Ikiwa Mkeo ni mgomvi kwako

Ikiwa Mkeo ni mgomvi kwako

Ukijifanya mjinga utaishi kwa amani sana.
Hii ni very short term solution.
Utajifanya mjinga ukijua ndio hekima, kumbe mwenzako anatake advantage kwa huo ujinga wako kama ndio tabia yako. By the way, Utajifanya mjinga kwa mangapi? Maana maisha kila siku yanahitaji maamuzi. Mambo ya wawili yanahitaji upendo, hekima na busara sana kuyakabili.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom