Ijue Toyota Coaster new model Fourth Generation

nimetumia zote , 1hd ina balaa, japo 4m 51 kuna ile ya 155hp nayo ina balaa ila hifui dafu kwa 1hd
4m zinadumu kuliko 1hd though
Mitsubishi Rosa 4M50 Turbo Intercooled na Toyota Coaster 1hd-fte kwenye barabara tambarare Rosa itamuacha vizuri Coaster.
Kwenye mlima Rosa hata hii yenye turbo huwa inasinzia hata urudi gia ndogo tofauti na 1hd-fte ambayo ukirudi gia ndogo ukaikanyaga haswa inafunguka Sana.
 
Honestly speaking of 1HD-FTE ni moto wa kuotea mbali ni very powerful engine mlima huwa tambarare kwa engine hii me napenda zaidi kutumia 6F
 
Mitsubishi Rosa 4M50 Turbo Intercooled na Toyota Coaster 1hd-fte kwenye barabara tambarare Rosa itamuacha vizuri Coaster.
Kwenye mlima Rosa hata hii yenye turbo huwa inasinzia hata urudi gia ndogo tofauti na 1hd-fte ambayo ukirudi gia ndogo ukaikanyaga haswa inafunguka Sana.
Hii inakumbusha enzi za michuano ya mabasi ya nissan diesel na yenye engine za scania pamoja na isuzu rough road za mikoani
 
Hiyo kama haijanunuliwa haijanunuliwa na Serikali, Basi tutegemee kuiona miaka kumi na tano ijayo, Tena na teknolojia itakuwa imebadilika, maana saa hizi wengi wanahamia kwenye renewable energy vehicles
kweli kabisa ila kuna moja naionaga ya serikali ina full tinted
 
Back
Top Bottom