo (malofa na wapumbavu) usingizini na ushahidi unauona mwenyewe. Sasa CDM haiwezi kuendelea kuwa movement ya uanaharakati. Imefikia hatua ya kuchuku dola ili yale iliyokuwa ikiyafanyia uanaharakati yawe katika vitendo. Lakini hiyo si kazi ya lelemama. Mbinu muhimu ni kuangalia hali halisi na kutenda kwa mujibu wa hali hiyo (waingereza wanaiita pragmatism). Hali halisi iliyopo ili kuteketeza kizee king'ang'anizi (hata kama hakiwezi tena kazi) ni hicho ambacho CDM imekifanya. Kwa bahati mbaya bado tunao watu wengi sana, wazee (mfano Dr Slaa) na vijana (wanaodai kuwa wafuasi wake) ambao welewa wao wa dunia na praticial politics ni wa chini sana. Bado wanataka CDM iendelee na unaharakati (maandamano, wabunge kususia vikao, kusindikiza CCM katika chaguzi, nk). Hichi kipindi kimekwisha na haturudi nyuma - ni mabadiliko tu kwa gharama yo yote ile. CHAGUA MABADILIKO, CHAGUA UKAWA, CHAGUA LOWASSA:)
 
Kesho Lowasa akimteua Makongoro Mahanga na wana CCM kuwapa ubunge viti maalum na kisha kuwateua kuwa mawaziri ndio watu wa aina hii tuliwataka ..... Hivi kuna mtu hapa anaweza kunijibu nini kinamfanya aamini Lowasa atasimamia kile tulichoamini muda mrefu?
 
Lowasa hawezi geuka maana sio mwenyekiti wa chama. Hakigeuka tunamvua uanachama. Kama alivyofanyiwa aboud jumbe pale chimwaga.

Hivi unaijua nguvu ya katiba hii .....unajua kwanini mkakati wa kumvua uenyekiti Kikwete kule CCM ulifeli?
 
Kifupi kama nchi tumepoteana, hatuhoji wala kujenga hoja tena ila ni mwendo wa ushabiki tu.!

Sijui tumekumbwa na nini ..... Lowasa ambaye juzi tu aliapa kutotoka CCM pamoja na historia yake anaaminiwa kuliko Dr Slaa .....tumechanganyikiwa .....
 
Mtoto huzaliwa, hukua na hatimaye huwa mtu mzima akaoa au akaolewa na huzeeka na kurejea kwa muumba. Kila kitu hupitia hatua hizo. Haishangazi na chichiemu imezeeka na inakaribia kuaga dunia.
Hiyo CHADEMA unayoizungumzia, ilikuwa ni hatua ya makuzi - ilikuwa ni CDM ya uanahakati ambao ndio umwatoka wabongo (malofa na wapumbavu) usingizini na ushahidi unauona mwenyewe. Sasa CDM haiwezi kuendelea kuwa movement ya uanaharakati. Imefikia hatua ya kuchuku dola ili yale iliyokuwa ikiyafanyia uanaharakati yawe katika vitendo. Lakini hiyo si kazi ya lelemama. Mbinu muhimu ni kuangalia hali halisi na kutenda kwa mujibu wa hali hiyo (waingereza wanaiita pragmatism). Hali halisi iliyopo ili kuteketeza kizee king'ang'anizi (hata kama hakiwezi tena kazi) ni hicho ambacho CDM imekifanya. Kwa bahati mbaya bado tunao watu wengi sana, wazee (mfano Dr Slaa) na vijana (wanaodai kuwa wafuasi wake) ambao welewa wao wa dunia na praticial politics ni wa chini sana. Bado wanataka CDM iendelee na unaharakati (maandamano, wabunge kususia vikao, kusindikiza CCM katika chaguzi, nk). Hichi kipindi kimekwisha na haturudi nyuma - ni mabadiliko tu kwa gharama yo yote ile. CHAGUA MABADILIKO, CHAGUA UKAWA, CHAGUA LOWASSA:)
Wengi hawana vyama, wanategemea nchi hii kuishi hawana pa kukimbilia.

Tifuaneni tuachieni Tanzania yetu salama, ulafi wenu wa madaraka usituharibie Tanzania yetu.!
 
Hiyo Chadema ipo Mkuu! Tumejikita kwenye agenda ya Mabadiliko kwa sasa Na tumegundua ndio inatupeleka Ikulu! Hizo nyingine zimekijenga Chama sasa tupo Na ya kutupeleka kuchukua serikali!
 
Lowasa hawezi geuka maana sio mwenyekiti wa chama. Hakigeuka tunamvua uanachama. Kama alivyofanyiwa aboud jumbe pale chimwaga.

Humfahamu vyema naona. Thubuutuuu. Hakuna atakawmvua uanachama maishaaaa. Mshakula ndoana hamna ujanja tena
 
Sijui tumekumbwa na nini ..... Lowasa ambaye juzi tu aliapa kutotoka CCM pamoja na historia yake anaaminiwa kuliko Dr Slaa .....tumechanganyikiwa .....

Mbaya zaidi wasomi wetu , wengi wao ni sehemu ya ujinga huu.

Tunahitaji miujiza kujielewa kama Taifa.!
 
hivi inakuwaje mwana CCM kuleta nyuzi za UKAWA/CHADEMA ? mkifutwa kazi je kila siku hili mara lile mbaya zaidi hamjibiwi hamjioni kwamba hzo propaganda za kale?
 
<font color="#ff0000"><font size="4"><strong>[video]https://youtu.be/dtnTvMSXO-0[/video]

&#8203;Na HII NI KWELI KABISA!
 
Hiyo Chadema ipo Mkuu! Tumejikita kwenye agenda ya Mabadiliko kwa sasa Na tumegundua ndio inatupeleka Ikulu! Hizo nyingine zimekijenga Chama sasa tupo Na ya kutupeleka kuchukua serikali!
Mkuu uko sahihi, Je unaamini Chadema na ukawa ya sasa inaweza kutupeleka ikulu?
 
Hivi wewe idawa umeona leo ndiyo mada yako ya kufunga nayo week hii? Pole sana kwa mawazo yako finyu sana ya kisiasa..........nakuhakikishia ya kwamba Chama cha Demokrasia na Maendeleo kipo imara zaidi ya ujuavyo na utajionea mwenyewe 25/10 Mungu akitujalia!
 
Last edited by a moderator:
hivi inakuwaje mwana CCM kuleta nyuzi za UKAWA/CHADEMA ? mkifutwa kazi je kila siku hili mara lile mbaya zaidi hamjibiwi hamjioni kwamba hzo propaganda za kale?
Usiwe na akili za Nyumbu kiasi hicho na usiwe mvivu wa kusoma, unaweza kurejea post zangu toka najiunga jf na hakuna hata moja iliyofutwa ukaangalia msimamo wangu ni upi toka awali.

Huu ujinga wa kudhani kila anaempinga Lowassa ni ccm ndio utawapoteza zaidi.
 
Hivi wewe idawa umeona leo ndiyo mada yako ya kufunga nayo week hii? Pole sana kwa mawazo yako finyu sana ya kisiasa..........nakuhakikishia ya kwamba Chama cha Demokrasia na Maendeleo kipo imara zaidi ya ujuavyo na utajionea mwenyewe 25/10 Mungu akitujalia!

Tuombe Mungu uzima, kama ukawa itaenda ikulu kwa kupitia Sumaye na Masha basi mimi nitakuwa wa mwisho kuamini.!
 
Last edited by a moderator:
Hivi Chadema wanategemea dakika hii ku handle issue ya Dr Slaa na kushinda uchaguzi .....issue ya Zitto ilichukua muda mrefu na bado ikaacha majeraha ....sijui tumekumbwa na nini .....tumeacha vijanà wa M4U na watu wetu kueneza uongo dhidi ya mtu anayejua alijenga wapi na abomoe wapi tena dakika hizi ....huu ni upuuzi kufikiri mnaweza kumfanyia propaganda Dr Slaa .... Muda haupo na atawaumiza vibaya ....
 
Hii si operation sangara...

usiogope mabadiliko, unless wewe ni mwandani wa waoga wa mabadiliko
 
Back
Top Bottom