Ikiwa Mkeo ni mgomvi kwako

Ikiwa Mkeo ni mgomvi kwako

Na wale ambao wakikimbilia vilabu vya pombe na kwenye magenge ya kahawa tunaona wanafatwa huko huko na wake zao na moto ni ule ule mnawashaurije?
 
Na zile sanctions zako kweli🙆🙆🙆
Ha ha zile za kishua shua lazma ziwepo 😀! Si unajua ushakuwa leashed so you got to stay on ur lane like always.
Huwezi kuwa kama mbuzi wa mjini wale wanaozurura bila direction.
 
Dunia inabadilika, I have 47yrs now na kwa kiasi nimeona ona mengi, nasema Mwanamke wa kuvumilia yapo ya kuvumilia mapungufu ya kibinadamu, lakini Kuna mapungufu yasiyo na kikomo, na Kuna tabia shenzi za baadhi ya wanawake, akijitokeza akawa ktk hayo , sipandi huko kwenye Dari kujificha wala kumpisha, ataondoka yeye na hatakaa akarudi hapo, wakati wa Suleiman walikusanya kusanya udongo jangwani na kujijengea nyumba zisizo na gharama , now tunajenga Kwa tabu na nikimpisha mwanamke eti Kwa sababu ana Shari haitatokea, Lake zone hatufanyagi hiyo ujinga, ATAONDOKA yeye.
Mzee wa lake zone nimekupata mkuu.mesaageyako imekita mizizi .
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom