Ijue Toyota Coaster new model Fourth Generation

Kwa kweli sijawaelewa kabisa kuachana na 1hd-fte!nasikia hata LC 200 V8 wameachana nazo zinazokuja zitakuwa V6
Naona jamaa wameamua kununua 200 series kwa fujo kabla hajizatoweka sokoni.

Screenshot_20210412-173304.jpg
 
NO4C iko vizuri sana japo haiwezi izidi 1hd-fte kwa mwendo na NO4C imetengenezwa na kampuni ya HINO ambayo kwa sasa inamilikiwa na TOYOTA,kama wameacha kuzalisha 1hd-fte wameninyong'eza maana ni very powerful hata land cruiser 1hz 70 series(mkonga)haifuati.
1hd fte ilikuw na sifa moja ambayo diesel engine manufactures walishindwa ku archive, kwa kutimia mechanical injector pump, 'super flat torque '
ni ile jeuri ya 1hd fte , ya kutopoteza torque hata wakati revs zinashuka .
 
Kwa kweli sijawaelewa kabisa kuachana na 1hd-fte!nasikia hata LC 200 V8 wameachana nazo zinazokuja zitakuwa V6
Emissions laws , 1hd fte ,haikuwa clean, hafu diesel tech ilikuwa imeshabadilika sana , common rail , piezoelectric nozzle ,na variable geometry turbochargers , ilifanya diesel engine ziwe clean , smart , fast na very economy.
hakukuwa na namna 1hd inge survive , the short lived and loved 1vd ftv inaondoka sokoni kwa sababu hizo hizo pia
 
Hivi NO4C na 1HD ipi iko vizuri kimwendo,naona ROSA 4M inaelekea kukosa mpinzani kama coaster wataachana na 24!
1hd ipo vizuri sana kwa mwendo na kudeliver power, hii ni engine pekee ulimwenguni kudeliver super flat torque , kwa technology ya mechanical pump. hinos No4c ina nguvu ila haina stable torque .
speaking of 4m series za mitsubishi, huyo ni shujaa aliyesahaulika , zile 51 series (5200cc, ) zilikuwa natural aspirated , the 50 series 4800cc zilikuwa turbocharged,
ila zote hizo zinakaa kwa kutulia 1hd inapoongea .
 
Torque figure ya No4c iko vizuri hata power iko a little bit higher ..sijajua uimara
1 hd ni imara kuliko no4c , na inapokuja tasks ya milima ya kupanda kwa muda mrefu 1 hd in maintain sana nguvu kuliko no4c
ila kwa swala la durability nadhani mitsubishi 4m 51 ipo vizuri kuliko zote hizo
 
12ht ilikuwa notorious kwa kundrop valve , ina mlio mzito kuliko 1hd kwa sababu ya 12 valves .
cant beat the legacy of 1 hd fte ,
Toyota Coaster zenye injini ya 15B-T nazo zipo vizuri. Hii 15B-T ipo kwenye Toyota Dayna za kisasa.
 
1 hd ni imara kuliko no4c , na inapokuja tasks ya milima ya kupanda kwa muda mrefu 1 hd in maintain sana nguvu kuliko no4c
ila kwa swala la durability nadhani mitsubishi 4m 51 ipo vizuri kuliko zote hizo
Mitsubishi Rosa kwenye durability nadhani ndiyo ya kwanza. Kwa miaka mingi kwenye njia za off-road mikoani Mitsubishi Rosa ndio zilikuwa zikifanya kazi mpaka sasa sehemu korofi ambazo Toyota Coaster hazikumudu kutokana na body kuharibika na ubebaji mizigo mikubwa kwenye carrier ambayo hutanua na kuharibu body. Isuzu Journey kwenye durability ya body na injini alikuwa vizuri, akajapotea baada ya joint venture na Nissan Civilian.

Mfano wa njia zilizokuwa korofi na Rosa zilihimili ni Songea-Mbinga,Songea-Tunduru,Mbeya-Sumbawanga,Mpwapwa-Chogola-Kinusi,Mbeya-Makete,Tanga-Pangani-Kipumbwi, Morogoro-Mkata-Kilosa na Morogoro-Ifakara-Malinyi.
 
Performance yake ni nzuri. Vipi matatizo yake ni nini mpaka Toyota Dayna nao wamehamia kwenye NO4C.
hino NO4C na JO5C ni efficient na zina pass vizuri emmission laws, kwa soko la uk kwa mfano wako sensitive , ndo maana toyota wanaweka engine za hino
sijajua uimara wa 15b fte ila nafahamu ina uwezo
 
1hd fte ilikuw na sifa moja ambayo diesel engine manufactures walishindwa ku archive, kwa kutimia mechanical injector pump, 'super flat torque '
ni ile jeuri ya 1hd fte , ya kutopoteza torque hata wakati revs zinashuka .
Kwa kweli hiyo engine ikiwa kwenye cruiser 100 series ni hatari sana!
 
1hd ipo vizuri sana kwa mwendo na kudeliver power, hii ni engine pekee ulimwenguni kudeliver super flat torque , kwa technology ya mechanical pump. hinos No4c ina nguvu ila haina stable torque .
speaking of 4m series za mitsubishi, huyo ni shujaa aliyesahaulika , zile 51 series (5200cc, ) zilikuwa natural aspirated , the 50 series 4800cc zilikuwa turbocharged,
ila zote hizo zinakaa kwa kutulia 1hd inapoongea .
Ahsante mkuu japo 4M kuna watu wanaziongelea kuwa HD hazifui dafu ila maelezo yako nimeyakubali uko deep,nimewahi safiri nazo zote kwangu naona 24 iko vizuri hasa mlimani.
 
4M51 ya kwenye Rosa ukipambanisha na 1HD-FTE ni mchuano mkali yeyote anaweza kushinda.
inategemeana na njia , 4m ipo vizuri sana kwenye nguvu za kuanza , inachanganya haraka sana , hii ni natural aspirated ya cc 5200 ujue !! ila linapokuja swala la ku maintain power hasa kwenye milima 1hd ipo vizuri sana na inajua kutamba na power ,
ila kwa kudumu 4m 51 inadumu sana sana kuliko 1hdt
 
Back
Top Bottom