Ijue Taasisi ya Madrid Bar Association waliomshitaki Samia ICC

Ijue Taasisi ya Madrid Bar Association waliomshitaki Samia ICC

Hili jambo la Samia kushitakiwa ICC watu ( haters wa Samia na Machawa wa Samia) wote hawajui chochote kuhusu legal procedures za ICC.

Machawa wanabwatuka kuwa kamwe Samia hawezi kufunguliwa kesi na kutolewa arrest warrant.

Sasa ni hivi hii issues ya ICC ilikuwa ni very calculated mission, na organization zilizomshitaki Samia ni very very strong.

Samia ameshitakiwa na

(I) Intelwatch- ambayo director wake ni Dr Paula Christina, huyu mama December aliojiwa uingereza akisema Wana ushaidi wa kutosha Hadi kupitiliza kuwa Samia ndo alie engineer mauaji. Intelwatch Hawa Hawa waliruka na mauaji ya Ghaza hadi Netanyau akitolewa arrest warrant.

(ii) Madrid Bar Association - hiki ni chama Cha wanasheria Cha Madrid-Hispania kina wanasheria 75,000. Kina mawakili wa ICC( kumbuka kina Nassoro Katuga sijui Prof Kabudi sio mawakili wa ICC)

Nashangaa ninapoona watu wanabishana kuwa Samia hatofunguliwa kesi na ICC, Swali ni kwamba nyie chawa mnaijua ICC kuliko wanasheria 75,000 wa Madrid Bar Association??

So mpaka Sasa hivi hakuna mshindi, Bado ICC haijaweka wazi kama itafungua mashitaka although walalamikaji kina Dr Paula Wana confidence kuwa Samia hachomoki.

Solution- muda ni mwalimu mzuri mpaka huu mwaka inaisha tutajua mengi

My comment on this case kwa data za UN kuwa waliokufa KWENYE MO29 ni watu 700, basi hii namba imefikisha threshold ya ICC. Kama Jean Pierre Bemba according to ICC aliua raia 200-300. Basi there's no way out Samia atachomoka kwenye hili .

Aione
Pro Kabudi
Nassoro Katuga.
kuna machawa na kunguni.
Kunguni akina Warioba walosema walo kufa ni wengi kushinda vita ya kagera na wengine kusema watu 10,000

Nani kakamatwa katika ICC na kupewa adhabu?
 
Walitaka waachwe waichome nchi kadri wanavyosikia, yaani iwe sawa na Somalia au Sudan ya miaka ya nyuma, iwe haitawiliki.

Watoto waliozaliwa wakanyonyeshwa wakaanza kutambaa wakakua tukiwa tunawaona leo wawapande vichwani wazazi wao kwa kufanya mambo ya kipuuzi kabisa halafu wakiguswa haraka sana wanaharakati wanakuja na story za ICC!.

Mnadhani kwenda ICC ni sawa na kwenda ferry kununua dagaa.
Wamejaza vinyesi kichwani wanatembea na nzi kwenye bongo zao na sio akili...
 
Chura nwenyewe analijua hilo ndo maana kwenye maji hakai wala shimoni. Ngoma ngumu we sela ICC procedures zao ni za kuvuta miguu ni hawakurupuki mir ningekuwa chura ningejifunza kukaa juu ya mti
 
Katuga mwenyewe Lissu kamtoa jasho Halafu ndio aende huko ICC? Yatakuwa mambo Yale Yale ya Ze maza dead faza dead now job here here. Itakuwa ni burudani ya kimataifa…
Kabudi atakavyotumbua ile mi macho sasa kama yale magari ya bedford ya zamani yaliyokuwa yanasomba kahawa
 
Chura nwenyewe analijua hilo ndo maana kwenye maji hakai wala shimoni. Ngoma ngumu we sela ICC procedures zao ni za kuvuta miguu ni hawakurupuki mir ningekuwa chura ningejifunza kukaa juu ya mti
ICC sio wajinga wa kiasi hicho. Tutawapa Katiba yetu na sheria zetu na tutawaonyesha vurugu zote zilizofanyika kuanzia kuchoma vituo vya kupigia kura, vituo vya polisi, TRA, Bank, Mahakama, shule, hospitali, sheli, biashara za watu halafu waseme kama nguvu iliyotumika ni kubwa mno, ni sawa au ni ndogo mmo. Waje tu mashahidi wapo wengi sana. ICC waanzie huko Israel, Ukraine, Rwanda, Somalia, nk kwanza
 
Back
Top Bottom