Ijue Toyota Coaster new model Fourth Generation

Toyota Coaster Bora ni Second Generation(Box Body) na third generation (Coaster Mayai). Unakutana na injini Kama 3B,13B,14B,15B-T,1HZ,1HZ-T na 1HD-T.

Na baadhi zilikuwa na Air suspension hizo box body na Mayai, Bujibuji nakumbuka miaka ya 2000-2008 njia ya Mbeya-Tukuyu-Kyela ilikuwa na Coaster nyingi zenye air suspension zilikuwa zimenyanyuliwa nyuma ilikuwa ni mbio za kutisha na njia ya Tukuyu Ina Kona Kali na ukungu, hizo 1HD-T zilipiga Sana chini hiyo njia kutokana na madereva kukimbia Sana.
Sorry mkuu hakuna injini ya 1hz-t toka kiwandani ila kuna 1hz hiyo t imesimama kama kiwakilishi cha turbo na kikiwa kwenye 1hz lazima kuna modification imefanyika.
 
Mkuu, marekebisho kidogo. Kuna baadhi ya engine hapo haziko sokoni siku nyingi saana. Pia 1HZ-T haijawahi kutengenezwa. Ni 1HD-T ambayo ndio turbocharged 1HZ. Pia iliacha kutengenewa 1995 ikawa replaced na 1HD FT ambayo baadae ikaja 1HD FTE. 1HZ ndio inapeta bado mpaka sasa.

Sasa hivi engine common kwa Toyota Coaster ni N04C ambayo ina cc4000 ni turbocharged inatumika saana kwa masoko yanayobana saana mambo ya emission, na 1HZ kwa masoko kama yetu.
NO4C iko vizuri sana japo haiwezi izidi 1hd-fte kwa mwendo na NO4C imetengenezwa na kampuni ya HINO ambayo kwa sasa inamilikiwa na TOYOTA,kama wameacha kuzalisha 1hd-fte wameninyong'eza maana ni very powerful hata land cruiser 1hz 70 series(mkonga)haifuati.
 
Yes, watu waliweka tu turbo kwenye 1HZ. Ndio maana nikasema 1HZ-T haikutengenezwa. Baadae ndio Toyota wakatengeneza a turbocharged 1HZ wakaiita 1HD-T. Ila ikawa na shida nyingi, ndio maana ilidumu muda mfupi tu, wakaja na 1HD-FT, baadae 1HD FTE. Japo kiuhalisia hizi engines zinafeatures nyingi zinafanana.

15B-T ilitumika kwenye 3rd gen Coaster (Coaster mayai) miaka ya mwanzo ila kwenye hii 4th gen haijatumika.
Mkuu umeisahau injini moja matata 12h-t iliishia kwenye box body deluxe.
 
NO4C iko vizuri sana japo haiwezi izidi 1hd-fte kwa mwendo na NO4C imetengenezwa na kampuni ya HINO ambayo kwa sasa inamilikiwa na TOYOTA,kama wameacha kuzalisha 1hd-fte wameninyong'eza maana ni very powerful hata land cruiser 1hz 70 series(mkonga)haifuati.
Kweli. 1HZ haitii mguu kwa 1HD FTE kwa upande wa nguvu. Kwenye Coaster zenye N04C kitu kinachoudhi ni hiyo DPF waliyofunga. Ikijaa gari linaishiwa nguvu kabisa. Sasa sisi tunaonunua magari used, tunapata tabu sana. Maana unakuta imekaribia kujaa.
 
Kwa kweli sijawaelewa kabisa kuachana na 1hd-fte!nasikia hata LC 200 V8 wameachana nazo zinazokuja zitakuwa V6
 
Mkuu Toyota Coaster injini za uzao wa 3B,13B waliachana nayo wakaja na 15B-T ambayo ipo kwenye Coaster Mayai nayo ni moto wa kuotea mbali hata kwenye Toyota Dayna new model ndio inatumika Sana.

Injini ya 1HZ-T hii ilikuwa ni modifications zinazofanya na watu wanaopenda off road huko Arabuni na Australia. Lakini baadae Toyota akazalisha official kwenye Toyota Coaster. Kwa bongo naona Team Cruiser Mechanics wamefanya mod ya 1HZ kuwa 1HZ- T ingawa sijajua Kama imefika Hp halali.

Pia kuna injini ilitumika kipindi kifupi kwenye baadhi ya Coaster na L/Cruiser series 76 inaitwa 1PZ hii ilikuwa 5-cylinder inline. Hii ilikuwa na gear box ya 4 speed, hii wengi waliogopa sababu ya maneno ya kuunguza cylinder head gasket.
Hp halali ni zipi.??
 
Toyota Coaster Bora ni Second Generation(Box Body) na third generation (Coaster Mayai). Unakutana na injini Kama 3B,13B,14B,15B-T,1HZ,1HZ-T na 1HD-T.

Na baadhi zilikuwa na Air suspension hizo box body na Mayai, Bujibuji nakumbuka miaka ya 2000-2008 njia ya Mbeya-Tukuyu-Kyela ilikuwa na Coaster nyingi zenye air suspension zilikuwa zimenyanyuliwa nyuma ilikuwa ni mbio za kutisha na njia ya Tukuyu Ina Kona Kali na ukungu, hizo 1HD-T zilipiga Sana chini hiyo njia kutokana na madereva kukimbia Sana.
Iko hivi ...1hz ilipendwa sababu ya ugumu wake uimara nk,,ila sio powerfull hivo ikawa inahitaj extra power while maintaining same displacement and no of cylinder...ila 1hz haikuwa na block size ya kutosha hivo kuibust sana unaeza ipasua hivo ikabd watengeneze ingne ngumu zaidi ila ujazo ule ule ndo ikaitwa 1hd..kwa hio hakuna 1hz t
 
Ilikuwa kwenye gari gani?
Katika mlolongo wa coaster za petrol ipo 6GR ndio hiyo mkuu.
Screenshot_20210412-002255.jpg
 
Powered by mazda 3.3L 6cyl ..

Thou power zinafanana ila kuacha ile 4.5L v8 single turbo yenye 202hp au twin turbo yenye 269hp sijapenda kabisa

Zile mlio zina raha yake
Hivi NO4C na 1HD ipi iko vizuri kimwendo,naona ROSA 4M inaelekea kukosa mpinzani kama coaster wataachana na 24!
 
Back
Top Bottom