Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,495
- 100,910
Mwanamke mmoja anadumaza akiliIkiwa unataka maoni ya mwanamume aliyeoana kwa furaha na mwanamke mmoja kwa miaka ishirini, hapa tunaenda…
Mwanamke mmoja anadumaza akiliIkiwa unataka maoni ya mwanamume aliyeoana kwa furaha na mwanamke mmoja kwa miaka ishirini, hapa tunaenda…
Wanawake wengi wakikuanzishia timbwili akili nitakaa sawa bila shaka 😄Mwanamke mmoja anadumaza akili
Ukiwa nao wengi wanakugombaniaWanawake wengi wakikuanzishia timbwili akili nitakaa sawa bila shaka 😄
Ndio maana mfalme Suleman alikuwa anajificha juu ya dari wakianza yao wale 1000 😂😂Ukiwa nao wengi wanakugombania
Walikua na "kiu" sana wakawa wanamtaka! Jamaa kaona watakuja kuniua mbwa hawaNdio maana mfalme Suleman alikuwa anajificha juu ya dari wakianza yao wale 1000 😂😂
Ila huyo king alikuwa na kiherehere sana cha kuonja kila mrembo 😂Walikua na "kiu" sana wakawa wanamtaka! Jamaa kaona watakuja kuniua mbwa hawa
Huyu alikua anagonga kimoja TU, dah!Ila huyo king alikuwa na kiherehere sana cha kuonja kila mrembo 😂
Hakuna ushahidi kama alifanya hivyo, wanawake 1000 sio muziki mwepesiHuyu alikua anagonga kimoja TU, dah!
Kuvumilia toxic marriage ni mpaka extent ipi?Mfalme Sulemani anasema kimbia jangwani (Mithali 21:19) au ukae kwenye dari (Mithali 21:9) peke yako. Labda ndivyo alivyoishia yeye na wanawake zake 1,000. Ukitaka ushauri wa mwenye wake wengi, ndivyo atakavyo kushauri. .
Ubarikiwe.
Mfalme Sulemani anasema kimbia jangwani (Mithali 21:19) au ukae kwenye dari (Mithali 21:9) peke yako. Labda ndivyo alivyoishia yeye na wanawake zake 1,000. Ukitaka ushauri wa mwenye wake wengi, ndivyo atakavyo kushauri. .
i wagomvi. Kiukweli! Lakini sio lazima ukate tamaa kwenye ndoa yako. Fanya kitu. Pata kocha wa ndoa ili kukusaidia kuweka na kufuata malengo yako ya wanandoa.
Ubarikiwe.
Na akiondoka baki peke yako usioe tenaMpe uhuru wake aende kwa amani na furaha zake. Akuachie nafsi yako na thamani yako
Ushahidi wa kimazingira!Hakuna ushahidi kama alifanya hivyo, wanawake 1000 sio muziki mwepesi
Toxic marriage eats people alive. Hakuna tuzo yeyote yani ya kuvumilia ujinga wa mtu mzima.Kuvumilia toxic marriage ni mpaka extent ipi?
Au hadi ufe ndo utakuwa umevumilia vya kutosha?
Ukiona mahusiano yana mazongezonge just kula kobis kwa amani. Mwanaume haoi mwanamke ili waje kutesana.
Mpe uhuru wake aende kwa amani na furaha zake. Akuachie nafsi yako na thamani yako
Na uhasiwe ili usigegede mileleKATAA NDOA KATAA KUOA imeisha hio
Sifungwi na hiloNa akiondoka baki peke yako usioe tena
NAKAZIAKATAA NDOA KATAA KUOA imeisha hio
Nijuavyo mie king alipiga yowe kwa kusema ni "ubatili mtupu" kumiliki wanawake wengi, bila shaka wallmtoa jasho 😂Ushahidi wa kimazingira!
Kama ni hivyo usimfukuze wala kumkimbia mwanamke wako Mgomvi 😂Sifungwi na hilo
Mungu ni mwema sana. Sitokaa nisioe maana siwezi kukiuka agizo lake la zaeni mkaongezeke