Ikiwa Mkeo ni mgomvi kwako

Ikiwa Mkeo ni mgomvi kwako

Kuvumilia toxic marriage ni mpaka extent ipi?

Au hadi ufe ndo utakuwa umevumilia vya kutosha?

Ukiona mahusiano yana mazongezonge just kula kobis kwa amani. Mwanaume haoi mwanamke ili waje kutesana.

Mpe uhuru wake aende kwa amani na furaha zake. Akuachie nafsi yako na thamani yako
Kabisa...

uvumilivu una kikomo lasivyo ni mateso.
 
Babu alisema eti ukiona mwanamke anakuletea ugomvi ugomvi ujue haumkazi vizuri🤣🤣🤣
Sababu kubwa huwa ni hili. Visirani huwa haviishi sababu mtoto anakuwa kiu haiishi. Tukazane jamani tuimarishe upendo 🤣🤣🤣
 
Ugomvi ni ishu ya spirit pana wanawake natural ni wagomvi na wakorofi usipokimbia jiandae kufa na pressure, kushuka moyo, kuishiwa nguvu za kiroho na za kiume. Pana watu wanatabia ngumu labda uwe Yesu au moyo wa chuma ndo utaweza.

1.amelelewa single mama
2.anatoka kabila la wakorofi
3.ana kauli chafu na kali
4.Ni mtukanaji
5.Ni sanguine yaani koki moja tu maji moto au maji baridi
6.Dharau,jeuri, kiburi,
7.Mjuaji anataka yeye ndie awe juu
8.Ana hasira sekunde kalipuka
9.Lawama kwake ni kiwanda ana tazama mabaya tu
10.Hana shukrani wala jema kwake
11.mshipa wa aibu ulishakata kukutana mbele za watu sio shida ni sekunde
12.hataki ndugu zake wala wako
13.Makelele amani inakuwepo asipokuwepo home
14.Mkali anakutamkia maneno ya laana tu ya kukuvunja moyo.
15.Hana heshima hana utii
Mwanamke kama huyu unaishije nae ni kweli maandiko yanapinga watu kuachana, umefanya KILA mbinu maombi, wanasaikolojia lakini Hakuna mabadiliko.
Ukiona mwanaume kaukimbia mji wake kaacha KILA kitu yaani, nyumba, magari, watoto, nk kachukua bag tu kaenda kupanga msipende kuwalaumu. Hakuna mwanaume yeyeto anaeweza mkimbia mke mwema atachepuka nje lakini zizi lake aachi.
Mfano kama huu ulikosea kuoa maandiko yanasema usiache utafanyaje uvumilie uteketee kwa ndani KWA magonjwa ya moyo ufe mapema au ukimbie unusuru moyo wako.
 
Maendeleo ya mwanaume yeyeto utegemeana na utulivu wa mke wake.
Nyumba yeyeto isiyo na amani Hakuna maendeleo nyumba yenye amani na utulivu hata mimea ya nyumbani unawiri na kustawi
 
Binafsi nimekua na falsafa yangu ya ukimya na kupuuza na kujishusha, hii imenipelekea kwa karibu miaka kumi na tano tokea nilivyo anza kujihusisha na mwanamke sijawahi kupishana naye moja kwa moja.

Ukijifanya mjinga utaishi kwa amani sana.
Inategemea na aina ya mwanamke,
 
KILA mwanamke anastahili yake ya kuishi nae huwezi ishi na mwanamke wa Kikurya kwa staili ya mwanamke wa pwani na kinyume chake
 
Binafsi nimekua na falsafa yangu ya ukimya na kupuuza na kujishusha, hii imenipelekea kwa karibu miaka kumi na tano tokea nilivyo anza kujihusisha na mwanamke sijawahi kupishana naye moja kwa moja.

Ukijifanya mjinga utaishi kwa amani sana.
Kuna vya kujuishusha na sio vyote,mwingine unavyojishusha ndio anavyozidisha ushari...
 
Kwenye kuoa inatakiwa mtu utulize Sana mpira, Mimi nakubaliana na falsafa ya kuangalia nyota pana nyota haziendani hata ulazimishe vipi at the end ni lazima mtaachana tu. Kama nyote mnasimama na Mungu ishu ya nyota sio issues mtaishi kwa kuongozwa na misingi ya kiMungu. Lakini KWA sababu ya kizazi hiki cha laana ishu ya nyota haikwepeki wanafanya Sana Wahindi na waarabu ila sijui viwango vyao vya migogoro ya kindoa ipoje.
Hili la kutumia akili zako mwenyewe kuoa chaguo lako limefeli KWA wengi ni kilio. Utaratibu wa zamani ulikuwa mzuri wa jamii kukuchagulia mke au mme ilikuwa nadra Sana kukuchagulia kimeo. Ufeminism unazalisha talaka Sana.
 
Sababu kubwa huwa ni hili. Visirani huwa haviishi sababu mtoto anakuwa kiu haiishi. Tukazane jamani tuimarishe upendo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nyie mnao tushauri kukazana na hizi akili zinazo waza madeni? Hiv hapo mjegeje utasimama ipasavyo kweli.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom