Ijue Taasisi ya Madrid Bar Association waliomshitaki Samia ICC

Ijue Taasisi ya Madrid Bar Association waliomshitaki Samia ICC

Kiwwte mjanja sana. Atajiweka mbali kabisa kama vile hakushiriki chochote. Na lengo litimie la Wana network kuchukua kiti baada ya huyu kunyakuliwa
Wana mtandao wapi hao!!?? Huu utumwa sijui wa wana mtandao umefika mwisho wake,rasimu ya katiba ya warioba ndio itatumika na tume ya uchaguzi itasukwa upya isiyoegemea upande wowote.HAO WANA MTANDAO WANAPITIA WAPI labda wakatawale burundi
 
Katuga mwenyewe Lissu kamtoa jasho Halafu ndio aende huko ICC? Yatakuwa mambo Yale Yale ya Ze maza dead faza dead now job here here. Itakuwa ni burudani ya kimataifa…
 
ICC wako open sana
Wao (ICC), wakichelewa, sisi (waTanzania) tutawarahisishia kazi.
Inawezekana sana wasimkute.

Huyu mtu mwovu kiasi hiki siyo wa kukaa naye, huku akiendelea kuleta maafa.

'Luxury' ya kuchelewa namna hiyo ni maumivu kwa waTanzania.
 
Hili jambo la Samia kushitakiwa ICC watu ( haters wa Samia na Machawa wa Samia) wote hawajui chochote kuhusu legal procedures za ICC.

Machawa wanabwatuka kuwa kamwe Samia hawezi kufunguliwa kesi na kutolewa arrest warrant.

Sasa ni hivi hii issues ya ICC ilikuwa ni very calculated mission, na organization zilizomshitaki Samia ni very very strong.

Samia ameshitakiwa na

(I) Intelwatch- ambayo director wake ni Dr Paula Christina, huyu mama December aliojiwa uingereza akisema Wana ushaidi wa kutosha Hadi kupitiliza kuwa Samia ndo alie engineer mauaji. Intelwatch Hawa Hawa waliruka na mauaji ya Ghaza hadi Netanyau akitolewa arrest warrant.

(ii) Madrid Bar Association - hiki ni chama Cha wanasheria Cha Madrid-Hispania kina wanasheria 75,000. Kina mawakili wa ICC( kumbuka kina Nassoro Katuga sijui Prof Kabudi sio mawakili wa ICC)

Nashangaa ninapoona watu wanabishana kuwa Samia hatofunguliwa kesi na ICC, Swali ni kwamba nyie chawa mnaijua ICC kuliko wanasheria 75,000 wa Madrid Bar Association??

So mpaka Sasa hivi hakuna mshindi, Bado ICC haijaweka wazi kama itafungua mashitaka although walalamikaji kina Dr Paula Wana confidence kuwa Samia hachomoki.

Solution- muda ni mwalimu mzuri mpaka huu mwaka inaisha tutajua mengi

My comment on this case kwa data za UN kuwa waliokufa KWENYE MO29 ni watu 700, basi hii namba imefikisha threshold ya ICC. Kama Jean Pierre Bemba according to ICC aliua raia 200-300. Basi there's no way out Samia atachomoka kwenye hili .

Aione
Pro Kabudi
Nassoro Katuga.
Madrid Bar Association - hiki ni chama Cha wanasheria Cha Madrid-Hispania kina wanasheria 75,000. Kina mawakili wa ICC( kumbuka kina Nassoro Katuga sijui Prof Kabudi sio mawakili wa ICC)
 
..hujasikia Ssh naye katafuta ma-lobbyist wa Washington DC wamsaidie kusafisha njia? Na hao majamaa wanalipwa fedha kubwa, wana influence, na wana wanasheria wabobevu.
Hao ma'lobbyists' anaotafuta huko ni kwa maswala ya huko huko Marekani, hasa kwenye maswala ya 'Congress'.

Hawana 'influence' yoyote na maswala ya ICC, na hasa ukichukulia Marekani hahusiki kivyovyote na ICC, kwa sababu si mshirika.

Hata hivyo, hiyo pesa wanayowalipa hao 'lobbyists' ni kufuja tu hela za waTanzania.

Samia na uovu wake aliofanya hasafishiki kwa namna yoyote

Ni congressman gani ataweka heshima yake kumtetea mtu aliyekosa ubinaadam kama huyu aliyeandaa kwa maksudi kabisa kungali mapema kuwaangamiza binaadam wenzake ili abaki madarakani na kuwatia b watu wasihoji chochote baada ya tukio la mauaji?

Samia kaonyesha tabia ya kipekee sana ambayo watu wasingetegemea awe nayo.

Na hata baada ya kuua, bado anaendelea kujitangaza mwenyewe kwa uovu. Hili linashangaza sana.
 
Back
Top Bottom