Ijue Taasisi ya Madrid Bar Association waliomshitaki Samia ICC

Kiwwte mjanja sana. Atajiweka mbali kabisa kama vile hakushiriki chochote. Na lengo litimie la Wana network kuchukua kiti baada ya huyu kunyakuliwa

huo siyo ujanja ni psychopathy, ni ugonjwa wa akili …
 
Katuga mwenyewe Lissu kamtoa jasho Halafu ndio aende huko ICC? Yatakuwa mambo Yale Yale ya Ze maza dead faza dead now job here here. Itakuwa ni burudani ya kimataifa…

sijaelewa, anaweza kuchagua lugha ya kuongea lkn, anaweza hata kuchagua kuongea kikojani hamna shida …
 
Matatizo ya afya ya akili.

Ikawaje Netanyahu anatamba mpaka sasa??

Kesi ya Uhuru alishinda au bado inaendelea??
Wale whistle blowers wa Kenya wameishia wapi??
Mpango wa Trump kumkamata umeishia wapi?? mana na barua mliandika

Lile lidocument la kina Habil Lilienda wapi???

Tatizo linalosababisha mabadiliko kuwa magumu TZ ni hizi.. majitu yanafurahi mambo JF tu yanasifia jitihada za wanaharakati wa tiktok na kupongeza mawazo ya nje ndani mkiwa mnaumia.

Uharo mtupu.
Vichwani mnajazana mavi
Mnajipongeza
Tofauti yenu nyie na chawa ni itikadi tu.
 
Hili jambo la Samia kushitakiwa ICC watu ( haters wa Samia na Machawa wa Samia) wote hawajui chochote kuhusu legal procedures za ICC.

Machawa wanabwatuka kuwa kamwe Samia hawezi kufunguliwa kesi na kutolewa arrest warrant.

Sasa ni hivi hii issues ya ICC ilikuwa ni very calculated mission, na organization zilizomshitaki Samia ni very very strong.

Samia ameshitakiwa na

(I) Intelwatch- ambayo director wake ni Dr Paula Christina, huyu mama December aliojiwa uingereza akisema Wana ushaidi wa kutosha Hadi kupitiliza kuwa Samia ndo alie engineer mauaji. Intelwatch Hawa Hawa waliruka na mauaji ya Ghaza hadi Netanyau akitolewa arrest warrant.

(ii) Madrid Bar Association - hiki ni chama Cha wanasheria Cha Madrid-Hispania kina wanasheria 75,000. Kina mawakili wa ICC( kumbuka kina Nassoro Katuga sijui Prof Kabudi sio mawakili wa ICC)

Nashangaa ninapoona watu wanabishana kuwa Samia hatofunguliwa kesi na ICC, Swali ni kwamba nyie chawa mnaijua ICC kuliko wanasheria 75,000 wa Madrid Bar Association??

So mpaka Sasa hivi hakuna mshindi, Bado ICC haijaweka wazi kama itafungua mashitaka although walalamikaji kina Dr Paula Wana confidence kuwa Samia hachomoki.

Solution- muda ni mwalimu mzuri mpaka huu mwaka inaisha tutajua mengi

My comment on this case kwa data za UN kuwa waliokufa KWENYE MO29 ni watu 700, basi hii namba imefikisha threshold ya ICC. Kama Jean Pierre Bemba according to ICC aliua raia 200-300. Basi there's no way out Samia atachomoka kwenye hili .

Aione
Pro Kabudi
Nassoro Katuga.
Umeshakojoa naona umebanwa na mavi huku unaota pole sana
 
Madrid Bar Association ni kama TLS ya Mwanukusi tu. Mbona mmaogopa sana majina ya kizungu??

Kuna kupeleka mashtaka, ni kweli yamepelekwa. Ila hawawezi kutoa arrest warrant bila kufanya investigation. Wakifanya investigation watagundua kuwa nguvu iliyotumika haikulenga kundi maalum la kikabila wala kiitikadi kama kwenye mauaji ya Kenya ya mwaka 2008 au Serbia mwaka 1995, bali ILILENGA kuzima riots za magenge yaliyotaka kupindua Serikali. Msitegemee sana taarifa za mapicha ya MangeKimambi na Larry Madowo, hazina kiwango cha kukubalika kama ushahidi Mahakamani
 
Ndo utulie Sasa
 
Matatizo ya afya ya akili.

Ikawaje Netanyahu anatamba mpaka sasa??

Kesi ya Uhuru alishinda au bado inaendelea??
Wale whistle blowers wa Kenya wameishia wapi??
Mpango wa Trump kumkamata umeishia wapi?? mana na barua mliandika

Lile lidocument la kina Habil Lilienda wapi???

Tatizo linalosababisha mabadiliko kuwa magumu TZ ni hizi.. majitu yanafurahi mambo JF tu yanasifia jitihada za wanaharakati wa tiktok na kupongeza mawazo ya nje ndani mkiwa mnaumia.

Uharo mtupu.
Vichwani mnajazana mavi
Mnajipongeza
Tofauti yenu nyie na chawa ni itikadi tu.
Bitch

Unamjua ugumu ambao Netanyau anaupata???

Unajua Netanyau kutua marekani anatumia route Gani baada ya kutolewa arrest warrant?

Kwamba ICC sio chochote why Putin ata ukanyaga south Africa hawezi.

Bitch just come and suck my dick 🤣
 
Kuna wakati unajiuliza hivi hua mnaandika kwa mikono kama wengine au mnatumia vi.,nye..o kushikia peni...
 
HEKAYA ZA ABUNUWASI.
 
Bitch

Unamjua ugumu ambao Netanyau anaupata???

Unajua Netanyau kutua marekani anatumia route Gani baada ya kutolewa arrest warrant?

Kwamba ICC sio chochote why Putin ata ukanyaga south Africa hawezi.

Bitch just come and suck my dick 🤣
Trump anaua watu kila siku kule USA, hao ICC hawamuoni?. DRC wamekufa watu 2000 baada tu ya marais watatu kusaini mikataba kule Marekani, lini umesikia Tshisekedi anapelekwa ICC?.
 
Matatizo ya afya ya akili.

Ikawaje Netanyahu anatamba mpaka sasa??

Kesi ya Uhuru alishinda au bado inaendelea??
Wale whistle blowers wa Kenya wameishia wapi??
Mpango wa Trump kumkamata umeishia wapi?? mana na barua mliandika

Lile lidocument la kina Habil Lilienda wapi???

Tatizo linalosababisha mabadiliko kuwa magumu TZ ni hizi.. majitu yanafurahi mambo JF tu yanasifia jitihada za wanaharakati wa tiktok na kupongeza mawazo ya nje ndani mkiwa mnaumia.

Uharo mtupu.
Vichwani mnajazana mavi
Mnajipongeza
Tofauti yenu nyie na chawa ni itikadi tu.
Walitaka waachwe waichome nchi kadri wanavyosikia, yaani iwe sawa na Somalia au Sudan ya miaka ya nyuma, iwe haitawiliki.

Watoto waliozaliwa wakanyonyeshwa wakaanza kutambaa wakakua tukiwa tunawaona leo wawapande vichwani wazazi wao kwa kufanya mambo ya kipuuzi kabisa halafu wakiguswa haraka sana wanaharakati wanakuja na story za ICC!.

Mnadhani kwenda ICC ni sawa na kwenda ferry kununua dagaa.
 
Madrid Bar Association ni kama TLS ya Mwanukusi tu. Mbona mmaogopa sana majina ya kizungu??

Kuna kupeleka mashtaka, ni kweli yamepelekwa. Ila hawawezi kutoa arrest warrant bila kufanya investigation. Wakifanya investigation watagundua kuwa nguvu iliyotumika haikulenga kundi maalum la kikabila wala kiitikadi kama kwenye mauaji ya Kenya ya mwaka 2008 au Serbia mwaka 1995, bali ILILENGA kuzima riots za magenge yaliyotaka kupindua Serikali. Msitegemee sana taarifa za mapicha ya MangeKimambi na Larry Madowo, hazina kiwango cha kukubalika kama ushahidi Mahakamani
Angalau wewe umeanza kubadilisha tone 😁😁

Kuna wale misukule ambao wao wanasema swala la ICC haliwezekani
 
Uwepo wa tume ya Chande unaendana na mahitaji ya nchi baada ya kutokea machafuko ya kisiasa.

Kenya hawakuunda tume na ICC wakapita nao kina Kenyatta na Ruto.
 
Tume ni kichaka gentleman na kitafyekwa muda sio mrefu
 
Back
Top Bottom