Ijue Toyota Coaster new model Fourth Generation

Hii daladala Kwa Mpalange inafikaje, KYJ Jelly au Baby Jelly?
 
Toyota Coaster Bora ni Second Generation(Box Body) na third generation (Coaster Mayai). Unakutana na injini Kama 3B,13B,14B,15B-T,1HZ,1HZ-T na 1HD-T.

Na baadhi zilikuwa na Air suspension hizo box body na Mayai, Bujibuji nakumbuka miaka ya 2000-2008 njia ya Mbeya-Tukuyu-Kyela ilikuwa na Coaster nyingi zenye air suspension zilikuwa zimenyanyuliwa nyuma ilikuwa ni mbio za kutisha na njia ya Tukuyu Ina Kona Kali na ukungu, hizo 1HD-T zilipiga Sana chini hiyo njia kutokana na madereva kukimbia Sana.

Hata Mbeya - Tunduma zilikuwepo
 
Ni USD 135'000/ Hadi 139'100/-
Exchange rate ya leo ni 2319.00
Hivyo Basi, kwa hela ya Tanzania ni Kati ya 313,065,002.61 na 322,572,902.69
Happy hujaweka gharama za kuipandisha melini, bima, ushuru wa bandari na Kodi mbalimbali
Hizo si bei za Yutong mkuu?

Au ulisoma vibaya?
 
View attachment 1727187
The fourth Generation Toyota Coaster ilitambulishwa rasmi mnamo tarehe 22 December 2016 na kuwekwa sikoni Japan kwa ajili ta mauzo tarehe 23 January 2017.

Gari hii inapatikana ikiwa na aina za injini zilezile za matoleo ya machaguo ya model zilizopita ambazo ni 3B,13B,14B,15B-T,1HZ,1HZ-T na 1HD-T.
Mkuu, marekebisho kidogo. Kuna baadhi ya engine hapo haziko sokoni siku nyingi saana. Pia 1HZ-T haijawahi kutengenezwa. Ni 1HD-T ambayo ndio turbocharged 1HZ. Pia iliacha kutengenewa 1995 ikawa replaced na 1HD FT ambayo baadae ikaja 1HD FTE. 1HZ ndio inapeta bado mpaka sasa.

Sasa hivi engine common kwa Toyota Coaster ni N04C ambayo ina cc4000 ni turbocharged inatumika saana kwa masoko yanayobana saana mambo ya emission, na 1HZ kwa masoko kama yetu.
 
Huu uthibitisho wa Nissan Civilian ni gari mbovu, au Mitsubishi Rosa sio imara mmeutoa wapi?
Sidhani kama amesema ni mbovu. Ameongelea suala la bei tu. Sema kwa uzoefu wangu, Civilian hasa za kuanzia 1999 zinachoka haraka zikitumika kwa shughuli ya daladala kulinganisha na Coaster. Pia upatikanaji wa vipuli vya Coaster ni rahisi zaidi kuliko Civilian
 
Mkuu, marekebisho kidogo. Kuna baadhi ya engine hapo haziko sokoni siku nyingi saana. Pia 1HZ-T haijawahi kutengenezwa. Ni 1HD-T ambayo ndio turbocharged 1HZ. Pia iliacha kutengenewa 1995 ikawa replaced na 1HD FT ambayo baadae ikaja 1HD FTE. 1HZ ndio inapeta bado mpaka sasa.

Sasa hivi engine common kwa Toyota Coaster ni N04C ambayo ina cc4000 ni turbocharged inatumika saana kwa masoko yanayobana saana mambo ya emission, na 1HZ kwa masoko kama yetu.
That's why tuko hapa kurekebishana ongeza maarifa hommie
 
Back
Top Bottom