True popote penye ugomvi malaika wa Nuru akai.Usikae na mwanamke mgomvi, hakuna maendeleo utapata
Zamani walio wake wengi kuepuka hiki ukikosea kuoa unamuacha hapo na watoto wake KWA boma lako unasogea pembeni unatafuta asiye mgomvi.
True popote penye ugomvi malaika wa Nuru akai.Usikae na mwanamke mgomvi, hakuna maendeleo utapata
Muonyeshe kua ukorofi ndio ngozi yako halisi yeye anaigiza tu...All in all hakikisha hamlali chini ya dari moja hiyo siku.Na ukimkuta?
Na ukimpata huyo asiye mgomvu utakuwa umekuwa kikongwe huku ukiwa umejaza nchi majambazi yasiyomjua baba..ukikosea kuoa unamuacha hapo na watoto wake KWA boma lako unasogea pembeni unatafuta asiye mgomvi.
Tena unamuwashia balaa haswa, Kila akikaa akikumba anakuwa mpole.Ukitumia democracy wanakuona poyoyo hawa lazima wajue wakizingua balaa lake si la kitoto ndio wanakuheshimu haswa hawa wa kibongo
Bora kuliko fyuzi disconnectedNa ukimpata huyo asiye mgomvu utakuwa umekuwa kikongwe huku ukiwa umejaza nchi majambazi yasiyomjua baba..
Ni hatari sana
🤣🤣🤣🤣Kitu nimekuja gundua hata mimi nisipokula mbunye kwa mda mrefu nakuwa na hasira sana, 🤣
Upo sahihi mkuuBinafsi nimekua na falsafa yangu ya ukimya na kupuuza na kujishusha, hii imenipelekea kwa karibu miaka kumi na tano tokea nilivyo anza kujihusisha na mwanamke sijawahi kupishana naye moja kwa moja.
Ukijifanya mjinga utaishi kwa amani sana.
Amani ndio msingi wa mafanikio, ndio maana hata maandiko yametuasa kutafuta amani kwa biiiTrue popote penye ugomvi malaika wa Nuru akai.
Zamani walio wake wengi kuepuka hiki ukikosea kuoa unamuacha hapo na watoto wake KWA boma lako unasogea pembeni unatafuta asiye mgomvi.
True thus matajiri uchagua pesa kuliko mapenzi.Amani ndio msingi wa mafanikio, ndio maana hata maandiko yametuasa kutafuta amani kwa biii
Thank you too!Pendaeli nimekupenda Bure, Asante kwa haya madini .
Uzuri hautakua mjinga in reality ila itakua umejifanya, kwa namna hiyo huwezi kupindukiaIla usijifanye mjinga kupindukia
Yaani unamaanisha utapigana na mkeo?Muonyeshe kua ukorofi ndio ngozi yako halisi yeye anaigiza tu...All in all hakikisha hamlali chini ya dari moja hiyo siku.