Mfurahishe Mkeo, huyo ni malkia wako!

Kambi ya Fisi

JF-Expert Member
Feb 3, 2018
13,519
22,013
Hii inawahusu wanaume wote waliooa ila wapo slow sana katika kuwafurahisha wake zao....

Unapokuwa na mkeo acha kukunja uso kama unakunywa alovera bali mpe tabasamu kama vile ndo mmeanza kuchumbiana. Mwite honey wako(ama jina lolote zuri) .

Mie ninapozungumza na mke wangu , ninamwitaga - Asali wangu. Na hivyo ndivyo nilivyohifadhi jina lake kwenye simu yangu.

Mpeleke mke wako out kwa chakula cha jioni angalau mara moja kwa wiki.

Mvalishe kama yeye ndiye mrembo mkuu wa nyakati zote.

Lipia gharama zake za saluni kwa tabasamu pasipo lawama.

Umewahi nafanya kazi ili upate kwa ajili ya nani?

Ikiwa unatumia pesa zako na marafiki zako tu au na wale wanaokutumia vibaya utakuwa haupo sawa . Tambua wale wanaokutumia vibaya hawatoi chochote kwa ajili yako - wanatafuta tu kuchukua hela yako na kukugombanisha na mkeo.

Mnapokuwa faragha usiache kumsifu mkeo, pia mkiwa hadharani msifie.

Mtumie meseji tamu kila siku.

Tafuta kuinua roho yake kila dakika. Na nishati chanya ambayo unampa itarudi kwako.

Kama inavyosemwa mara nyingi, ‘Mke mwenye furaha, huwa na maisha yenye furaha.’ Mke wako anapokuwa na furaha, familia nzima huwa na furaha. Mke mwenye furaha, nyumba yenye furaha. Mke mwenye furaha ni siri ya mwanamume kwa maisha ya furaha.

Ubarikiwe.
 
Unajikuta kidume kumbe ni Dem ndo umeandika huu Uzi, mwanamke nimeshakuoa unatafta nini saluni, unajiremba ili iweje Bado unatafta wanaume au? Nitakutoa kishipa acha ufala, pesa za kupoteza saluni kanunue mayai familia iinjoy
 
Una uhakika gani kuwa utakuwa hai hadi kipindi hicho?

Kumbuka huko mbinguni hakuna kuoa hivyo ukifa ndio imetoka hiyo
Miaka 2 ijayo nitakuwa hai mkuu. Ondoa shaka. Labda bahati mbaya zijitokeze. Otherwise , nitakuwa mzima na bukheri wa afya.

Mpango wangu ni kuishi miaka 80 hivi. Bado nna kama nusu karne kutimiza huu mpango.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom