RugambwaYT
JF-Expert Member
- Jan 11, 2014
- 1,382
- 1,851
Daa! Hiyo 4.0L ya petrol sipati picha balaa lake.Katika mlolongo wa coaster za petrol ipo 6GR ndio hiyo mkuu.View attachment 1749700
Daa! Hiyo 4.0L ya petrol sipati picha balaa lake.Katika mlolongo wa coaster za petrol ipo 6GR ndio hiyo mkuu.View attachment 1749700
N04C haitii mguu kwa mwendo kwenye 1HD zote.Hivi NO4C na 1HD ipi iko vizuri kimwendo,naona ROSA 4M inaelekea kukosa mpinzani kama coaster wataachana na 24!
4M51 ya kwenye Rosa ukipambanisha na 1HD-FTE ni mchuano mkali yeyote anaweza kushinda.Hivi NO4C na 1HD ipi iko vizuri kimwendo,naona ROSA 4M inaelekea kukosa mpinzani kama coaster wataachana na 24!
Naona jamaa wameamua kununua 200 series kwa fujo kabla hajizatoweka sokoni.Kwa kweli sijawaelewa kabisa kuachana na 1hd-fte!nasikia hata LC 200 V8 wameachana nazo zinazokuja zitakuwa V6
Torque figure ya No4c iko vizuri hata power iko a little bit higher ..sijajua uimaraHivi NO4C na 1HD ipi iko vizuri kimwendo,naona ROSA 4M inaelekea kukosa mpinzani kama coaster wataachana na 24!
Labda 1HD yenye intercoolerN04C haitii mguu kwa mwendo kwenye 1HD zote.
1hd fte ilikuw na sifa moja ambayo diesel engine manufactures walishindwa ku archive, kwa kutimia mechanical injector pump, 'super flat torque 'NO4C iko vizuri sana japo haiwezi izidi 1hd-fte kwa mwendo na NO4C imetengenezwa na kampuni ya HINO ambayo kwa sasa inamilikiwa na TOYOTA,kama wameacha kuzalisha 1hd-fte wameninyong'eza maana ni very powerful hata land cruiser 1hz 70 series(mkonga)haifuati.
12ht ilikuwa notorious kwa kundrop valve , ina mlio mzito kuliko 1hd kwa sababu ya 12 valves .Mkuu umeisahau injini moja matata 12h-t iliishia kwenye box body deluxe.
Emissions laws , 1hd fte ,haikuwa clean, hafu diesel tech ilikuwa imeshabadilika sana , common rail , piezoelectric nozzle ,na variable geometry turbochargers , ilifanya diesel engine ziwe clean , smart , fast na very economy.Kwa kweli sijawaelewa kabisa kuachana na 1hd-fte!nasikia hata LC 200 V8 wameachana nazo zinazokuja zitakuwa V6
1hd ipo vizuri sana kwa mwendo na kudeliver power, hii ni engine pekee ulimwenguni kudeliver super flat torque , kwa technology ya mechanical pump. hinos No4c ina nguvu ila haina stable torque .Hivi NO4C na 1HD ipi iko vizuri kimwendo,naona ROSA 4M inaelekea kukosa mpinzani kama coaster wataachana na 24!
1 hd ni imara kuliko no4c , na inapokuja tasks ya milima ya kupanda kwa muda mrefu 1 hd in maintain sana nguvu kuliko no4cTorque figure ya No4c iko vizuri hata power iko a little bit higher ..sijajua uimara
Toyota Coaster zenye injini ya 15B-T nazo zipo vizuri. Hii 15B-T ipo kwenye Toyota Dayna za kisasa.12ht ilikuwa notorious kwa kundrop valve , ina mlio mzito kuliko 1hd kwa sababu ya 12 valves .
cant beat the legacy of 1 hd fte ,
15b fte ipo sana kwenye coaster , na dyna kwa uchache , ila dyana dutro inakuja na NO4C pamoja na JO5CToyota Coaster zenye injini ya 15B-T nazo zipo vizuri. Hii 15B-T ipo kwenye Toyota Dayna za kisasa.
Mitsubishi Rosa kwenye durability nadhani ndiyo ya kwanza. Kwa miaka mingi kwenye njia za off-road mikoani Mitsubishi Rosa ndio zilikuwa zikifanya kazi mpaka sasa sehemu korofi ambazo Toyota Coaster hazikumudu kutokana na body kuharibika na ubebaji mizigo mikubwa kwenye carrier ambayo hutanua na kuharibu body. Isuzu Journey kwenye durability ya body na injini alikuwa vizuri, akajapotea baada ya joint venture na Nissan Civilian.1 hd ni imara kuliko no4c , na inapokuja tasks ya milima ya kupanda kwa muda mrefu 1 hd in maintain sana nguvu kuliko no4c
ila kwa swala la durability nadhani mitsubishi 4m 51 ipo vizuri kuliko zote hizo
Performance yake ni nzuri. Vipi matatizo yake ni nini mpaka Toyota Dayna nao wamehamia kwenye NO4C.15b fte ipo sana kwenye coaster , na dyna kwa uchache , ila dyana dutro inakuja na NO4C pamoja na JO5C
hino NO4C na JO5C ni efficient na zina pass vizuri emmission laws, kwa soko la uk kwa mfano wako sensitive , ndo maana toyota wanaweka engine za hinoPerformance yake ni nzuri. Vipi matatizo yake ni nini mpaka Toyota Dayna nao wamehamia kwenye NO4C.
Ni kweli ila sijawaelewa ilibidi wa-step up kwa kutengeneza engine yenye nguvu zaidi ya 24(1hd-fte)badala yake wanaweka NO4C,wamerudi nyuma.4M51 ya kwenye Rosa ukipambanisha na 1HD-FTE ni mchuano mkali yeyote anaweza kushinda.
Kwa kweli hiyo engine ikiwa kwenye cruiser 100 series ni hatari sana!1hd fte ilikuw na sifa moja ambayo diesel engine manufactures walishindwa ku archive, kwa kutimia mechanical injector pump, 'super flat torque '
ni ile jeuri ya 1hd fte , ya kutopoteza torque hata wakati revs zinashuka .
Ahsante mkuu japo 4M kuna watu wanaziongelea kuwa HD hazifui dafu ila maelezo yako nimeyakubali uko deep,nimewahi safiri nazo zote kwangu naona 24 iko vizuri hasa mlimani.1hd ipo vizuri sana kwa mwendo na kudeliver power, hii ni engine pekee ulimwenguni kudeliver super flat torque , kwa technology ya mechanical pump. hinos No4c ina nguvu ila haina stable torque .
speaking of 4m series za mitsubishi, huyo ni shujaa aliyesahaulika , zile 51 series (5200cc, ) zilikuwa natural aspirated , the 50 series 4800cc zilikuwa turbocharged,
ila zote hizo zinakaa kwa kutulia 1hd inapoongea .
inategemeana na njia , 4m ipo vizuri sana kwenye nguvu za kuanza , inachanganya haraka sana , hii ni natural aspirated ya cc 5200 ujue !! ila linapokuja swala la ku maintain power hasa kwenye milima 1hd ipo vizuri sana na inajua kutamba na power ,4M51 ya kwenye Rosa ukipambanisha na 1HD-FTE ni mchuano mkali yeyote anaweza kushinda.